CHADEMA yashindwa kulipia pango ya ofisi Kasulu

Saccos ua Ufipa ipo kwa ajili ya kununuwa Mafuso chakavu kwa millioni mia sita na kujengea majumba ya kifahari mahawara, Slaa kamjengea Josefina jumba la kifahari huko Mabwepande kwa fedha za chama aka za walipa kodi.

Lakini kodi ya pango la ofisi ambayo haifiki hata millioni kwa mwaka, inawashinda. Huo si ufisadi huo ndio uongozi bora.

Halafu mpewe nchi? Duh!

Acha upashikuna lete ushahidi hapa ni lini,wapi kiongozi huyo alinunua kiwanja cha hawala na kumjengea nyumba,unao ushahidi au ndoo tabia yenu ya kuropoka Kama Nape kuwa chadema imeingiza fedha chafu na mungiki huky kwa maneno yake akiidhalilisha taaluma ya Rashid Othman ya usalama wa taifa!
 
Wapendwa wana JF, zipo njama, propaganda ambazo zote zinakilenga Chama Cha DEmokrasia na Maendeleo ziki-focus kukidhoofisha na hatimaye kutamani kukiua kabisa. Kinachosikitisha, hata watu wasioelewa CDM ni chama cha namna gani, nao ati wajitapa kukichambua chama chetu! CDM ni taasis yenye nguvu na inayozidii kushamiri kwa nguvu na kasi kubwa. Kwa wale wanaoeneza maneno na propaganda; kwa kuhongwa na watu fulani au vyama fulani, basi tuwape pole.

UKWELI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Kasulu Mjini, linafanyia shughuli zake katika ofisi ya Baraza la Uongozi la CHADEMA, wilaya ya Kasulu, na mimi ndiye Kaimu Katibu wa CDM Jimbo la Kasulu Mjini.

CDM Jimbo la Kasulu Mjini, hatujaingia mkataba na mtu ye yeote kupangisha chumba/nyumba kama ofisi yetu. Kwa hiyo, aliyaandika thread hii alitaka kuipaka matope CDM na kufurahisha nafsi yake. Nampa poole kwa kuwa amepiga chini.

Chumba kinachodaiwa kuwa kilikodishwa na CDM Jimbo la Kasulu Mjini kilikodishwa na vijana watatu waliokuwa wamechaguliwa kama viongozi; lakini ilipobainika kuwa wanakihujumu chama na kutaka kukidhalilisha, WALIFUKUZWA UONGOZI NA UANACHAMA, HIVYO wakawa waasisi wa chama kipya cha ACT (T). Hao ndio wanaodaiwa na siyo CDM Jimbo la Kasulu.

Mwenye nyumba anaweza kusonga mbele akipeleke chama mahakamani kama anataka.
 
1.asante kwa kukiri kuwa mnadaiwa
2.kwamba mmekimbia ofisi na sasa mnatangatanga.mtakamatwa tu,haki ya mtu haipotei
3.umejichanganya vilivyo badala ya kukanusha umeunga mkono hoja kuwa mnadaiwa...
4.km walifukuzwa,ofisi nayo imefukuzwa??? Poor you
 
Ofisi ya Chama cha demokrasia na maendeleo jimbo la kasulu mjini inashikiliwa na mwenye nyumba kwa miezi kadhaa hivi sasa baada ya chama hicho kushindwa kulipa kodi ya pango.

Akiongea kwa masikitiko makubwa mmiliki wa jengo hilo (jina limehifadhiwa) ameeleza kuwa hadi mwezi wa sita anaidai chadema tshs 600000 na kwamba kina lema walipofika kigoma na chopa hivi karibuni katika ziara yao waliahidi kulipa deni hilo lakini cha kushangaza hadi leo kimya na hakuna kinachoendelea.

