CHADEMA yalipuliwa

CHADEMA yalipuliwa

^^Aliposema Rizwan mwizi wote mlishabikia, sasa kibao kimegeuka, kupondea chadema ghafla amegeuka kua mpuuzi. Maneno ya ritz hapo juu ni kweli kabisa....JF members ni wapambe wa Slaa.
 
mtikila kaimiss mahakama.. its the only thing he know
 
mwenyekiti wa chama cha dp,mchungaji christopher mtikila amesema chadema hakipaswi kuaminiwa na watanzania kwa kuwa ni chama chenye mafisadi na wafanyabiashara haramu.

pia amefananisha maneno yanayotolewa na katibu mkuu wa chadema dr wilbroad slaa kuwa ni sawa na yaliyokuwa yakitolewa na mmoja wa viongozi nchini uganda.

mtikila aliyasema hayo jana wakati akiongea na wandishi wa habari ukumbi wa traventine, mtikila aliongeza kuwa "ni unafiki kwa viongozi wa chadema kujifanya ni wapambanaji wa ufisadi kwa kuwa chama chao chenyewe kimejaa ufisadi wa kutisha, ninakwenda kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya kuwaonyesha ni jinsi gani walivyo hatari, kesi ninayo kwenda kufungua ina husiana na utata wa kifo cha mwanasiasa chacha wange nina ushahidi juu ya baadhi ya viongozi wa juu wa chadema kuhusika na mauaji hayo"alisema mtikila.

Aidha alisema kesi hiyo itahusisha na baadhi ya viongozi wa chadema kujishughulisha na biashara haramu na jambo hilo ni ufisadi. Kutokana na hali hiyo mtikila aliwataka wananchi kutafakari kuhusu utajiri wa kupindukia wa viongozi wawili wa chama hicho philemon ndesamburo na freeman mbowe.

Mtikila alihoji na kubeza hatua ya ccm kujivua gamba akisema ccm ina mafisadi wengi na sio hao watatu tu. Kama kweli ccm wanataka kupambana na ufisadi wawatimuwe mafisadi wote ambao orodha yao ni ndefu!

mtikila sema usiogope, zidi kutupa nyeti za akina dr. Slaa na waogopwe kama ukoma kwa maneno yao ya uchochezi na ulaghai!
 
kashatumwa huyo,kama kungekuwa na mafisadi basi magamba si wangekuwa wa kwanza kulipua acha aende akaumbuke na vijisenti anavyohongwa vimtokee puani mara moja.....:lying::lying::lying:
 
Sijui kwanini watu wanahusisha na utajiri na ufisadi. Tuambiwe mbowe amekula kitu gani si utajiri wa kutisha, ndio useme anautajiri wa kutisha. Mtu anayeshaa hususani kwa mchaga kuwa na fedha nyingi nitashangaa, mtu atakayekasirika kuwa wachaga wanawasomi wengi nitamshanga. Lakini ukiniambia kijana ridhi wani namwona pale daruso juzi halafu uniambie ni bilionea na kanunua majengo mgogoro na anauwezo wa kusajiri wachezaji Yanga kwa mfuko wake Kwa nini nisishangae. Lakini Mbowe ushangae kuwa na hela usishangae mchango wao kipindi cha uhuru?
Kama mtikira ana uhakika auweke wazi, kama awe mbowe ama rizi wani ama nani, tunachopigania hapa ni watawala waadilifu.
 
Kuhusu Mbowe ni ukweli mtupu!!jamaa yupo kisanii-sanii sana!me nashangaa chadema kuwa na mwenyekiti kama huyo!!mambo yote anayopigia kelele slaa yanamgusa mbowe moja kwa moja,mbowe ni fisadi hata mtu mwenye uelewa mdogo sana anafahamu hilo!!

Fafanua mkuu la sivyo wewe ndio msanii hasa
 
Ahahaha!! leo ndio nimejua kumbe Pro-Chadema-JF wengi ni pumba, huyo Mtikila mmemsifia sana tena mmechukuwa maneno yake kama Reference kawambia Ridhiwan Kikwete Tajiri mkubwa tena mmechangia hiyo thread kwa kasi ya ajabu, saizi anawafahamisha ubaya wa Chadema mnakataa, Hongera Mtikila kwa kutujuza ukweli sisi wengine tulikuwa atujui
Mkuu ritz!
Homa ya ukweli inaanza taaratibu!!!
 
