Operesheni tokomeza: Mh. Assumpta Mshana awaponda upinzani wenye nia mbaya na serikali ya CCM

Kwa kweli huyu mama alipasw jikoni anapika chakula cha mume wake,anaongea pumba tupu.halafu hawa hawa ndo tunatarajia waje kujadili rasimu ya katiba kk bunge maalum.du! baadhi ya wabunge wa ccm ni majanga..
 
Ivi kuna mpinzani anaeweza kulituma jeshi la wananchi(JWTZ) au jeshi la polisi kufanya huo unyama? Uyo naona uzito wa hoja ulimdatisha kama yule mkalimani wa kwa Mandela....!

Daah... Nimechekaje?! Yaani ukubwa hoja umemdatisha huyo MbuNGE ka mkalimani wa kule bondeni...
 
Wale Wote wanaombeza Lema mmemsikia hoja zake zilivyo nzito tena jasiri na ametoa hoja nzito mpaka ikulu ameigusia!
 
Miss Strong upoooooo?

Wako wapi Leo Akina Ritz, Hamy-d, Faiza Foxy na wale Wote Wa Lumumba!?
 
Nipo hapa yaan Lema kaua ile mbaya.... Ritz yupo kwenye kamati ya ufundi si unajua tena
 
Last edited by a moderator:
Ole Madeye alitaka kuinuka kwenda kumvamia Lema eti tu kwa sababu kaitwa "KIPINDUPINDU" wa ukabila kule Arusha kuhusu kuwachukia wale wote wasio wazawa wa jiji la Arusha.
 
Mkuchika mkuchika mkuchika lema anasema naye anahusika kwa maana yeye ndo anasimamia idara ya usalama wa taifa,kama usalama wa taifa ungefanya kazi ipasavyo haya mambo yasingefika ktk hali hii
 
Nipo hapa yaan Lema kaua ile mbaya.... Ritz yupo kwenye kamati ya ufundi si unajua tena

Mkuu Leo siwaoni Hawa pro-Ccm kwenye hili jukwaa!

Juzi na Jana tuwaona wakimshambulia sn Mh Mbowe Kwa mambo Yake binafsi!

Mh Zambi na yeye anapingilia msumali! Anataka Hawa Wote wajiuzuru!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom