PreGE2025 CHADEMA yakamata mtandao, CCM yangu hoi

PreGE2025 CHADEMA yakamata mtandao, CCM yangu hoi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwenyekiti wa Ccm hajasoma
Makamu mwenyekiti Ana miaka 80 amehapoteza kumbukumbu

Yule jamaa wa Uvccm Ana miaka 43 anafikiria zaidi kuiba na kupata UDC

Usitwgemee jipya
 
..hoja za Lissu sio rahisi kuzijibu.

..kwa mfano, Ccm wanaweza kuja na maelezo gani yenye ushawishi, kwamba Tume Huru uchaguzi, ni mbaya, na haitufai?

..au faida za uchaguzi kusimamiwa na Tume isiyo huru na uwezekano wa kutenda haki, na kutunza amani ktk mazingira hayo.
 
John Mrema hakuamini kimbunga cha LISSU alifikiri LISSU hatoshinda 😁😆😂🤣 poor Mrema🤣
Jamaa Ana muabudu mbowe badala ya mungu. Sijui alitaka mbowe akiongoze chama milele? Kuna yule muuza vitabu kule mbutu naye ni tatizo kabisaaa
 
Kama makala alivyoihujumu ccm kwa kuleta hoja za EBOLA au?
Endelea kujichanganya....! Mtakuta mmeisha "mkosa mwana na Maji ya moto". Jengeni hoja zinazolenga kuwakwamua wananchi wote kutoka kwenye mikwamo ya kiuchumi kwa Mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla! Haya maneno ya kilaghai hayawezi kuwavusha.
 
Back
Top Bottom