PreGE2025 CHADEMA yakamata mtandao, CCM yangu hoi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Endelea kujichanganya....! Mtakuta mmeisha "mkosa mwana na Maji ya moto". Jengeni hoja zinazolenga kuwakwamua wananchi wote kutoka kwenye mikwamo ya kiuchumi kwa Mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla! Haya maneno ya kilaghai hayawezi kuwavusha.
hoja zetu liuchumi ni kuwapa ng'ombe mbili mbili kila mwananch
 
Akianza vizuri alipofika awamu ya magufuli vijana wake kujibu hoja kwq akili ndio nikamdharau na kumuona nae ni opportunist tu!!. Hivi ccm ya magufuli ulikuwa na vijana wapi wenye kujibu hoja kwa akili zaidi ya nguvu, mauaji na kutekwa watu!!.
 
Na Veronica France 🇹🇿 🇹🇿

Well, Dunia imebadilika sana, Dunia ya Leo Ktk Siasa lazima uwe na nguvu ya kudhibiti na kuendesha mitandao ya kijamii...huu Ni Wakati ambao tunaishihudia CCM ikiwa hoi bin taaban mitandaoni na Chadema ikishika Mitandao Yote, Nini Kimetokea? turejee Nyuma kidogo

Katika Vuguvugu la Siasa mwanzoni Mwa Mwaka 2010 Mwenyekiti wa Zamani wa Chadema Freeman Mbowe Pamoja na Katibu wake Dr Slaa walikuwa akizunguka Katika Vyuo Vikuu na kushawishi Vijana wenye Maarifa Mengi Top Class (Intelligent) ili wajiunge na Chadema, Vijana Makini ambao wanaweza kuhoji na Hata Kujenga Hoja Katika kuisemea Chadema, Mfano Kama Juliana Shonza, Zitto Kabwe, John Mnyika,Halima Mdee n.k na ndio Wakati huo huo ambao CCM ilikuwa imezubaa na ikiwekeza Nguvu Nyingi Kwa Vijana "Viazi" ambao hawana Maarifa yoyote ya Ujenzi wa Hoja na kukitetea Chama Dhidi ya Hoja nzito za Upinzani, Vijana Wengi Hawa walipewa majukumu hayo kupitia Historia za aidha Wazazi au Wakubwa Katika Familia zao ndani ya CCM..na Hapa ndipo Nguvu ya Mtandao ikahodhiwa na Chadema.

Wakati Hayati Rais Magufuli anakaribia Kuingia Madarakani Kiliibuka kikundi Cha Vijana ndani ya CCM, Hawa vijana hawakuwa na Historia ya Ndugu zao Ktk Chama, Back up au kubebwa, Hawa walijitolea kukijibia Chama Kila Hoja, na Kujenga Hoja, Hoja za "Akili" zikajibiwa Kwa "Akili"..hatimaye CCM ikauchukua Mtandao, Zama za Ukivaa Sare ya CCM Mtaani unazomewa Zikafa Rasmi,mind you Ku post picha ya waziri katua Vietnam au picha ya rais akitua uwanja wa ndege wa Angola Hiyo ni taarifa ya kawaida ambayo hata Ikulu Mawasiliano wanaifanya lakini kuelezea how ziara ya rais Angola itamsaidia mtanzania wa msoga kupata maendeleo inahitaji akili iliyotulia na yenye upeo wa juu,Juzi tumemskia MNEC ASAS alitaka vijana wajibu hoja,tena hizi za Lissu na heche?? Utaona gap aliyoiona MNEC ASAS inahitaji kuzibwa hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025...

Humphrey Polepole akiwa Mwenezi akatambua Kuwa huwezi kufanya "Uenezi" Kwa kueneza Taarifa, Propaganda na Hoja Kwa kuzunguka na Mabasi kilometa mamia Kwa mamia Wakati Mtandao unaweza kueneza Jambo au Hoja au kuzima Hoja Kwa Sekunde tu!, ikaandikwa Proposal ya kuundwa Kwa "Team Mtandao " ndani ya CCM na wana-CCM hao waiojitolewa Watambuliwe na Team Mtandao ya CCM irasimishwe, na Mchakato Ukaendelea Walaji wakawa wanachukua Mpunga Kwa ajili ya Facilities na Wanatafuna! wakajichomeka Kuwa Wasemaji wa Chama Mitandaoni huku Vile Vichwa Makini Vilivyoisimamisha CCM mitandaoni vikiwekwa kando na Chawa wakichukua Nafasi!, Chawa ambao wameshindwa Kumjibia Mwenyekiti wa CCM Hoja!, Chawa ambao Wameshindwa Kukitetea Chama!, hasa Katika Nyakati hizi.Mnauhakika Steve Nyerere au mwijaku wataelezea uma wa watanzania kwanini deni la taifa limepanda na himilivu??? Are u serious?? Dhidi ya Profesa Issa Shivji? Heche? Mwamakula? Ngoja Kwanza....

Ieleweke kuwa Chama kama CCM kinatakiwa kuwa na Taasisi inayojitegemea ya mitandaoni peke yake kwaajili ya Ku update na kuandika na kueneza na kutengeneza matukio...ni kweli Kura hazipo mitandaoni lakini mitandao ndio inaweza ikafanya wanasiasa wakademuka na mitandao ya kijamii,ina nguvu ya kipeleka habari Kwa Haraka kuliko Toyota V8 iliyobeba Chawa kumpeleka Mtwara akaogelee Kwenye Matope Akisema "CCM Oyeeee!"

My question je?? Katika Wakati huu ambao CCM imelowa Mitandaoni Nani atajibu Hoja za Lissu?, nani atamjibu Heche?, Makala Pamoja na Kuteleza Kwenye Hoja ya Ebola ana Kazi ya Kufanya!....Team za Mtandao zimejaa Chawa na Watu wasio na Hoja, je Makala nae anasubiri mpaka mwezi October?? Science na technology is inevitable in politics na spinning and propaganda all rebuild the muscles of political functionality....

Listen "KIGOGO" Ni Kama Taasisi, KIGOGO alijulikana mpaka vijijini,kuna mawaziri walijaa upepo wakajibu litaasisi ambalo alitangaza mpaka kifo cha Magufuli wakati serikali ilisema hajafa imagine...

Kama kuna sehem serikali inatakiwa kuwekeza pamoja na Chama basi ni hapa kwenye mitandao ya kijamii...sio kila IT atakupa content nzuri ya kupost,au atapeleka kwenye magroup lazima iwe Taasisi ijumuishe watu wenye experience mbalimbali watakaoweza Ku operate mitandao ya kijamii...

#Fact Arab movements zilianzia Facebook tu wakafanya Mapinduzi ya serikali zao,GenZ hapo Kenya walitumia mitandao ya kijamii Ku initiates maandamano kila siku,CCM inaweza kuwa advance kwa kuanzia Taasisi imara itakayojitegemea na kufanya Kazi za kuzima na kuanzisha mashambulizi kupitia mitandao ya kijamii sio kutumia machawa kuanzisha kampeni flani then zikizima ndo zimekufa...

Mimi sijui kama wapo,kama wapo basi kunasehem hamna nguvu na kama hamna anzisheni chap...mind you Chadema were very smart in 2009-2015 waliishia mitandao ya kijamii kiasi kwamba hata wasomi wengi na vijana walikuwa updated easily,kabla ya mabadiliko na kugeuza ule upepo and still they are...we need to work smart enough to win the majority.....

Credit: Veronica France FB

View attachment 3296898
ccm wako upande wa uasi na dhuluma hawatakuwa na push yoyote ktk mitandao ya kijamii
 
Ujinga hauna jina lingine
"No reform No election", then what??? Tafsiri isiyo rasmi "Hakuna Mabadiliko hakuna uchaguzi, kwa hiyo?"
===
Kwa mbali hii kimtizamo ni aina nyingine ya kukubali kushindwa. Eti "tutaandamana siku ya Uchaguzi"! Kwa kutambua kuwa tarehe Fulani ni siku ya Uchaguzi tayari kwa namna moja ama nyingine unakuwa umeishashiriki zoezi uchaguzi.

Njooni na hoja zinazoeleweka kwa wananchi, na mfafanue bila ulaghai namna ya kuzitekeleza kwa vitendo hoja hizoza kuondoka kero za wananchi.

Wananchi wanazo kero mahususi zinazowagusa moja kwa moja zikiwemo, ugumu wa kujikwamua kiuchumi kutokana na taratibu za kiuchumi zilizopo, kumomonyoka kwa kazi isiyo ya kawaida ya maadili nchini kwa Rika Karibu zote, kucheleweshwa katika kumiliki ujuzi wa kubuni, kuunda na kutumia teknolojia za kurahisisha shughuli zetu za Kila siku na mpya zinazoibuka na kero nyingine nyingi!

Elimu ya bure hii....!!!
 
nadhani ni muhimu sana wadau wa JF wakafahamu kwamba,
CCM hua haibabaiki kabisa, haifanyagi mzaha, hainaga aibu wala haya, na kamwe haiwezi kumuone huruma yeyote yule anaepotosha na anaejaribu kuhujumu au kutatiza mipango mikakati yake, hasa nyakati kama hizi, ccm inapojiandaa na kujizatiti katika kushinda uchaguzi, kukamata dola, kuunda serikali na kuongoza nchi.

so,
my friends, ladies and gentleman,
upotoshaji wowote wa kivivu dhidi ya ccm imara na madhubuti sana ni muhimu ukapuuzwa :NoGodNo:
 
"No reform No election", then what??? Tafsiri isiyo rasmi "Hakuna Mabadiliko hakuna uchaguzi, kwa hiyo?"
===
Kwa mbali hii kimtizamo ni aina nyingine ya kukubali kushindwa. Eti "tutaandamana siku ya Uchaguzi"! Kwa kutambua kuwa tarehe Fulani ni siku ya Uchaguzi tayari kwa namna moja ama nyingine unakuwa umeishashiriki zoezi uchaguzi.

Njooni na hoja zinazoeleweka kwa wananchi, na mfafanue bila ulaghai namna ya kuzitekeleza kwa vitendo hoja hizoza kuondoka kero za wananchi.

Wananchi wanazo kero mahususi zinazowagusa moja kwa moja zikiwemo, ugumu wa kujikwamua kiuchumi kutokana na taratibu za kiuchumi zilizopo, kumomonyoka kwa kazi isiyo ya kawaida ya maadili nchini kwa Rika Karibu zote, kucheleweshwa katika kumiliki ujuzi wa kubuni, kuunda na kutumia teknolojia za kurahisisha shughuli zetu za Kila siku na mpya zinazoibuka na kero nyingine nyingi!

Elimu ya bure hii....!!!
Kero kuu ya Wananchi ni kunyimwa fursa ya kuchagua viongozi wanaowachagua wao kwa kura zao ambao wanawajibika kweli kwao.

Matatizo mengine yote yanatokana na hilo tatizo kuu la kutopata Viongozi wanaowajibika kweli kwao kutokana na kuharibiwa kwa mfumo wa uchaguzi.
 
Kero kuu ya Wananchi ni kunyimwa fursa ya kuchagua viongozi wanaowachagua wao kwa kura zao ambao wanawajibika kweli kwao.
1. Toka tupate Uhuru, tuliwahi kupata viongozi wangapi waliochaguliwa kwa wananchi kunyimwa furusa ya kuwachagua na ni kina nani na walifanya nini, pia tuliwahi kupata viongozi wangapi waliochaguliwa kwa wananchi kupewa furusa ya kuwachagua na ni kina nani na walifanya nini?

2. Kwa Muhitasari, tupe mapungufu na mafanikio ya Kila kundi la viongozi waliofafanuliwa hapo kwenye sehemu ya (1.) ili tupime wenyewe.
 
Attachments

  • FB_IMG_1744113818698 (1)~2.jpg
    FB_IMG_1744113818698 (1)~2.jpg
    26.7 KB · Views: 6
Wakati Hayati Rais Magufuli anakaribia Kuingia Madarakani Kiliibuka kikundi Cha Vijana ndani ya CCM, Hawa vijana hawakuwa na Historia ya Ndugu zao Ktk Chama, Back up au kubebwa, Hawa walijitolea kukijibia Chama Kila Hoja, na Kujenga Hoja, Hoja za "Akili" zikajibiwa Kwa "Akili"..hatimaye CCM ikauchukua Mtandao, Zama za Ukivaa Sare ya CCM Mtaani unazomewa Zikafa Rasmi
Huyu yeye bado an maumivu ya msiba tu. Aliyeanzisha Mchakato wa kupiha Hoja kwa Lungu ni nani? Aliyezidiwa hadi kuzima mitandao na sheria kali za mitandao ni nani?
 
Hata CCM iwekeze kiasi gani kwenye Mtandao hawawezi shindana na ukweli kuwa Wamelifelisha hili Taifa big time.

Tanzania kwa Rasilimali zake na Geographia yake tulipaswa kuwa Nchi yenye Uchumi Mkubwa zaidi Afrika kwa sasa.

CCM hakuna anayewaza maendeleo ya kweli ya Wananchi. Almost 99.9% ya wana CCM wanachowaza ni kuiba, kujinufaisha binafsi na familia zao, Vyeo, Kuendeshwa na Magari ya Serikali na kulindwa na Usalama wa Taifa ( Ma bodyguard)

Kuanguka kwa CCM hakutokani na kushindwa ku invest kwenye kitengo cha Mitandao ila ni Mungu kusikia maombi ya Watanzania wanaoipenda kweli hii nchi wanaotaka ipate mabadiliko ya kweli.

Period.
Labda waanze kukamata watumiaji mitandao
 
Endelea kujichanganya....! Mtakuta mmeisha "mkosa mwana na Maji ya moto". Jengeni hoja zinazolenga kuwakwamua wananchi wote kutoka kwenye mikwamo ya kiuchumi kwa Mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla! Haya maneno ya kilaghai hayawezi kuwavusha.
Kwa hiyo ni kweli CCM kukaa kote madarakani bado wananchi wamekwa miaka 40 ya CCM madrakani
 
Na kwa kweli wengi pale juu ni viazi haswa.Ni watupu kichwani kwa kujibu hoja ila kumsifia mama yao wapo vizuri.
 
Kuna la kujifunza ...

Naona Makonda akirejeshwa Frontline..
Kinyume na hapo hawatoboi.
 
Back
Top Bottom