CHADEMA Yamwaga ajira Zanzibar.

CHADEMA Yamwaga ajira Zanzibar.

Status
Not open for further replies.
Km wameona kuna umuhimu Wa kua na mtu kwa nafasi hiyo kwa upande Wa Znz ni vizuri!

Ritz kakuumbua...nakupata vizuri sana wewe kijana name calling isingekua ishu ningekutaja unatumika kwa mipango mingi michafu ndani ya chademu na ni muumini mzuri wa lema ila huko znz mnahangaika bure hamtaweza
 
Last edited by a moderator:
chademu waliingiza verse ya serikali Tatu ili Ku buy sympathy ya wazenji huku wakiwa na agenda ya siri ya maaskofu ya kupigania serikali mbili
 
Kauli ya Mtei kuhusu wajumbe wa tume ya katiba.............?, mwito wangu; tusimamie kauli zetu kwanini tunakuwa hatuna msimamo? Tunayumbayumba!
 
Mkurugenzi wa Habari wa CHADEMA John Mnyika ametangaza nafasi ya kazi kwa mtu yeyote Mzanzibar anayeweza kufanya kazi katika kurugenzi ya Mawasiliano na Mahusiano CHADEMA.

Mnyika amesema nafasi hiyo itatolewa kwa Mzanzibar yeyote atakayetimiza vigezo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.

Pia hii ni kuonyesha thamani ya Wazanzibar kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ambapo vigezo vyote vinaonyesha Watanzania wamejiandaa kukikabidhi dola 2015.

Mnawathamini wazanzibari? Huna haya kusema ivo ewe mtoa mada? Chadema ni chana ambacho hakina habari na zanzibar asa!! Wenzenu washatoa ajira siku nyingi sana (CCM NA CUF) zanzibar.... Bado hamjaweza
 
Mkurugenzi wa Habari wa CHADEMA John Mnyika ametangaza nafasi ya kazi kwa mtu yeyote Mzanzibar anayeweza kufanya kazi katika kurugenzi ya Mawasiliano na Mahusiano CHADEMA.

Mnyika amesema nafasi hiyo itatolewa kwa Mzanzibar yeyote atakayetimiza vigezo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.

Pia hii ni kuonyesha thamani ya Wazanzibar kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ambapo vigezo vyote vinaonyesha Watanzania wamejiandaa kukikabidhi dola 2015.

Asijitoe fahamu, sisi Wazanzibar sio Wachaga...tena wala hatuna mahusiano na Ukatoliki....chama chetu kilee kinachodai Zanzibar yenye mamlaka kamili maana hiyo ndio kiu ya Wazanzinar...
 
Ntuzu.

Mbona umekuwa mnafiki sana mimi hauwezi kunidanganya nakujua kuwa wewe ni mfuasi wa Lema na Chadema ukiwa muongo jaribu kuwa na kumbukumbu, ngoja ni dadavue kiduchu bayana zako.... hapa ulianza kujitoa ufahamu.

Hapa ukaanza kuonyesha rangi yako halisi unaaza kuwashambilia CCM.

Hapa unaaza kukusifia chama chako Chadema.

Hapa chini jisome...teh teh teh huyu ndiyo Ntuzu anayesema hana chama.

Hapa unawapa taarifa Chadema wenzako.

Huyu ndiyo Ntuzu hana chama teh teh teh.

Hapa unamsifia Lema ndiyo maana mwanzo nilikuuliza wewe ni mfuasi wa Lema ukajibi kihuni.

Hapa unaendelea kumsifia Lema ili mkono uende kinywani.

Ngoja niishie hapa... wabara CHAMVIGA Bill Cosby gombesugu.

:violin:

Ntuzu tunamjua kidogokidogo rangi yake hata hivyo huyu mkristo mwenye afadhali ukilinganisha na hawa wengine wanashinda kutuporomoshea matusi humu jukwaani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom