CHADEMA yapaa vijijin (interior)

CHADEMA yapaa vijijin (interior)

Mkuuu niambie lini nije nikupe sapoti apo kyela mi nipo tiyari
tena vijijini ccm ikifa haitaweza kurudi ! Mimi nimefanya yangu kyela , tena kwa mafanikio makubwa ! Japo kuna mtu alikurupa kwenda kugawa bodaboda .
 
Baada ya kumaliza kadigrii kangu Mtwara sasa niko kijijin Itumbiko wilaya mpya Kakonko-Kigoma na ninafanya kazi ya kuongeza wanachama wa CHADEMA kama ifuatatavyo;

1. Kutembelea nyumba hadi nyumba na kijiji hadi kijiji kueleza ubaya wa CCM, reference Mtwara

2. Kuanzisha ligi ya mpira wa miguu sh.50000 itaanza August mwishoni

3.Kutafuta support ya vijana kwenda hospitalini kufanya usafi

4. kubadilishana mawazo na wanabodaboda na vijiwe vya kahawa about CHADEMA NAMNA YA KUFANIKISHA HAYA.

Nitatumia 20% ka salary Kabla sijaenda kazini mwezi wa 12 b'se kalikizo kangu kanaisha mwezi wa 11

USHAURI KWA MAKAMANDA
Kwa wale ambao tumetoka vyuoni tujitahidi kwenda vijijini kuhamasisha, silazima iwe mikutano tu b'se wazee wengi hawahudhurii mikutano.

OMBI
Makamanda tembeleeni mkoa wa kigoma b'se ni miaka mingi hamji huku kwani hapa mudi ya watu ni zaidi ya Arusha .

Mungu ibariki Tanzania.

Naomba kuwasilisha.

mkuu huko unajisumbua tu mlienda mtwara mkaanza kuwatukana watu wa mtwara eti wajinga wamelala leo utawaambia nini kuhusu chadema ukitoka huko nenda na makandana wakakutoe balo.
 
Baada ya kumaliza kadigrii kangu Mtwara sasa niko kijijin Itumbiko wilaya mpya Kakonko-Kigoma na ninafanya kazi ya kuongeza wanachama wa CHADEMA kama ifuatatavyo;

1. Kutembelea nyumba hadi nyumba na kijiji hadi kijiji kueleza ubaya wa CCM, reference Mtwara

2. Kuanzisha ligi ya mpira wa miguu sh.50000 itaanza August mwishoni

3.Kutafuta support ya vijana kwenda hospitalini kufanya usafi

4. kubadilishana mawazo na wanabodaboda na vijiwe vya kahawa about CHADEMA NAMNA YA KUFANIKISHA HAYA.

Nitatumia 20% ka salary Kabla sijaenda kazini mwezi wa 12 b'se kalikizo kangu kanaisha mwezi wa 11

USHAURI KWA MAKAMANDA
Kwa wale ambao tumetoka vyuoni tujitahidi kwenda vijijini kuhamasisha, silazima iwe mikutano tu b'se wazee wengi hawahudhurii mikutano.

OMBI
Makamanda tembeleeni mkoa wa kigoma b'se ni miaka mingi hamji huku kwani hapa mudi ya watu ni zaidi ya Arusha .

Mungu ibariki Tanzania.

Naomba kuwasilisha.

Sasa unawaambia watu wa Kakonko wasitoe nini? Maana Kakonko wanataka isitoke nini? Umezungumzia reference yako mtwara sasa Kakonko unawaeleza nini?
 
Kyela bwana wale watu wa mwaja hawaitaji kupigwa jeki kubwa wakiamua wameamua hongera

Unaijua siri ya wao kuwa hivyo ? Ni kwasababu huwezi kuwalaghai kwa kibaba cha unga ( kumbuka hiyo ndiyo mbinu pekee ya magamba iliyobaki ) , kule hakuna njaa , IMBOTO MPAKA NNYUMBA !
 
Kama mimi ningekuwa CCM ningea anza kuweka vikao vya namana gani tusikimbiane baada ya kuwa wapinzani wenye nguvu, maana kama CCM watabaki wakidhani bado tanzania ni yao basi watakuwa wapinzani nyuma ya chausa kama nimepatia
 
ninajitolea kusimamia kituo cha kupigia kura popote tanzania na pesa yangu ya uwakala iende kwenye mfuko wa redbrigade na mimi nitawachangia za kwangu ccm lazima ife
 
Mimi kazi ninayofanya...nimepanga niandikishe wanachama vijana miambili kwa kipindi cha mwaka huu kilichobaki....silali
 
Nakutakia mafanikio mema ila kuwa makini na hao grean guard wasije kukucharanga mapanga
 
Ndugu yangu usiishie hapo itumbiko tu ktk wilaya ya Kakonko kuna vijiji vingi hapo vinataka ukombozi, ingia kabisa maeneo ya Kinonko, kasuga, nyabibuye, nyakayenzi hlf geuka uje na huku Bukirilo Gwanumpu, katanga, Ruhambara na Ilabiro etc piga kazi mkuu sisi tulioko mbali na Kakonko tunakutakia kila la heri
 
Nakutakia mafanikio mema ila kuwa makini na hao grean guard wasije kukucharanga mapanga
 
kwanza hiyo bendera hapo ilipo nahisi ni UCHAGANI!!
halafu wenzako wataishia kukupa moyo na hongera kwa matembezi, wao wanasaka ugali wa watoto na mademu wao halafu jioni tunakutana paleeee msimbazi center kupata KITIMOTO ROAST NA NDIZI KADHAA HUKU TUKISUKUMIA NA TUSKER BARIIIIIIIIIIIIIIIIIDDD

We Itake radhi hiyo BIA,

Sio TUSKER sema KINANA.
 
Back
Top Bottom