CHADEMA Yamwaga ajira Zanzibar.

CHADEMA Yamwaga ajira Zanzibar.

Status
Not open for further replies.
Chadema wanaijuwa leo Zanzibar, hebu waangalie wamefanya nini cha maana katika Zanzibar tokea CDM iasisiwe?

Si walisema wao hawana hata mipango ya kampeni Zanzibar sababu hawaitambui Zanzibar kama jimbo la uchaguzi ukilinganisha na majimbo ya Bara.
teh teh, zanzibar ni sawa na wilaya tu huku bara! Chadema wamefanya favor tu kwa zanzibar!
 
Mkuu mbona unawasha wenge au kwasababu nimekueleza ukweli kajipange upya nani muongo?

Ukweli ni kwamba hizi Propaganda unazozishadidia ndio ziliimaliza Cuf! Na sasa na wewe ndio unazieneza!
 
Kwani nyie magamba mnashida gani cdm ikitangaza nafasi za kazi?jiandaeni kujibu watz kuhusu utekelezaji wa ilani yenu.
 
Nashukuru sn Mkuu lkn kauli zako ndiyo zinadhihirisha jinsi ulivyo!

Ata ccm haitakiwi Znz. Nimekaa Znz naielewa vizuri! Kwahiyo wewe ndio kigeugeu!

Nani amekwambia mimi ni CCM usinilishe maneno kamanda ukigeugeu wangu uko wapi? ukweli unauma ehhh!
 
Huyu anaejiita THE BIG CHOO…hakuzaliwa kutoka kwenye uke wa mwanamke bali alizaliwa kwa kupitia makarioni'i mean hili lijitu lilizaliwa kwa kujambwa. Maana kama angekuwa amezaliwa kama tulivyozaliwa sisi wengine basi asingekuwa anapost upumbavu huu kila siku.
haaa haaa haaa haaa!
 
Mkuu Khawarizm

Niliposoma kichwa cha habari cha huu uzi nikafungua kwa haraka kuona hizo ajira kumbe ni usanii tu. Si mwambie huyu jamaa yao huwa anakaa mbele na Mbowe kwenye kamati kuu awatafutie jamaa yake wampe hiyo ajira. Tundu Lissu alishasema Zanzibar ni kama jimbo la ubungo hawana shinda na Zanzibar kulikoni leo.

Hawa a small whisper in Zanzibar basi watapoteza mpaka usajili hawa. Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Nini sera ya Chadema kuhusiana na muungano?
 
teh teh, kwa hiyo unataka chama la kiislamu?

Kamuulize Ndesamburo alimuuliza Hamad Rashid hivi hichi chama chenu cha CUF mbona kimekaa kiislamu! tatizo lenu vijana wengi wa CDM akili zenu zimepigwa pingu mnapelekwa kibubusa.
 
Nani amekwambia mimi ni CCM usinilishe maneno kamanda ukigeugeu wangu uko wapi? ukweli unauma ehhh!

Wewe Km Sheikh ulikuwa unapaswa kusimamia umoja wetu na upendo! Lkn ndio kwanza unaanza kusema vitu vya ajabu! Inasikitisha sn kua ktk Jamii Km Hii!
 
Kazi sn!
Yani watz tumefikia Kiasi hichi!?
 
Kwani nyie magamba mnashida gani cdm ikitangaza nafasi za kazi?jiandaeni kujibu watz kuhusu utekelezaji wa ilani yenu.

Usanii hatuutaki, M4C haina chake znz wacha tupige kampeni tuwatoe znz kisha wakose usajili mpaka Tanganyika. Teh teh
 
Wewe ni panya unang'ata na kupuliza Unajifanya muungwana kumbe hamna lolote hili li chama lenu la kikristo hatulitaki huku Zanzibar

Hii kauli ya PANYA inanikumbusha mambo ya Libya! Walibya waliitwa PANYA!

Sheikh Faridi asante sn bhana!
 
teh teh, zanzibar ni sawa na wilaya tu huku bara! Chadema wamefanya favor tu kwa zanzibar!