Naomba wenye kumbukumbu wanikumbushe mjadala wa JF ni ya Chadema uliishia wapi, kwa sababu ninachoendelea kuona humu JF ni utetezi wa hali ya juu wa chochote kibaya kinachoihusu Chadema.

Halafu kama alivyo Lema (Ngumi mkononi), wachangiaji wengi walio upande wa CDM matusi yako nje nje hasa wanapoguswa kwenye hoja. Nimewahi ona CV kibao za viongozi wetu humu na wengine wengi wasiopendwa na CDM, lakini sijawahi ona CV ya BOC wetu (Mwenyekiti), nina wasiwasi na uwezo wake wa kiuongozi.

NB: CDM ikikuchukia basi ujue JF itakuchukia, Mwanahalisi watakuchukia, Tanzania Daima watakuchukia. I am still thinking whether CDM fits to take over this country or they are going to suck us.

Pia naombeni nikumbushwe kwa nini Zitto hakuachwa agombee umwenyekiti ashindwe kidemokrasia kama jina la chama (Chama Cha Demokrasia na Maendeleo lilivyo): WE ARE ADVOCATING WHAT WE ARE NOT.

Mbowe anajua hapendwi na wana CDM na for sure leo yeyote atakayegombea umwenyekiti vs Mbowe atamshinda Mbowe, hivyo anajaribu kutumia siasa za vitisho.
 
GENERAL Salutation Honourable Member picture
1260.jpg

First Name: Freeman
Middle Name: Aikaeli Last Name: Mbowe Member Type:
Constituency Member Constituent: Hai Political Party: CHADEMA Office Location: P.O. Box 3070, Moshi

EDUCATIONSSchool Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevelSecondary SchoolSecondary Education--HIGH SCHOOLCERTIFICATIONS Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpiresNo items on listEMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From DateTo DateBank of TanzaniaBank Officer--POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position FromToNo items on listPUBLICATIONSDescription Published DateNo items on listSPECIAL SKILLSSkill Name or Description
 
SalutationHonourableMember picture
1403.jpg
First Name: KabweMiddle Name: ZuberiLast Name:ZittoMember Type:Constituency MemberConstituent: Kigoma KaskaziniPolitical Party: CHADEMAOffice Location: P.O.Box 325, KigomaOffice Phone: +255 713 730256Ext.: Office Fax: +255 22 2112538Office E-mail: Member Status: Date of Birth EDUCATIONSSchool Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevelKigoma Primary SchoolPrimary Education19841990PRIMARYKigoma Secondary SchoolO-Level Education19911994SECONDARYKibohehe Secondary SchoolO-Level Education19941995SECONDARYGalanos Secondary SchoolA-Level Education19961996HIGH SCHOOLUniversity of Dar es SalaamBA (Economics )19992003GRADUATEInwent -IHK, Bonn, Federal Republic of GermanyDegree in International Marketing 20032004GRADUATEUniversity of ZanzibarBBA19981999Tosamaganga Secondary School

EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From DateTo DateMinistry of Finance�PSU (NSA Support for Cotonou Agreement)Moderator2005Ministry of Finance�Tanzania & Ministry of Trade & IndustriesEvent Manager2005IHK � Bonn & TIC�Tanzania (Business Mission to SIAL Pans)Project Manager20042004Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMADirector, Campaigns and Elections2004TodateFriedrich Ebert Foundation - FESProject Manager20042005Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMADirector , International Cooperation2003TodateTanzania Gender Network (TGNP)Training & Research Internship20022002National Youth Forum (NYF)Programme Officer20002002POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position FromToCHADEMATanzania Member of Parliament2005To dateCHADEMAMember of National Committee2003TodateDARUSOSecretary General20022003Tanzania Students Networking Programme (TSNP)Chief Executive Officer20012003

Linganisha kura yako na sifa za mtu; Ukabila Tuweke Pembeni
A-Level Education19971998HIGH SCHOOL
 
Tatizo kubwa la wanaoibua au kuleta mambo dhidi ya cdm kikubwa wanachokosea ni kutumia busara ya mzee Makamba'.wote mlioshindw uchaguzi ccm kashitakini ,chama kitalipa.'
Na ile ya Msekwa 'vijana wa ccm kwanini hamuandiki kwenye mitandao juu ya cdm ?'

