CHADEMA yashindwa kulipia pango ya ofisi Kasulu

CHADEMA yashindwa kulipia pango ya ofisi Kasulu

Umepewa taarifa vema hawa waliofukuzwa ,hawakukabidhi taarifa,after all chadema haiwezi kushindwa kulipa pango hata lingekuwa milioni

Mkuu ishindwe Mara ngapi?tayari imeshashindwa Huko kigoma
 
Nipo hapa nahangaikia kupata hizo picha,utazipata ndipo utakapo jua kuwa mimi ni mbulula ama ni wewe.
Wewe ni mburula hadi hapo ulipo.haihitaji ushahidi wa umburula wako
 
Wapendwa wana JF, zipo njama, propaganda ambazo zote zinakilenga Chama Cha DEmokrasia na Maendeleo ziki-focus kukidhoofisha na hatimaye kutamani kukiua kabisa. Kinachosikitisha, hata watu wasioelewa CDM ni chama cha namna gani, nao ati wajitapa kukichambua chama chetu! CDM ni taasis yenye nguvu na inayozidii kushamiri kwa nguvu na kasi kubwa. Kwa wale wanaoeneza maneno na propaganda; kwa kuhongwa na watu fulani au vyama fulani, basi tuwape pole.

UKWELI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Kasulu Mjini, linafanyia shughuli zake katika ofisi ya Baraza la Uongozi la CHADEMA, wilaya ya Kasulu, na mimi ndiye Kaimu Katibu wa CDM Jimbo la Kasulu Mjini.

CDM Jimbo la Kasulu Mjini, hatujaingia mkataba na mtu ye yeote kupangisha chumba/nyumba kama ofisi yetu. Kwa hiyo, aliyaandika thread hii alitaka kuipaka matope CDM na kufurahisha nafsi yake. Nampa poole kwa kuwa amepiga chini.

Chumba kinachodaiwa kuwa kilikodishwa na CDM Jimbo la Kasulu Mjini kilikodishwa na vijana watatu waliokuwa wamechaguliwa kama viongozi; lakini ilipobainika kuwa wanakihujumu chama na kutaka kukidhalilisha, WALIFUKUZWA UONGOZI NA UANACHAMA, HIVYO wakawa waasisi wa chama kipya cha ACT (T). Hao ndio wanaodaiwa na siyo CDM Jimbo la Kasulu.

Mwenye nyumba anaweza kusonga mbele akipeleke chama mahakamani kama anataka.
Mh kahise,
umeudhalilisha udiwani wako kwa kujibu utumbo humu. Lipeni deni mpewe vyombo vyenu vya matangazo.
 
Ni sehemu nyingi sana chadema wanadaiwa. Tujiulize kwanini mpaka leo hawana ofisi ya makao makuu???
 
Duuhh, hiyo ni ofisi??? Mi nilidhani ni choo cha cuf makao makuu???

Inaonekana walioshupalia thread hii hata baada ya kuwakulisha bayana wana chuki binafsi na CDM, O.K, semeni kila mnalofikiria baya kuhusu chadema, chama kitaendelea kusonga mbele. Vyombo vyeti hatujavitaka, siku ikifika tutavichukua maana haviko kwa Rufulenge. He who laughs last laughs longer. Na ukweli ni kuwa debe tupu halikosi kutipa. Endeleee na zusheni mengine, Cdn wili thrive!
 
Inaonekana walioshupalia thread hii hata baada ya kuwakulisha bayana wana chuki binafsi na CDM, O.K, semeni kila mnalofikiria baya kuhusu chadema, chama kitaendelea kusonga mbele. Vyombo vyeti hatujavitaka, siku ikifika tutavichukua maana haviko kwa Rufulenge. He who laughs last laughs longer. Na ukweli ni kuwa debe tupu halikosi kutipa. Endeleee na zusheni mengine, Cdn wili thrive!
Wewe mheshmiwa acha porojo,acha propaganda kwenye mali za watu, huo ubabe,kiburi na majigambo hayatakusaidia, tenda wema kulipa haki za watu. Kiongozi ni kioo na ni mfano. Wewe unataka uwe kioo cha namna gani???

cc
kahise
 
Mleta uzi Utaifa kwanza wachangiaji Ifweero,Juliana,stata mzuka,ruttashobolwa na faizafoxy kazi kweli kweli
 
mleta mada UTAIFA KWANZA naomba unieleweshe samahani

1 ,Navyo elewa mimi hiyo ofisi haipo kwenye kiwanja cha Mtu,ipo kwenye maduka yalio zunguka soko Je hilo soko ni mali ya Mtu yupi uyo?
 
Last edited by a moderator:
attachment.php
 
Back
Top Bottom