CHADEMA yapongezwa kwa kujenga msikiti

CHADEMA yapongezwa kwa kujenga msikiti

wkiristo wa tanzania ni janga la taifa. wanapewa misaada na serekali, wanapewa pesa za elimu, wanasaidiwa ktk vyuo vikuu. matokeop yake, ufisadi unakuwa kwa kasi, umaskini unaongezeka, rushwa inapamba moto, maisha maugumu.
Msaada wa serikali unatolewa hasa na nchi za kikristo ambao wanasukumwa na fikra ya mwanzilishi wa ukristo ya kupendana na kusaidiana. Hizo ruzuku wanazopewa ni kiasi kidogo tu kulinganisha na misaada inayotolewa lakini hii si sababu hasa ya kutolewa hizo ruzuku. Unaelewa hizo sababu ila hutaki kuzikubali.
 
masaburi yanakuwasha sana wewe,hatujasoma kwa sababu ya mfumo kristo ambao sasa cdm wanataka kuuendeleza.

we ndo naona masaburi yanakuwasha sana. kwa hiyo wakati wanafunzi wanaandikishwa shule ulikuwa unataja dini yako ndo unaandikishwa eeh!!
 
mtanzania huandika umbea. Yale ya msingi ya waislam huyaficha. Swali kwa chadema. Kwanini wanaungana na makanisa bungeni kupinga oic?

Nimejaribu kutafuta tusi gani nikutune,!!! nimeona hamna yaliyopo duniani yote madogo! kIFUPI NI KWAMBA WEWE NI KITUKO JF!
 
waislamu hawahitaji msikiti wanazo za kuwatosha! Wanachohitaji waislamu ni mikakati ya kuwanasua na umaskini, shule, hospitali, ajira, ubaguzi wa kidini, mfumo kristo tz, nk. Hivyo chadema wasijidanganye kwa kuwajengea waislamu vijisikiti ili wapate sapoti ya waislamu ktk uchaguzi wa 2015!!

Wakati wa kudanganywa na vijikofia, kanga, fedha nk. Umepitwa na wakati na waislamu wako macho na hila za vyama vya siasa bali waislamu wa tz wanajipanga imara kwa kuchagua chama madhubuti kitakacho kuja na sera safi mbele ya waislamu na ndipo waislamu watakapo ingia mkataba na hicho chama ikiwa wanataka kura ya waislamu basi wawe tayari kukubali masharti yao!!!

Kinyume chake waislamu watapokea kanga, vikofia au fedha zenu lakini kura ng,oo

mwe akili zenu ziko hivyo hivyo mgando hazibadiliki, ebu tuangalie mfumo wa ufundishaji akuanzia madrasa na sunday school hapo ndio utakapujua kwa nini tupo tofauti kwenye kufikiri!!
 
hahahahha. posho za wabunge hizo.ok any way Chadema kama kweli huo si unafiki watueleze kwanini wanaungana na makanisa kupinga OIC na mahakama ya kadhi? huku makanisa yakinufaika na vertican?

ww ni great thinker kweli? i doubt maana hufanyi research, NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK, kasome masharti ya kujiunga na oic na uendeshaji wa mahakama ya kadhi na kujiunga na vatican then uje uongee hapa. hivi ni kitu gani kinawashinda kujiunga huko through bakwata? hamuitaki bakwata anzisheni chombo kingine kama kanisa katoliki then mjiuunge huko kwa nini iwe govt of tanzania?
 
wakiristo ukiwakuta class uanweza kuwahurumia, no creming, no understanding, discussion 0, wanaongoza kwa kukopi

hahahaaa ndio maana population yao nyingi imeenda shule hivyo hivyo kwa kulazimisha, na wengine wamebaki kuwa vibaka na madereva na wauza magenge (hawakulazimisha na wakawaacha intellingent people tu ambao ni wachache akina malaria sugu)
 
jamani msikiti ni huduma ya kijamii.kwahiyo sioni ubaya wa chadema kujenga.kwani serikali ikijenga hospitali mbona hamja kataa kwenda mkitaka kwanza mahakama ya kadhi? hii jazba ndo ilifanya ndugu waislamu wasipeleke watoto shule kipindi hicho wakisema watakula nguruwe.madhara yake mnayaona sasa hivi.siyo kila wakati unaweza kutatua kila jambo.

mbona hospital kibao za kikristo wanakwenda? suseini muone kama hamjafa! mmekalia MUO jamani na nyie kuweni wabunifu mfanyeni MOU na nyie! mna hoja? shule mnazo? hospital mnazo? mbona mwenzenu aghakhani anayo MOU?
 
Yaani binadamu hata umfanyie nini hawezi kuridhika.
 
waislam hawadanganyiki.huyu Godigodi hana record nzuri ktk jamii ya waislam cdm waache kumtumia atazidi kuwaharibia.tunamfaham vizuri na njaa zake.

na shekhe mkuu wa Dar nae vipi,unamuamini? Maana suala la MOU kalizungumzia.
 
wakiristo ukiwakuta class uanweza kuwahurumia, no creming, no understanding, discussion 0, wanaongoza kwa kukopi
ujinga kama huu ndiyo mtaji mkubwa wa ccm kubaki madarakani...! itakuua hiyo chuki , kenge we!
 
ujinga kama huu ndiyo mtaji mkubwa wa ccm kubaki madarakani...! itakuua hiyo chuki ,( kenge we!)

MODS: mpo lakini kumuita member mwenzeko KENGE sheria na kanuni za JF zinaruhusu?
 
makanisa yote sasa yanakiunga mkono Chadema baada ya kumuona muislam yupo Ikulu. lkn kamwe waaongoza huko huko kwa waua maalbino na vikwonge

Mimi nilidhani unatania kuwa malaria imepanda kichwani
 
wkiristo wa tanzania ni janga la taifa. wanapewa misaada na serekali, wanapewa pesa za elimu, wanasaidiwa ktk vyuo vikuu. matokeop yake, ufisadi unakuwa kwa kasi, umaskini unaongezeka, rushwa inapamba moto, maisha maugumu. hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Na wewe ukipewa si utanunua mabomu ya kujitoa muhanga na pesa nyingine kama kipozeo kwa wafiwa?lol

Malaria sugu, this is THE FACT...Kwamba mabwana zenu waarabu waliokuleteeni dini amayo wengine imewafyatua mbongo, wana pesa kuliko binadamu wote humu duniani, sasa wamewapa dini na umasikini wana nia nzuri kweli hao?
 
Back
Top Bottom