Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,822
- 3,832
Ni jambo zuri, kwa mtazamo wangu wamechelewa kulifanya hilo na itawalazimu wafanye kazi ya ziada ikiwezekana saa 23 na dk50 kwa siku ili kupata uwiano mzuri kama huku Tanganyika.
Chadema ambayo kidogo ilikuwa inakubalika znz,ni ya J. Mapalala.
wala sio swala la kuficha tena, mods wa JF nao inaelekea wapo kwenye campaign ya kuwagawa watanzania kwa misingi ya udini, ukanda na ukabila ndo maana huyo bwabwa hawampi adhabu,Wewe ndio sababu ya yote hayo! Kwasababu huwezi kujadili kwa hoja nzuri Zaidi ya kuleta udini ukanda na ukabila! Post yako moja Mods wameifuta ulikua umeropoka kweli Alafu unasema eti ndio ukweli!
Ona sasa unasababisha mpk Mods wanatukanwa! Sio vizuri hivyo Mkuu!
Badilika ndugu Sisi wote ni watz!
We ni ms,...ge lazma utukanwe kwanin unagawa watanzania kwa misingi ya ukabila na udini acha uchowe we mat....o
Inasikitisha sn! Badala ya kujadili vitu vya msingi mtu anakuja na hoja zake za ajabu ajabu!
Tumechoka na Siasa za ajabu ajabu!
Kiongozi wa chadema huyo halafu unategemea kupata wafuasi huku Zanzibar hayo matusi yenu pelekeni Tengeru tuachieni Zanzibar yetu.
Achana na siasa kahubiri injili mkuu.
Nafikiri chadema ndio kinara wa usiniu na ukabila,kwani zitto kawakosea nini?
Mambo ya ZZK kawaulize viongozi Wa Cdm au mahakamani!
Na hiyo isiwe sababu ya nyie kueneza propaganda zenu chafu!
Mimi nawashangaa sn!
CHADEMA kama CHAUSTA uchaguzi wa serikali za mitaa watapata viti viwili tu, chama kipo hoi wamebaki kula ruzuku na mabibi zao
Khee! Leo imeshakuwa inshu ya kuwauliza viongozi na mahakama? Mmesahau mlikuwa nakesha hapa kumnanga zitto?kweli chadema kwisha habari yenu nyie 2015 mtaisikia bombani tu,