CHADEMA yashindwa kulipia pango ya ofisi Kasulu

Ni sehemu nyingi sana chadema wanadaiwa. Tujiulize kwanini mpaka leo hawana ofisi ya makao makuu???

CDM hatuwekezi kwenye majengo bali tunawekeza kwenye bongo za watz kwa kupanda mbegu za ukombozi kwa taifa lao linalochezewa na kugeuzwa shamba la bibi na haya maccm!
 
Mbegu za chuki kama zile za Wenje kuwasaidia M23.
 
Mheshimiwa Utaifa kwanza unatetea utaifa wa wapi? Wanaotetea utaifa ni wazalendo, na mzalendo ni mtu asiye na ila ndani yake. Mzalendo si mzushi, mzalendo ni mtu asiyegeuka geuka katika msimamo wake. Utaifa kwanza, hayo huna, ndiyo maana unapayuka na kuropoka ropoka katika thread zako nyingi.

Mimi sina kiburi na majigambo, kama huyo anayesema anaidai ofisi ya chadema fedha, nimeruhusu aishtaki CDM Jimbo la Kasulu. Watu wenye visions mara nyingi wanaweza kupambanua baina ya hasi na chanya. Wenye kuvaa miwani ya mbao, daima hufikiri kwa mioyo yao, na hiyo ndiyo conclusion yangu juu ya thread zako.Ndiyo maana unaogopa hata kujulikana kwa jina lako, what are you afraid of?

Mshauri mwenye kuidai CDM Jimbo la Kasulu apeleke shauri la madai katika mahakama!
 
mh kahise
Do not deal with person (utaifakwanza)....deal with facts/hoja zilizowekwa na utaifakwanza...lipa deni hilo acha utapeli, huo sio uungwana na sio siasa.
 
Kahise
Unadhani ni sifa nzuri chadema ikipelekwa mahakamani kwa deni la pango????
 
Tungekuwa na watu punguani wengi kama wewe, taifa hili lingeishazikwa kitambo, jitambue.
 
Back
Top Bottom