CHADEMA yamtelekeza mbunge aliyemvua hijabu mkuu wa wilaya(hii ndo chadema zaidi ya huijuavyo)

Acha ujinga leo tar.ngapi? Pambafu rudi shule ya kata ujue kusoma tarehe.


Ku argue na Mwita 25 is like talking with an animal. Alishajiita Mbwa mods wakaifuta hiyo id!

Kuhusu mada, kwanza haina ukweli kwasababu wakili wao ni Lissu. Kwa huo uongo tu wa kusema wakili wao ni mzee sana inatosha kui nullfy story nzima kwa kuwa tayari ina doubts.
 
leteni mzaha bila kufuatiliaq mambo hatimae mbunge wenu atakwenda ndani,then mtaanza kulalamika kuwa kumbe yaliyosemwa ni ya kweli
Hata kama yaliyoletwa ni ya kweli ama siyakweli cha msingi hapa ni nyie wenye uchungu na mbunge wenu kufuatilia na kujua mbivu ama mbichi kuliko kudhani kuwa kilakitu kiletwapo hapa kwa ajili ya CDM ni vya kutungwa

Halahala jamani kidole na macho
 
Nawaachia wafuatao watoe comments maana ndio wanapenda threads zenye mawazo majitaka kama haya;
  1. Ritz
  2. Njiwa
  3. Faizafoxy
  4. Rejao
  5. Malaria sugu
  6. Korosho nk
Neno langu moja....karibu JF ila kajifunze namna ya kuongea hapa kwenye JUKWAA la watu makini...stori za facebook na Twitter huko huko....

acha kutishia watu wewe mwenyewe ni kilaza unaacha kuongelea mada unaanza kujadili watu, watu wenye uwezo mdogo wa kufikili kujadili watu badala ya hoja
 
Pamoja na kwamba hakuna uthibitisho, na ninaamini hili si la kweli, nashauri chadema waangalie hizi tuhuma, sio mara ya kwanza

na ikithibitika, basi wachukue hatua za haraka kwa ngoma inapoelekea sio kwema kabisa!!
 
Ni kawaida yao hao. Wanafikiri kila memba mpya ni mgeni wa JF.

Umeona enhee?! Nili-join JF kwa mara ya kwanza December 2008, lakini wakati huo nikiwa visitor kwa about two years!!! anyway, wakati huo nilikuwa mfuasi wa kudumu wa darhotwire na jambonetwork kuliko JF! Kwahiyo ni kweli kabisa, wengi wanaokuwa member JF tayari wamekuwa wenyeji wa JF for not less than months!
 
leteni mzaha bila kufuatiliaq mambo hatimae mbunge wenu atakwenda ndani,then mtaanza kulalamika kuwa kumbe yaliyosemwa ni ya kweli
Hata kama yaliyoletwa ni ya kweli ama siyakweli cha msingi hapa ni nyie wenye uchungu na mbunge wenu kufuatilia na kujua mbivu ama mbichi kuliko kudhani kuwa kilakitu kiletwapo hapa kwa ajili ya CDM ni vya kutungwa

Halahala jamani kidole na macho
Yaani umebanwa hadi umekwenda kubadili ID simamia hoja zako, ukiijua IT hadi raha.
 
Yaani umebanwa hadi umekwenda kubadili ID simamia hoja zako, ukiijua IT hadi raha.

wewe vipi mbona sikuelewi,mimi sijawahi na sitokuja badili ID yangu kamwe daima na kumbuka ID ninayoitumia ni JINA LANGU HALISI lililoanzia na kazi yangu,
labda uwe umechanganya madawa mkuu
tena mie ni muumini nisiye na chama yaani mpagani
 
Mi nazani wale wasiokubaliana na hoja ya mtoa mada basi wajikite kwenye mambo na hoja za msingi kuliko kujikita kwenye tarehe!!! Mtu aliyekusudia kupika, hawezi akashindwa kupika tarehe! Binafsi, hata kama huwa ckubaliani na CDM bado habari hiyo kwangu naiona ina mapungufu, lakini katu sioni kama mapungufu hayo yanatokana na tarehe!!
 
Mbona sikuelewi?umetumwa na magamba kuandika thread isiyo na kichwa wala miguu.Fikiri kwanza kabla ya kuja kichwa kichwa.Sawa?
 
mkuu do you have more proof regarding this? umesikia kwa mtu au?

ninachofahamu ni kuwa kesi inaendelea na kulikuwa na possibility ya kumalizana hasa kama mkuu wa wilaya angekuwa positive, sijajua ilifikia wapi
Hivi wanajamvi ni wote mna mawazo kama haya yangu? ....kwamba Waberoya ni mmoja wa viongozi maarufu wa CHADEMA ambaye ana chuki na Wachaga?
 
Hawa ndo great thinker wetu tulionao hapa jf, mi najuta kuitwa great thinker kwa sababu ukiniita great thinker unanifananisha na huyu aliyetuma post. Kuna watu wamesoma mpaka wakapata phd, dr na prof lakini hii leo wanajuta kuitwa hivyo si kwa kupenda ila fani yao kuingiliwa na watu feki kama dr jk na kuendelea.
 
Mkuu source ni muhimu ili kujua kama kuna ukweli ama la. bila source tunawezajikuta tunachangia vitu vya uongo. Sikumbuki kama nilichangia substance yoyote kwenye ile thread au nilishangaa tu!
 
Mbona thread ya Invisible juu ya Shimbo kuiba trillion 3 hukuomba source?
Hapo source ilikuwa JF...
michael-jackson.gif
 
Back
Top Bottom