CHADEMA yakaidi agizo la serikali

CHADEMA yakaidi agizo la serikali

Si vijana tu,Wazee wa CCM nao hawako nyuma kwenye GRINI GADI

attachment.php
 
Go CDM.... Hatutishwi na wajinga wasiojua katiba ya nchi.
 
2015 CCM watauona MZIKI wa Chadema.by Halima Mdee bungeni Dodoma 2013!
 
I hope TLP has a plan ready for her Yellow Guard ....just trying to "kid"
 
CHADEMA MISYUMBISHWE NA HAWA WANAFIKI WA JESHI LA POLISI
nashangaa JK katumia dk 30 kuzungumzia vijembe kuhusu chadema wanataka kuanzisha mgambo
watu wakapiga makofi badala ya kumshangaa kwa kutozungumzia hali ya mabomu na mauaji ya arusha
na hatua stahiki...
JK anadhani bado watanzania wa sasa ni wale wa 1947,,, kichekesho eti Nape na Wasira wahangaike na CHADEMA..
kauli ya rais tulimechagua imenishangaza sana..
CHADEMA songeni mbele,msikubali kuduhulumiwa tena, Polisi ni mali ya CCM na Green Guard yao...
nasema hivi nami ntajiunga na hayo mafunzo mapema ingawa siko CHADEMA
 
chadema maneno mengi tu, hawana issue kiivyo yale mabomu ya arusha wamesema wana ushahidi mbona hatuoni outcome yeyote??
 
Go cdm go. Nitai-support kwa hali, pia financially dhidi ya hawa vibaka wa lumumba.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha kaidi agizo la serikali la kusitisha mpango wake wa kuwapatia mafunzo vijana kwenye kikosi maalum kwa ajili ya kukilinda chama na jamii kwa ujumla.

source: Chanel 10

Wankaanga m'buyu wawaache wenye meno watafune.
 
chadema maneno mengi tu, hawana issue kiivyo yale mabomu ya arusha wamesema wana ushahidi mbona hatuoni outcome yeyote??

Subiri wakati ukifika kila kitu kitawekwa wazi. Huo ushahidi unataka upelekwe/utolewe kwa nani ilhal akina Ing'hondu waliotajwa hadharani kushiriki katika kumteka na kumtesa Dr. Ulimboka wameendelea kulindwa na Serikali kama kuku anavyolinda vifaranga vyake. Akina Kamuhanda walioshiriki wazi kabisa kupanga na kumuua Mwangosi lakini Serikali ya Kikwete ndiyo imekuwa mbele kuwatunukia nishani na kuwapandisha vyeo.

Ushahidi ni kama madini yaliyo chini ya ardhi, unaweza kuharibiwa, kuundiwa utetezi ama kutumiwa ndivyo sivyo pale unapowekwa hadharani tu vinginevyo utabaki kuwa hazina inayoongezeka thamani kila uchao.

Kuna wazee wa miaka 70+ kwa mshangao wa wengi (familia, ndugu, jamaa na marafiki), wanashtakiwa sasa na wengine wamehukumiwa kwenda jela kutumikia vifungo kwa makosa waliyofanya miaka ya 60 na 70 na yote hayo yanafanyika kutokana na ushahidi uliotunzwa vyema ukisubiri muda na wakati sahihi wa kutolewa kwake.

Mwenyezi Mungu akitujalia uzima tutakuja kushuhudia watu wakipelekwa mahakamani kwa machela na wengine wakijongoja wenyewe kwa mkongojo kwa yale wanayoyafanya sasa.
 
Kwa iyo mkuu unataka kuniambia mpaka chadema ipate madaraka ndio iwashtaki hawo wahusika?? mumechemka sana ushahidi hauwezi kubadilika kama upo kweli wekeni hadharani Watanzania waujuwe.,
 
maccm maktili sana .....cheki hiyo picha ....hayo ndio mafunzo ya greenguard wanyotoa
 
Muulize "MPUM BAVU" nini maana ya NGUVU YA UMMA anafahamu vizuri, yeye ni waziri mkuu tu! Gaddafi alikuwa Rais wa Libya na NGUVU YA UMMA ilimtoa!
Umna gani unaouongelea?????????
Nadhani kelele za debe tupu zinakupagawisha, hata methali za kiswahili umezisahau. Au mwenzetu ni kuku mtamu?????
 
Kwa iyo mkuu unataka kuniambia mpaka chadema ipate madaraka ndio iwashtaki hawo wahusika?? mumechemka sana ushahidi hauwezi kubadilika kama upo kweli wekeni hadharani Watanzania waujuwe.,

Sio suala la kuwekwa hadharani tu, issue ni kuwa unawekwa hadharani ili iweje, Watanzania wameona na kushuhudia mambo mangapi lakini mamlaka husika zimeamua kukaa kimya ama kupuuzia kwa kuwa wao ndiyo watuhumiwa. Kuuweka hadharani kwa sasa ni sawa na kuwapa fursa hao wadhalimu waweze kuuharibu na kupanga mazingira ya kujitetea.
 
Back
Top Bottom