Mwenyekiti wa Chama cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila amesema CHADEMA hakipaswi kuaminiwa na Watanzania kwa kuwa ni chama chenye mafisadi na Wafanyabiashara haramu.
Pia amefananisha maneno yanayotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa ni sawa na yaliyokuwa yakitolewa na mmoja wa viongozi nchini Uganda.
Mtikila aliyasema hayo jana wakati akiongea na Wandishi wa habari Ukumbi wa Traventine, Mtikila aliongeza kuwa "ni unafiki kwa Viongozi wa CHADEMA kujifanya ni wapambanaji wa Ufisadi kwa kuwa chama chao chenyewe kimejaa ufisadi wa kutisha, ninakwenda kufungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya kuwaonyesha ni jinsi gani walivyo hatari, kesi ninayo kwenda kufungua ina husiana na utata wa kifo cha Mwanasiasa Chacha Wange nina ushahidi juu ya baadhi ya viongozi wa juu wa Chadema kuhusika na mauaji hayo"alisema Mtikila.
Aidha alisema kesi hiyo itahusisha na baadhi ya Viongozi wa Chadema kujishughulisha na biashara haramu na jambo hilo ni Ufisadi. Kutokana na hali hiyo Mtikila aliwataka wananchi kutafakari kuhusu utajiri wa kupindukia wa Viongozi wawili wa chama hicho Philemon Ndesamburo na Freeman Mbowe.
Mtikila alihoji na kubeza hatua ya CCM kujivua gamba akisema CCM ina mafisadi wengi na sio hao watatu tu. Kama kweli CCM wanataka kupambana na Ufisadi wawatimuwe mafisadi wote ambao orodha yao ni ndefu!
mwenyekiti wa chama cha dp,mchungaji christopher mtikila amesema chadema hakipaswi kuaminiwa na watanzania kwa kuwa ni chama chenye mafisadi na wafanyabiashara haramu.
Pia amefananisha maneno yanayotolewa na katibu mkuu wa chadema dr wilbroad slaa kuwa ni sawa na yaliyokuwa yakitolewa na mmoja wa viongozi nchini uganda.
Mtikila aliyasema hayo jana wakati akiongea na wandishi wa habari ukumbi wa traventine, mtikila aliongeza kuwa "ni unafiki kwa viongozi wa chadema kujifanya ni wapambanaji wa ufisadi kwa kuwa chama chao chenyewe kimejaa ufisadi wa kutisha, ninakwenda kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya kuwaonyesha ni jinsi gani walivyo hatari, kesi ninayo kwenda kufungua ina husiana na utata wa kifo cha mwanasiasa chacha wange nina ushahidi juu ya baadhi ya viongozi wa juu wa chadema kuhusika na mauaji hayo"alisema mtikila.
Aidha alisema kesi hiyo itahusisha na baadhi ya viongozi wa chadema kujishughulisha na biashara haramu na jambo hilo ni ufisadi. Kutokana na hali hiyo mtikila aliwataka wananchi kutafakari kuhusu utajiri wa kupindukia wa viongozi wawili wa chama hicho philemon ndesamburo na freeman mbowe.
Mtikila alihoji na kubeza hatua ya ccm kujivua gamba akisema ccm ina mafisadi wengi na sio hao watatu tu. Kama kweli ccm wanataka kupambana na ufisadi wawatimuwe mafisadi wote ambao orodha yao ni ndefu!
kwani hawa jamaa wa cdm wana maana hawataki kuambiwa ukweli na bado mambo makubwa yatakuja hiki chama ni cha wanafiki leo hii mapacha watatu wamelukuwa ndugu moja na gazeti la tanzania daimaAhahaha!! leo ndio nimejua kumbe Pro-Chadema-JF wengi ni pumba, huyo Mtikila mmemsifia sana tena mmechukuwa maneno yake kama Reference kawambia Ridhiwan Kikwete Tajiri mkubwa tena mmechangia hiyo thread kwa kasi ya ajabu, saizi anawafahamisha ubaya wa Chadema mnakataa, Hongera Mtikila kwa kutujuza ukweli sisi wengine tulikuwa atujui
kwani tanzania daima imepokea ngapi kutoka kwa mapacha watatuDuh Mtikila kapokea tena mshiko toka kwa Jeetu Patel? au safari hii kapata mfadhiri mwingine...
Waulize!!!kwani tanzania daima imepokea ngapi kutoka kwa mapacha watatu
Mbona una-cherry pick habari?Katika mkutano huo Mtikila alitumia sehemu kubwa kuelezea namna Rais Kikwete alivyotumia vibaya nafasi yake kumwezesha mwanaye Ridhiwani kuwa bilionea wa kutupa.
