Lowasa vipi kashinda urais?.. !...kwi kwi kwiiii
Elimu na kazi, ukisema kazi tuu ni sawa na kulima shamba bila kupanda mbegu.Hongera zao, kazi kwao sasa kuleta maji, Jimbo lote wao ndio watawala! Mbunge Chadema, Baraza la Madiwani wote Chadema. Sasa hapo ni kazi tuuu.
Ki ukweli CCM ikiendelea kurudia makosa kama yanayofanyika kwenye jimbo la Kibamba na Ubungo, haya majimbo hatutayakomboa kirahisi. Toka tumenza kupoteza jimbo la Ubungo huko nyuma tatizo lilianzia kwenye kura za maoni kwani wanashinda watu kwa nguvu ya pesa na ambao si chaguo la wananchi. Viongozi wa Chama (W) wanakumbatia wagombea wasio na sifa kisa wana pesa. Kwa kuwa wananchi hawawapendi wanakula pesa zao ila kura hawawapi. Wananchi wa sasa wameelimika, ukija na pesa yako wanakula tu na kura hawakupi.....mnalutea watu amabo si wakazi wa huku na wasio na historia yoyote ya uongozi wa Chama au kusaidia jambo lolote katika jimbo letu, badala yake mnaleta watu wanaowahonga ninyi amabo huku hawajulikani. Msipobadilika CCM tutaendelea kupigwa tu katika majimbo ya Ubungo na Kibamba. CCM makao makuu badilisheni haraka uongozi wa CCM wilaya, makatibu wa majimbo n.k. kwani wameshindwa kabisa zaidi ya kujali matumbo yao. HII NI AIBUUUU. Haijawahi kutokea.
UKAWA safari hii wana kila dalili ya kutoa meya
Wakishinda CCM,wanakuwa wameiba au uchaguzi haukuwa wa haki,lakini wakishinda Chadema ,hakuna kelele wala malalamiko wala kuibiwa .Acheni undumila kuwili mjifunze kuwa wastaarabu kama wapenzi na washabiki wa CCM.Jimbo zima lipo chini ya Ukawa.
duh hivi kibamba kuna kata ngapi? na je ccm wana ngapi?[v/QUOTE]
kuna kata sita mkuu.
CCM imeshinda kata sifuri na chadema imeshinda kata sita.
mbunge aliyeshinda ni John Mnyika.
duh hivi kibamba kuna kata ngapi? na je ccm wana ngapi?[v/QUOTE]
kuna kata sita mkuu.
CCM imeshinda kata sifuri na chadema imeshinda kata sita.
mbunge aliyeshinda ni John Mnyika.
😀😀😀 tuko zetu kilimani tunakula nyama huku tukishangilia ushindi wa kamanda KINYAFU mdoe chaliiii.
Mkuu nayaheshimu mawazo yako! Ila hapa ni kazi TUUU
Wakishinda CCM,wanakuwa wameiba au uchaguzi haukuwa wa haki,lakini wakishinda Chadema ,hakuna kelele wala malalamiko wala kuibiwa .Acheni undumila kuwili mjifunze kuwa wastaarabu kama wapenzi na washabiki wa CCM.
Mkuu nayaheshimu mawazo yako! Ila hapa ni kazi TUUU
Duu...Hapa Kazi Tuuu.....Kazi kampe punda wako.
Nakubaliana na wewe kuwa hizi ni ngome zenu kisiasa kwa sasa ila CCM tukiwa na mikakati mizuri tutazivunja tu kama CDM inavyovunja za Kwetu, mfano Tanga Mjini.....ni mikakati tu, Ubungo tunapoteza kwa kurudia makosa yaleyale....ila pongezi CDM.....Sikiliza ndg kwa habari ya majimbo ya Ubungo na Kibamba hata akija kugombea KINANA tutamtupa Asubuhi....haya majimbo watu tunaoishi huku sio MBULULAZ tumeamua kufanya kuwa ni BASE ya UKAWA tunajua Serikali wanatia ugumu kusaidia maendeleo wakidhani wanatukomoa nasisi tumejua kwamba ukiona GIZA linazidi basi pambazuko liko karibu kwahiyo usilaumu viongoz wako Nisawa leo hii UKAWA kulalamikia Kushindwa DODOMA MJINI au Majimbo ya huko Songea
Sawa mkuu, kwa kuwa CDM ndio maboss wa jimbo na kauli mbiu yenu ni Elimu, na sisi Hapa ni kazi tuu, na kwa kuwa zote ni heri kwetu hakuna shida mkuu! ELIMU NA KAZI! ila Hapa kazi TUUUUElimu na kazi, ukisema kazi tuu ni sawa na kulima shamba bila kupanda mbegu.