Amesema kuwa anashikilia samani za chama hicho ikiwamo viti,meza,bendera na mihuri pamoja na kuitia kufuli hadi atakapolipwa fedha zake na endapo washindwa kulipa hadi mwisho wa mwezi huu atakiburuza chama hicho mahakamani.

hatua ya kushikilia samani imekuja baada ya kuzungushwa kwa muda mrefu na kwamba wale viongozi aliokuwa anawafahamu wamehamia A.C.T Tanzania hivyo ameona njia pekee ya yeye kupata haki yake ni kushikilia mali zao.

my take. Chama kipeleke ruzuku mikoani
hilo ni deni dogo sana kwa chadema kama unamfahamu mwenye hiyo nyumba mwambie hata yeye anadaiwa sh.1,000,000.00 kupitia deni la taifa
 
Saccos ua Ufipa ipo kwa ajili ya kununuwa Mafuso chakavu kwa millioni mia sita na kujengea majumba ya kifahari mahawara, Slaa kamjengea Josefina jumba la kifahari huko Mabwepande kwa fedha za chama aka za walipa kodi.

Lakini kodi ya pango la ofisi ambayo haifiki hata millioni kwa mwaka, inawashinda. Huo si ufisadi huo ndio uongozi bora.

Halafu mpewe nchi? Duh!

swaumu vipi? Nialike futari leo nije tufahamiane , maana nilikuuliza chuo cha ngapi hujibu natafuta wa chuo cha 9 Ana uzoefu na pia nitapata dhawabu........
 
Ofisi ya Chama cha demokrasia na maendeleo jimbo la kasulu mjini inashikiliwa na mwenye nyumba kwa miezi kadhaa hivi sasa baada ya chama hicho kushindwa kulipa kodi ya pango.

Akiongea kwa masikitiko makubwa mmiliki wa jengo hilo (jina limehifadhiwa) ameeleza kuwa hadi mwezi wa sita anaidai chadema tshs 600000 na kwamba kina lema walipofika kigoma na chopa hivi karibuni katika ziara yao waliahidi kulipa deni hilo lakini cha kushangaza hadi leo kimya na hakuna kinachoendelea.

Amesema kuwa anashikilia samani za chama hicho ikiwamo viti,meza,bendera na mihuri pamoja na kuitia kufuli hadi atakapolipwa fedha zake na endapo washindwa kulipa hadi mwisho wa mwezi huu atakiburuza chama hicho mahakamani.

hatua ya kushikilia samani imekuja baada ya kuzungushwa kwa muda mrefu na kwamba wale viongozi aliokuwa anawafahamu wamehamia A.C.T Tanzania hivyo ameona njia pekee ya yeye kupata haki yake ni kushikilia mali zao.

my take. Chama kipeleke ruzuku mikoani

hao viongozi kama wameenda ACT , wameondoka na fedha za pango .......au kuna anayebisha ?
 
Duh majanga...simple logic tu.
mwenye nyumba apige mnada tu hizo samani ajilipe pesa zake hakuna wa kutuma pesa huko. Wafadhili wamestuka na so far chama kiko busy ku bargain na mawakili ili wafungue kesi dhidi ya msajili ili mbowe aendelee kuwa mwenyekiti.
shida ni mali alizokamata,sidhani hata kama laki itafika,
 
Wapendwa wana JF, zipo njama, propaganda ambazo zote zinakilenga Chama Cha DEmokrasia na Maendeleo ziki-focus kukidhoofisha na hatimaye kutamani kukiua kabisa. Kinachosikitisha, hata watu wasioelewa CDM ni chama cha namna gani, nao ati wajitapa kukichambua chama chetu! CDM ni taasis yenye nguvu na inayozidii kushamiri kwa nguvu na kasi kubwa. Kwa wale wanaoeneza maneno na propaganda; kwa kuhongwa na watu fulani au vyama fulani, basi tuwape pole.

UKWELI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Kasulu Mjini, linafanyia shughuli zake katika ofisi ya Baraza la Uongozi la CHADEMA, wilaya ya Kasulu, na mimi ndiye Kaimu Katibu wa CDM Jimbo la Kasulu Mjini.

CDM Jimbo la Kasulu Mjini, hatujaingia mkataba na mtu ye yeote kupangisha chumba/nyumba kama ofisi yetu. Kwa hiyo, aliyaandika thread hii alitaka kuipaka matope CDM na kufurahisha nafsi yake. Nampa poole kwa kuwa amepiga chini.

Chumba kinachodaiwa kuwa kilikodishwa na CDM Jimbo la Kasulu Mjini kilikodishwa na vijana watatu waliokuwa wamechaguliwa kama viongozi; lakini ilipobainika kuwa wanakihujumu chama na kutaka kukidhalilisha, WALIFUKUZWA UONGOZI NA UANACHAMA, HIVYO wakawa waasisi wa chama kipya cha ACT (T). Hao ndio wanaodaiwa na siyo CDM Jimbo la Kasulu.

Mwenye nyumba anaweza kusonga mbele akipeleke chama mahakamani kama anataka.

ahsante mkuu kwa ufafanuzi.
Mpe salamu mwenyekiti wa chadema wilaya,huyo mzee namheshimu sana
 
Hii nayo thread kweli nyie si filosofa,unataka tueleze mlivyoshindwa kupaka rangi ofisi zote za ccm hapa tz,huku mkichukua bil 80 kwa mwezi kama ruzuku,unataka nikuambie jinsi m/ kiti wako wa ccm wilaya moja hapa alivyoshindwa hata kununua makuti tu ya laki moja kuezeka ofisi ya ccm kata,ambayo mzee alijitolea kuwajengea?. Ccm ya 1977 si ya 2014 ,hii ni wezi wakubwa hawana uchungu na chama.Tujadili hoja za elimu,kilimo,afya, nishati na madini,na maji yaliyowashindeni kutupatia pamoja na tabia yenu ya kutufanya tuendelee kuwa tegemezi si mambo ya kushindwa kulipia pango si uwapige tafu!!

Mkuu CCM ikishindwa kufanya vizuri na CDM nayo ishindwe kwa sababu CCM wameshindwa?? Jadili hoja kwanini mmeshindwa kulipa kodi ya pango na si kuleta hadithi as abunuwasi
 
Haya majitu akili zao finyu mno. Hayana hoja yanaishia kutukana tu
 
Hii nayo thread kweli nyie si filosofa,unataka tueleze mlivyoshindwa kupaka rangi ofisi zote za ccm hapa tz,huku mkichukua bil 80 kwa mwezi kama ruzuku,unataka nikuambie jinsi m/ kiti wako wa ccm wilaya moja hapa alivyoshindwa hata kununua makuti tu ya laki moja kuezeka ofisi ya ccm kata,ambayo mzee alijitolea kuwajengea?. Ccm ya 1977 si ya 2014 ,hii ni wezi wakubwa hawana uchungu na chama.Tujadili hoja za elimu,kilimo,afya, nishati na madini,na maji yaliyowashindeni kutupatia pamoja na tabia yenu ya kutufanya tuendelee kuwa tegemezi si mambo ya kushindwa kulipia pango si uwapige tafu!!
Jikite katika hoja msukule acha kulia lia hapa
 
Watanzania hawahitaji pango ,wanahitaji elimu bora,umeme,afya bora ili waweze kufanya kazi,kufikiri vizuri na kuleta tija nchini siwezi kujadili pango ,mbona ofisi ya ccm utete hata kiti tu cha plastiki hakuna na nyie ndoo hupokea pesa bil80 kama ruzuku?
 
Mkuu CCM ikishindwa kufanya vizuri na CDM nayo ishindwe kwa sababu CCM wameshindwa?? Jadili hoja kwanini mmeshindwa kulipa kodi ya pango na si kuleta hadithi as abunuwasi

Umepewa taarifa vema hawa waliofukuzwa ,hawakukabidhi taarifa,after all chadema haiwezi kushindwa kulipa pango hata lingekuwa milioni
 
Mkuu CCM ikishindwa kufanya vizuri na CDM nayo ishindwe kwa sababu CCM wameshindwa?? Jadili hoja kwanini mmeshindwa kulipa kodi ya pango na si kuleta hadithi as abunuwasi

Tupo Mwanza,Dialo amefanya jambo baya sana pale makao makuu ya ccm mkoa.
 
Watanzania hawahitaji pango ,wanahitaji elimu bora,umeme,afya bora ili waweze kufanya kazi,kufikiri vizuri na kuleta tija nchini siwezi kujadili pango ,mbona ofisi ya ccm utete hata kiti tu cha plastiki hakuna na nyie ndoo hupokea pesa bil80 kama ruzuku?
Chadema ni matapeli sana
 
Mkuu sasa hapa ndo umejibu hoja iliyokua mezani? Nadhani Haya mazungumzo yako ni mazuri kuyaanzishia sred,ila ungejibu hoja kwanini haijalipa
 
Back
Top Bottom