Kwanini tusiamini yanapikwa ,kwa kauli hizo ?

Hapa ni kama mtu anayetumia neno MBONA ,hata siku moja neno hilo halikusafisha bali linabainisha kuwa yaliyosemwa juu yako ni kweli.

Kwa ujumla timing ni muhimu sana katika kuibua jambo lolote,Mtikila safari kakosea timing.
 
SalutationHonourableMember picture
1403.jpg
First Name: KabweMiddle Name: ZuberiLast Name:ZittoMember Type:Constituency MemberConstituent: Kigoma KaskaziniPolitical Party: CHADEMAOffice Location: P.O.Box 325, KigomaOffice Phone: +255 713 730256Ext.: Office Fax: +255 22 2112538Office E-mail: Member Status: Date of Birth EDUCATIONSSchool Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevelKigoma Primary SchoolPrimary Education19841990PRIMARYKigoma Secondary SchoolO-Level Education19911994SECONDARYKibohehe Secondary SchoolO-Level Education19941995SECONDARYGalanos Secondary SchoolA-Level Education19961996HIGH SCHOOLUniversity of Dar es SalaamBA (Economics )19992003GRADUATEInwent -IHK, Bonn, Federal Republic of GermanyDegree in International Marketing 20032004GRADUATEUniversity of ZanzibarBBA19981999Tosamaganga Secondary School

EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From DateTo DateMinistry of FinancePSU (NSA Support for Cotonou Agreement)Moderator2005Ministry of FinanceTanzania & Ministry of Trade & IndustriesEvent Manager2005IHK  Bonn & TICTanzania (Business Mission to SIAL Pans)Project Manager20042004Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMADirector, Campaigns and Elections2004TodateFriedrich Ebert Foundation - FESProject Manager20042005Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMADirector , International Cooperation2003TodateTanzania Gender Network (TGNP)Training & Research Internship20022002National Youth Forum (NYF)Programme Officer20002002POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position FromToCHADEMATanzania Member of Parliament2005To dateCHADEMAMember of National Committee2003TodateDARUSOSecretary General20022003Tanzania Students Networking Programme (TSNP)Chief Executive Officer20012003

Linganisha kura yako na sifa za mtu; Ukabila Tuweke Pembeni
A-Level Education19971998HIGH SCHOOL

2005 kati ya wagombea uraisi alikuwepo profesa Mwandosya
Lakini kikwete alichaguliwa,umesahau,na kwenye ccm kuna wasomi wengi kuliko yeye.
Leta argument nyingine sio hiyo
 
Mara hii amesahau kuwa hiyo ajenda ya Chacha Wangwe ndiyo iliyomfanya kutandikwa ngeo kule Tarime? Amehongwa tena na Rostam ili aichafue Chadema?
 
tutafakari utajiri wa kupindukia wa hawa viongozi umetokea wapi?

JAMBO LA KUANZIA NI JE PESA WAMETOA WAPI? WAMEKWIBA/ WANAFANYA BIASHARA HALALI NA KULIPA KODI STAHILI? DOES THEIR ACCUMULATED CAPITAL COME FROM NO. OF YEARS R/E? WAMEWAHI KUKOPA? DO THER RICHES PROPORTIONATE TO THEIR YEARS OF TOIL IN THEIR BIZ? MTIKILA AKIFAFANUA HAYO NDIO TUANZE UCHAMBUZI, OTHERWISE TIKLA AMEKULA MLUNGULA/ MZANDIKI
 
GENERAL Salutation Honourable Member picture
1260.jpg

First Name: Freeman
Middle Name: Aikaeli Last Name: Mbowe Member Type:
Constituency Member Constituent: Hai Political Party: CHADEMA Office Location: P.O. Box 3070, Moshi

EDUCATIONSSchool Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevelSecondary SchoolSecondary Education--HIGH SCHOOLCERTIFICATIONS Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpiresNo items on listEMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From DateTo DateBank of TanzaniaBank Officer--POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position FromToNo items on listPUBLICATIONSDescription Published DateNo items on listSPECIAL SKILLSSkill Name or Description

Acha utani we need intelligent answers or else go back to FB.
 
Habari zisizo rasmi zinasema kuwa Mtikila ni mtu wa system (usalama wa taifa). Kwahiyo msimshangae sana kwa maneno yake hayo. Yuko kuvuruga upinzani pia.
 
