Ritz
Ntuzu ni Msukuma wa kwetu, na hayo umkumbushayo tayari nilimtahadharisha mapema lakini hakutaka nisikiza,
Ntuzu
Leo kwa ushaahidi wa Ritz alioukusanya ni sawa na kakuvua nguo ulizokuwa ukipinga hujawahi zivaa na ilhaal watu waisha kuona, sasa zivue ili kujaribu tuaminisha kuwa si weye,
Jaribu kuiga ukweli na misimamo na kuyatendea haki maandiko ya kitabu ukifuatacho (BIBLIA) ama hukiamini na hutakiyasikiza tena ya ndanimwe?!
Mie nilikuambia sina Chama, kama ni Chama, basi Chama changu ni kusimamia haki bila kujali DINI, RANGI, KABILA wala UKANDA.
Ulinielewa nduu lao?!
Pole sana, sasa itanipasa kukutafakari kwa namna ya watu kama weye, maana hata maandiko ndani ya BIBLIA yatukumbusha katika : - TITO 3:14
WATU WETU NAO WAJIFUNZE KUDUMU KATIKA MATENDO MEMA, KWA MATUMIZI YALIYO LAZIMA, ILI WASIWE HAWANA MATUNDA.
Naamini ulijisahaulisha tu nduu lao, sasa nimekukumbusha mie msukuma wa Ng'okoro Matope.
Ahsanta .