CHADEMA yamtelekeza mbunge aliyemvua hijabu mkuu wa wilaya(hii ndo chadema zaidi ya huijuavyo)


mmekaa kujilindalinda tu wakati CDM inajulikana kwa hojana si viroja na majibu ya kunya kama ya jasusi...angalia ulivyojibu hoja hapa na nenda kwa jasusi angalia upupu alioandika...ifikie muda tutofautishe seniors na wageni humu.......

tarehe inaweza kukosewa bado mtu akajibiwa na akaondoka na aibu zake........MTM anasema njia ya mwongo fupi, sasa ww only 83 mfundishe Jasusi.

Hivi wanajamvi ni wote mna mawazo kama haya yangu? ....kwamba Waberoya ni mmoja wa viongozi maarufu wa CHADEMA ambaye ana chuki na Wachaga?


???????

wote wakiwaza kama wewe watafikia kuwachukia mama na baba zao wachaga ambao ni umaarufu
 
Kwani hiyo kesi si ya hadhara!.... au ni ya siri? as in not open for public.

Kama ni ya hadhara, je Tundu Lissu ashawahi kuhudhuria?.... and how did he drop the repertoire?

What's the status of that case as we speak right now?
Has the defense rest their case already or they are still making their case, or they haven't even started yet.
A retired judge? hmmmm!!!... looks like just another ex government official.
Hii hoja ina nguvu, mnaopinga mnaonyesha ushabiki bila points.
 

maswali mengi sana bana. We beba box huko kama huna source za taarifa za hili jambo.

Hili ni jambo kubwa kwa maana moja tu, aliyelileta hapa hajalileta kwa mapenzi yake kwa cdm wala suzan, amepata cha kuongea ...... Ndo kazi yake ..... Kapata cha kutoa kwenye public.

Tuna weye soon and very soon.
 
Kesi ipo au haipo?
Je, ipo hatua gani?
Tundu lisu mnayemsema ndiyo wakili wake, amemwakilisha?...
Mkijibu hayo, ndiyo mnaweza kusema mleta hoja ni mwongo.
Zaidi ya hapo ni pumba tu. Hamna cha maana mnachosema, msipende ushabiki usio na maana, mnaboa!!!
 
Hii kesi inausisha wabunge wawili pamoja na wanachama wengine na je utasemaje kasusiwa yeye kesi?
Je, wenzake wanamawakili tofauti kesi zinafanyika siku tofauti.
Tunaaomba utujuze kwanza hilo.
 
Kipindi anachozungumza mleta mada nilikutana na Suzan Kiwanga makao makuu na nikazungumza naye. Sijasikia malalamiko kama hayo kwake, wala kwa kiongozi ya yote wa makao makuu, japokuwa nilitumia muda mwingi pale kwa shughuli za kichama. Nina mashaka na ukweli wa jambo hilo.
 
[/QUOTE]
mheshimiwa regia, wewe ni mbunge tena kutoka sehemu moja na mh susan suala hili unalijnua vizuri na mambo yanayoendelea ndani ya cdm siyo mageni kwako kwanini unalifumbia macho?? au ndo kama vile wanavyosema na wewe unafurahia kifungo cha susan kwasababu ya kugombania jimbo 2015??, huyo ni mwanamke mwenzako uache unafiki
 
Tukisema CHADEMA kuna uchaga na ukanda mnabisha.
 
Lifanyie kazi japo nina mashaka kama utaleta taarifa sahihi hapa.
 
wewe uliyeileta habari hii unataka kuachieve kitu gani hapa? Are you tribalist?
 
acha uongo wako huo uchaga wa kubuni hauko chadema,na SUSAN KIWANGA hawezi kusema mambo kama hayo hata siku moja kwasababu ni mtu anaejua chama na anajua hakuna jambo kama hilo kwenye cdm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…