Naomba wenye kumbukumbu wanikumbushe mjadala wa JF ni ya Chadema uliishia wapi, kwa sababu ninachoendelea kuona humu JF ni utetezi wa hali ya juu wa chochote kibaya kinachoihusu Chadema.

Halafu kama alivyo Lema (Ngumi mkononi), wachangiaji wengi walio upande wa CDM matusi yako nje nje hasa wanapoguswa kwenye hoja. Nimewahi ona CV kibao za viongozi wetu humu na wengine wengi wasiopendwa na CDM, lakini sijawahi ona CV ya BOC wetu (Mwenyekiti), nina wasiwasi na uwezo wake wa kiuongozi.

NB: CDM ikikuchukia basi ujue JF itakuchukia, Mwanahalisi watakuchukia, Tanzania Daima watakuchukia. I am still thinking whether CDM fits to take over this country or they are going to suck us.

Pia naombeni nikumbushwe kwa nini Zitto hakuachwa agombee umwenyekiti ashindwe kidemokrasia kama jina la chama (Chama Cha Demokrasia na Maendeleo lilivyo): WE ARE ADVOCATING WHAT WE ARE NOT.

Mbowe anajua hapendwi na wana CDM na for sure leo yeyote atakayegombea umwenyekiti vs Mbowe atamshinda Mbowe, hivyo anajaribu kutumia siasa za vitisho.
Mkuu nadhani kukikosoa chama ni swala tofauti na kukejeri maamuzi ya chama. Sasa kwa mfano unapotoa hukumu ya kwamba Mbowe ni dikteta tayari umeshatoa hukumu ambayo sidhani hilo neno linatoa mwanya mzuri wa kujadili. Halafu nadhani tatizo mnalo nyie zaidi kwa sababu mnayapata majibu hapa hapa bila kuwasubiri wazee wa chama kama inavyotokea kwa CCM maanake hakuna kiongozi wala mwanaCCM JF mwenye habari za uhakika.

Haya unataka kuona CV ya Mbowe na viongozi wa CDM kwa nini? je hujui kwamba CV ya mtu haimfanyi kuwa kiongozi bora? Uongozi wa nchi hauna CV yaani hawatengenezwi bali kiongozi bora huzaliwa. Haya yalimkuta Prime minister wa Canada Paul Martin ambaye alikuwa waziri mzuri sana wa fedha, CV kubwa na pengine Canada haijawahi kupata mtendaji kazi kama yeye lakini siku alochukua Uongozi alichemsha, hivyo hivyo Gordon Brown wa UK kashindwa pamoja na kuwa na CV kubwa.

Mimi naweza kusema Mbowe is a better Politician (Leader) kuliko viongozi wengi sana na hakika CDM imeweza kufikia mafanikio haya ilokuwa nayo kwa sababu kasimama yeye. Tungeweza tu kumhukumu vibaya kama CDM ingeshuka daraja na binafsi nina kashalka makubwa kama CDM ingekuwa hapa ikiwa Zitto angechukua Uenyekiti...Kisha zaidi ya hapo kwa kitendo cha Mbowe kumwachia Dr.Slaa agombee Urais mwaka 2010 sijui kuna mwanasiasa gani Tanzania ktk nafasi ya Mbowe angekuwali kuachia hilo..Na zaidi ya yote kuna fahari gani kubwa kuwa mwenyekiti wa chama badala ya kuwa rais wa nchi..

Yes Mbowe anaweza kuwa na matatizo na pengine hata mimi kuna maswala hua tunapingana lakini mara zote hufikia maelewano tofauti kabisa na jinsi watu wanavyomzungumza hapa. Na nimeshawahi kukutana na watu tofauti lakini maturity ya Mbowe ktk siasa hakika imenishangaza hata mimi ambaye tumekuwa sote ktk ujana (ingawa mimi mkubwa kwake) na kama ujuavyo sii rahisi mtu kumpitisha mtu kisiasa ambaye mmekuwa pamoja na unayajua madudu ya ujana wenu.

Lakini nakwambia tu kwamba CDM inamhitaji mtu kama Mbowe kulingana na siasa za Tanzania na hakika kama ni dikteta basi huo Udikteta wake ndio unatakiwa ktk mazingira yetu maadam mafanikio yanapatikana hilo ndio muhimu zaidi..
 
Back
Top Bottom