CHADEMA yapaa vijijin (interior)

CHADEMA yapaa vijijin (interior)

rfa

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
105
Reaction score
38
Baada ya kumaliza kadigrii kangu Mtwara sasa niko kijijin Itumbiko wilaya mpya Kakonko-Kigoma na ninafanya kazi ya kuongeza wanachama wa CHADEMA kama ifuatatavyo;

1. Kutembelea nyumba hadi nyumba na kijiji hadi kijiji kueleza ubaya wa CCM, reference Mtwara

2. Kuanzisha ligi ya mpira wa miguu sh.50000 itaanza August mwishoni

3.Kutafuta support ya vijana kwenda hospitalini kufanya usafi

4. kubadilishana mawazo na wanabodaboda na vijiwe vya kahawa about CHADEMA NAMNA YA KUFANIKISHA HAYA.

Nitatumia 20% ka salary Kabla sijaenda kazini mwezi wa 12 b'se kalikizo kangu kanaisha mwezi wa 11

USHAURI KWA MAKAMANDA
Kwa wale ambao tumetoka vyuoni tujitahidi kwenda vijijini kuhamasisha, silazima iwe mikutano tu b'se wazee wengi hawahudhurii mikutano.

OMBI
Makamanda tembeleeni mkoa wa kigoma b'se ni miaka mingi hamji huku kwani hapa mudi ya watu ni zaidi ya Arusha .

Mungu ibariki Tanzania.

Naomba kuwasilisha.
 
Waambie na waitimu wenzio wote wawe na moyo kama wako
 
Hongera kwa maamuzi yako lakini pia uongeze umakini maana hawachelewi kukuvia ili wakutoe kucha na meno bila ganzi!
 
Ni sawa lakini sio cdm ihamie kigoma kisa wana kiu ya mabadiliko.mabadiliko ni kwa tz nzima na visiwani
 
tena vijijini ccm ikifa haitaweza kurudi ! Mimi nimefanya yangu kyela , tena kwa mafanikio makubwa ! Japo kuna mtu alikurupa kwenda kugawa bodaboda .
 
Hongera kwa wazo zuri sana Kigoma tunawaaminia munajitahidi sana munahitaji kuungwa mkono mkoa wa mfano kila heri kwa kazi nzuri
 
tena vijijini ccm ikifa haitaweza kurudi ! Mimi nimefanya yangu kyela , tena kwa mafanikio makubwa ! Japo kuna mtu alikurupa kwenda kugawa bodaboda .
Kyela bwana wale watu wa mwaja hawaitaji kupigwa jeki kubwa wakiamua wameamua hongera
 
Wel done mkuu mungu akulinde endelea kuwahubiria watu wa mungu haki zao na wanapojikwaa mwisho wape neno la uzma mpya ambao ni sera za chadema
 
tena vijijini ccm ikifa haitaweza kurudi ! Mimi nimefanya yangu kyela , tena kwa mafanikio makubwa ! Japo kuna mtu alikurupa kwenda kugawa bodaboda .

Mkuu nimekumbuka juzi umemripoti nakumbuka huyo...nakumbuka kauli yako hiyo siku ulisema kawagawa wasio jitambua
 
Hapa ni usukumani panaitwa Jojilo kilomita kama ishirini ukiingia ndani ya barabara inayoelekea Malampaka kutokea njia panda ya Mabuki.

Bendera ya CHADEMA inapepea bila wasiwasi wowote.
Tulizoea kwa miaka mingi kudhani vijijini kama huko ambako tunadhani magazeti au mitandao kama JF haifiki tukafikiri na kuaminishwa kwamba vijijini si kambi ya upinzani.

Kwamba huko ni rahisi kuwatisha kupitia mabalozi nyumba 10-10 kwamba ukipenda upinzani ni kujitakia jehanamu.

Sasa hukohuko bendera ya Peoples power inepepea tena kwa nguvu zote.

Angalia picha na jadili.



Chadema-03.JPG

Chadema-02.JPG



Chadema-01.JPG
 
Baada ya kumaliya kadegree kangu mtwara sasa niko kijijin itumbiko wilaya mpya kakonko-kigoma na ninafanya kazi ya kuongeza wanachama wa cdm kama ifuatatavyo;

1. kutembelea nyumba hadi nyumba na kijiji hadi kijiji kueleza ubaya wa sisiem reference mtwara
2. kuanzisha ligi ya mpira wa miguu sh.50000 itaanza august mwishoni 3.kutafuta supoti ya vijana kwenda hospitarin kufanya usafi
3. kubadilishana mawazo na wanabodaboda na vijiwe vya kahawa about cdm NAMNA YA KUFANIKISHA HAYA. Nitatumia 20% ka salary Kabla sijaenda kazini mwezi wa 12 b'se kalikizo kangu kanaisha mwezi wa 11

USHAURI KWA MAKAMANDA
Kwa wale ambao tumetoka vyuoni tujitahidi kwenda vijijin kuhamasisha, silazima iwe mikutano tu b'se wazee wengi hawahudhurii mikutano.

OMBI
Makamanda tembeleeni mkoa wa kigoma b'se ni miaka mingi hamji huku kwani hapa mudi ya watu ni zaidi ya arusha . mungu bariki tz, mungu bariki cdm amina.

Naomba kuwasilisha

Well done kamanda, we call it "stewarship"...
 
kwanza hiyo bendera hapo ilipo nahisi ni UCHAGANI!!
halafu wenzako wataishia kukupa moyo na hongera kwa matembezi, wao wanasaka ugali wa watoto na mademu wao halafu jioni tunakutana paleeee msimbazi center kupata KITIMOTO ROAST NA NDIZI KADHAA HUKU TUKISUKUMIA NA TUSKER BARIIIIIIIIIIIIIIIIIDDD
 
Sasa hivi watanzania waishio vijijini ndo wanaongoza kwa kutaka mabadiliko kuliko wa mijini. ukweli ni kuwa bila kujali wa mijini ama vijijini, watanzania wameichoka CCM. Kipimo halisi sio bendera za chama bali ni mikutano ya hadhara, ukweli ni kuwa watanzania hawako tayari kwenda kusikiliza propaganda za CCM na ndo maana hata ziara ya kuzunguka nchi nzima ya katibu mkuu wa CCM Bwana kinana mara tu baada ya kuchaguliwa, ilishindikana maana kila alipokwenda alikosa watu wa kumsikiliza na pale alipopata umati wa kutosha basi viongozi wa CCM wa eneo husika lazima waliingia gharama ya kutuma malori ya fuso kukusanya watu. Ila watu wanaposikia mkutano wa Chadema wanakwenda wenyewe na baadhi ya sehemu maduka hufungwa kabisa na ili kukabiliana na hali hii ndo maana CCM sasa hivi wameamua kuanza kurusha mabomu katika mikutano ya chadema ili chadema nao wakose watu. Ukweli ni kuwa watanzania wamebadilika sana na wanachotaka ni mabadiliko hata chadema ikifutwa leo na huyo mkereketwa wa CCM Bwana Tendwa, moto wa mabadiliko utaendelea kuwaka kama kawaida. Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom