CHADEMA yamtelekeza mbunge aliyemvua hijabu mkuu wa wilaya(hii ndo chadema zaidi ya huijuavyo)

Mh Suzan Kiwanga sasa ikithibika kuwa umeweza kuzungumza haya basi hakika elewa sisi CDM tutakuitaji uweze kuthibitisha maneno yako otherwise .......
 

Mbali na magamba yaliyokujaa mwili mzima, una mapunyepunye ambayo yanaathiri kuwaza na kufikiri kwako.
 

Huwezi jua mkuu,...
yawezekana alietoa habari hii ndo mbunge mwenyewe.
Jina reeeefu kama lilivo refu la mbunge mwenyewe
 
we unaandika ndoto utakayoota tar 17 bado tukifika tutakuamsha then utatuambia wamekufanyia nini hawa watu.
 
Wewe umetumwa na Nape! Kesi ya wabunge wa chadema ipo chini ya Advocate mashuhuri,X judge na ni mgombea wa ubunge wa 2010 Tabora mjini na ni mwenyekiti wa wilaya Tabora mjini Advocate Alhaji Musa Kwikima akisaidiwa na Advocate mashuhuru na MP,mh, Tindu lussu
 
SIAJKURUPUKA
habari hii nimeithibitisha mimi mwenyewe, siku hiyo ya tarehe 7 majira ya saa 4 asubuhi tukiwa mimi, mbunge huyo susan,katibu wa chadema mkoa wa morogoro ambaye alikuwa diwani wa zamani wa matombo bwana luanda na malalamiko haya alikuwa akimweleza diwani huyo nje ya ukumbi wa bz hotel wakati tukiwasubiria wakufunzi wa semina hiyo kutoka dsm ambaye alikuwa katibu wa vijana mkoa wa dsm na mbunge wa ilemela bw kiwia, na alisisitiza kuwa "TUNDU LISU HANA MUDA WA KUCHEZEA KAENDA ZAKE ULAYA" . (kama kuhukumiwa nihukumiwe kwa kosa la umbea)
 
ndo huyo advocate ambaye amejitolea sasa unajua ni jaji mstaafu je unajua ana umri gani?? fuatilia uje na majibu, pia muulize katibu wa mkoa wa cdm pamoja na mbunge susan akane hapa nimwage ushahidi zaidi
 
Hapa nimekatiza tu......................msamiati wa kutelekeza !!!!!!!!!!!
 
Kama habari hii ni yakweli.. Nakubaliana na mtoa hoja, kwa hali ya Wakili mzee Kwikima.. Umri umemtupa, amekua hata anapoteza kumbukumbu..
 
Ndugu,Kama uliweza kuhudhiria Kongamano lile maana yake u mwanachama wa CHADEMA.Na Kama ni mwanachama wa CHADEMA unayonafasi yankuyapeleka haya mahali panapostahili Na sio hapa kwa kuwa tuhuma hizi ni nzito kwa chama hasa Kama kweli kimesemwa Na Mbunge mwenzangu wa CHADEMA.Kuanza kukishambulia chama kwa kusikia habari zaupande mmoja sio sahihi.Andika and then tuma kwa Ofisi za Chama Makao Makuu kwa utekelezaji wa ulichokisema,si kila jambo ni la kuandika JF.
Nadhani nimeeleweka Kamanda!



=mpunumpunyenye;2962063]SIAJKURUPUKA
habari hii nimeithibitisha mimi mwenyewe, siku hiyo ya tarehe 7 majira ya saa 4 asubuhi tukiwa mimi, mbunge huyo susan,katibu wa chadema mkoa wa morogoro ambaye alikuwa diwani wa zamani wa matombo bwana luanda na malalamiko haya alikuwa akimweleza diwani huyo nje ya ukumbi wa bz hotel wakati tukiwasubiria wakufunzi wa semina hiyo kutoka dsm ambaye alikuwa katibu wa vijana mkoa wa dsm na mbunge wa ilemela bw kiwia, na alisisitiza kuwa "TUNDU LISU HANA MUDA WA KUCHEZEA KAENDA ZAKE ULAYA" . (kama kuhukumiwa nihukumiwe kwa kosa la umbea)
[/QUOTE]
 
mpunumpunyenye said:
unajua sisi wabunge ambao hatutoki kaskazini hatuthaminiwi kabisa ndani ya chama japokuwa mimi nilijitolea kuzunguka nchi nzima ktk kampeni za urais na slaa
Binadamu ndivyo tulivyo, huwa wanasema humo CDM ubunge wanapeana watu wa kaskazini, na sasa ukishakuwa mbunge pia hauna maana hadi uwe umotokea kaskazini.

Kuna watu wengine hovyo sana, nadhani si kila mtu anayependa kuwa mwanasiasa, basi anaweza kuwa mwanasiasa.

Kazi kweli kweli...
 
dubu nakupa hi! kama kesi anaisimamia Tundu, basi police-mamba wanakuna vichwa kukamilisha upelezi wa kungaunga
unaongelea upelelezi wakati upande wa mashtaka ulishamaliza kutoa ushahidi! jumla ya mashahidi 9 walitoa ushahidi na taerehe 14/12/2011 kesi itaendelea kwa upande wa watuhumiwa kuanza kujitetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…