Ila kwa vile una makengeza ya ubongo,umesikia habari za Chadema tu!
Hivi zile hela ambazo Mtikila alipewa na Rostam ameshazirudisha?
Mwenyekiti wa Chama cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila amesema CHADEMA hakipaswi kuaminiwa na Watanzania kwa kuwa ni chama chenye mafisadi na Wafanyabiashara haramu.
Pia amefananisha maneno yanayotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa ni sawa na yaliyokuwa yakitolewa na mmoja wa viongozi nchini Uganda.
Mtikila aliyasema hayo jana wakati akiongea na Wandishi wa habari Ukumbi wa Traventine, Mtikila aliongeza kuwa "ni unafiki kwa Viongozi wa CHADEMA kujifanya ni wapambanaji wa Ufisadi kwa kuwa chama chao chenyewe kimejaa ufisadi wa kutisha, ninakwenda kufungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya kuwaonyesha ni jinsi gani walivyo hatari, kesi ninayo kwenda kufungua ina husiana na utata wa kifo cha Mwanasiasa Chacha Wange nina ushahidi juu ya baadhi ya viongozi wa juu wa Chadema kuhusika na mauaji hayo"alisema Mtikila.
Aidha alisema kesi hiyo itahusisha na baadhi ya Viongozi wa Chadema kujishughulisha na biashara haramu na jambo hilo ni Ufisadi. Kutokana na hali hiyo Mtikila aliwataka wananchi kutafakari kuhusu utajiri wa kupindukia wa Viongozi wawili wa chama hicho Philemon Ndesamburo na Freeman Mbowe.
Mtikila alihoji na kubeza hatua ya CCM kujivua gamba akisema CCM ina mafisadi wengi na sio hao watatu tu. Kama kweli CCM wanataka kupambana na Ufisadi wawatimuwe mafisadi wote ambao orodha yao ni ndefu!
Ahahaha!! leo ndio nimejua kumbe Pro-Chadema-JF wengi ni pumba, huyo Mtikila mmemsifia sana tena mmechukuwa maneno yake kama Reference kawambia Ridhiwan Kikwete Tajiri mkubwa tena mmechangia hiyo thread kwa kasi ya ajabu, saizi anawafahamisha ubaya wa Chadema mnakataa, Hongera Mtikila kwa kutujuza ukweli sisi wengine tulikuwa atujui
Alimfanya nini?Mtikila akikusumbua kwa maneno yake mbofumbofu we mwambie "Rostam huyo anakuja" atageuka na kusema "yupo wapi!" kisha we unapita kwa ulaini. Hana hamu na Rostam ndo breki yake.
Anadaiwa na Rostam.Alimfanya nini?
Tuliza akili zako kwanza ndugu yangu:- Ridhiwani Kikwete tajiri mkubwa - hiyo ni ishu separate, - utata wa kifo cha Mwanasiasa Chacha Wangwe (RIP) nayo ni ishu ingine ingawa mzungumzaji ni huyohuyo. Haihitaji uwe na digirii ili upambanue na sio lazima kwa kuwa umeunga mkono hoja ya Riz1 basi na ile ya CW uikubali eti kwa kuwa anayesema vile ni yuleyule. Wake up man, this is home of great thinkers!Ahahaha!! leo ndio nimejua kumbe Pro-Chadema-JF wengi ni pumba, huyo Mtikila mmemsifia sana tena mmechukuwa maneno yake kama Reference kawambia Ridhiwan Kikwete Tajiri mkubwa tena mmechangia hiyo thread kwa kasi ya ajabu, saizi anawafahamisha ubaya wa Chadema mnakataa, Hongera Mtikila kwa kutujuza ukweli sisi wengine tulikuwa atujui
Huyu Mtikila ni miongoni mwa wapuuzi wengi tuu kwenye nchi yangu, kwanza yeye hatupendi kabisa sisi waislamu na ni kinyonga, sijui hapa yeye kapewa pesa na nani mbona anawatetea wagalatia tuu kuwa ndio wasafi ndani ya CCM? KWANI aliwataja Sumaye, Warioba etc mbaona hakumtaja Salim, Mwinyi etc ni mshenzi tuu wa kupuuzwa huyu hapa kuna jambo anataka kutuaminisha ili tumuone naye ni msafi,
Arudishe fedha za Muislamu mwenzetu Rostam tukajenge madrasa kwa ajili ya Allah, kwanza ndipo asikilizwe.