Favor ipi we kauzu mbona huyo kadinali wenu povu linamtoka hataki serikali tatu, anafuata sera za baba yenu wa taifa Abdu Jumbe aliona mbali sana ndio maana mchonga akamvua uraisi.
Kasome kitabu kinachoitwa "The partnership" cha Abdu Jumbe itajua mengi sana full stop.
 
Chadema wanaijuwa leo Zanzibar, hebu waangalie wamefanya nini cha maana katika Zanzibar tokea CDM iasisiwe?

Si walisema wao hawana hata mipango ya kampeni Zanzibar sababu hawaitambui Zanzibar kama jimbo la uchaguzi ukilinganisha na majimbo ya Bara.

Hizi ndio hoja zenye Mashiko! Sio mtu kuja na propaganda ya Udini na Ukabila! Ni mbaya sn!

Hongera sn Mkuu kwa Hii hoja yako!
 
Wewe Km Sheikh ulikuwa unapaswa kusimamia umoja wetu na upendo! Lkn ndio kwanza unaanza kusema vitu vya ajabu! Inasikitisha sn kua ktk Jamii Km Hii!

Kwani ukiwa sheikh hiruhusiwi kukemea mabaya,ukweli tutausema daima kamanda
Umoja upi unaozungumzia wakati nyie ndio munaotuita sisi mzigo mnatubeba hatutaki unafiki tuacheni tupumue.
 
Molemo, mbona unafilisika kisiasa mdogo angu? Utahangaika sana.
umesema ajira zimemwagwa, mbona ajira yenyewe ni moja tu? Any way kule hamna akina mangi jaribuni baadaye

Mkuu acha kuichafua CCM kwa kuendeleza ukabila na hoja za kuwagawa watanzania. Tumjibu Molemo kwa hoja zenye mashiko na afya kwa umoja wa Tanzania,
 
Last edited by a moderator:
Mkurugenzi wa Habari wa CHADEMA John Mnyika ametangaza nafasi ya kazi kwa mtu yeyote Mzanzibar anayeweza kufanya kazi katika kurugenzi ya Mawasiliano na Mahusiano CHADEMA.

Mnyika amesema nafasi hiyo itatolewa kwa Mzanzibar yeyote atakayetimiza vigezo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.

Pia hii ni kuonyesha thamani ya Wazanzibar kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ambapo vigezo vyote vinaonyesha Watanzania wamejiandaa kukikabidhi dola 2015.

Haah! Haaah! Nimeshtuka kuona imemwaga ajira nikajua post kama 75 kumbe moja? Du you make my day! Haya mimi nipeni hiyo kazi ya kwenda kuchua hizo dollar $2015 nazitoa wapi na kuzipeleka wapi sijui?!!.

Body without head
 
Kwani ukiwa sheikh hiruhusiwi kukemea mabaya,ukweli tutausema daima kamanda
Umoja upi unaozungumzia wakati nyie ndio munaotuita sisi mzigo mnatubeba hatutaki unafiki tuacheni tupumue.

Ni baya lipi ulouhakika unalolikemea wewe Km Sheikh?

Hayo mambo ya muungano usiyaingize hapa!

Mkiambiwa ukweli mnasema mnakemea!
 
Hii kauli ya PANYA inanikumbusha mambo ya Libya! Walibya waliitwa PANYA!

Sheikh Faridi asante sn bhana!

Kwahiyo wewe unataka kuniambia Zanzibar yatatokea kama ya Libya?
Nyie walipoungana CCM na CUF kuondoa tofauti zao watu walikuwa hawazikani ndugu kwa ndugu si mulifirahi leo hii munasema CUF wameolewa na CCM,kwahiyo munataka turudi kuleee tuliko toka kama sio unafki ni nini?
Leo ndio munajifanya kujua kuna sehemu/nchi inaitwa ZnZ mulikuwa wapi kipindi chote hicho au mna agenda zenu za siri kutoka CDU?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom