Baada ya kumaliza kadigrii kangu Mtwara sasa niko kijijin Itumbiko wilaya mpya Kakonko-Kigoma na ninafanya kazi ya kuongeza wanachama wa CHADEMA kama ifuatatavyo;
1. Kutembelea nyumba hadi nyumba na kijiji hadi kijiji kueleza ubaya wa CCM, reference Mtwara
2. Kuanzisha ligi ya mpira wa miguu sh.50000 itaanza August mwishoni
3.Kutafuta support ya vijana kwenda hospitalini kufanya usafi
4. kubadilishana mawazo na wanabodaboda na vijiwe vya kahawa about CHADEMA NAMNA YA KUFANIKISHA HAYA.
Nitatumia 20% ka salary Kabla sijaenda kazini mwezi wa 12 b'se kalikizo kangu kanaisha mwezi wa 11
USHAURI KWA MAKAMANDA
Kwa wale ambao tumetoka vyuoni tujitahidi kwenda vijijini kuhamasisha, silazima iwe mikutano tu b'se wazee wengi
hawahudhurii mikutano.
OMBI
Makamanda tembeleeni mkoa wa kigoma b'se ni miaka mingi hamji huku kwani hapa mudi ya watu ni zaidi ya Arusha .
Mungu ibariki Tanzania.
Naomba kuwasilisha.