meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
mimi red bregade wa moyoni!
Sihitaji silaha kuilinda chadema!
Sihitaji silaha kuilinda chadema!
View attachment 102026 mafunzo ye green guard .....wengine ndio sisi hapana go on cdm tumechoka na sisi.
Malengo ya chadema yanajulikana!
Malengo ya chadema yanajulikana!
lazima chama kiwe na ulinzi wa kutosha na hakiwezi kurudishwa nyuma na narrow minded dhaifu na lameck shit
Nasikia harufu ya virungu...
Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake.
Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake.
Nasikia harufu ya virungu...
Nasikia harufu ya virungu...
Nafikiri wakiendelea na mpango wao kinachofuatia ni kchapo!