CHADEMA yakaidi agizo la serikali

CHADEMA yakaidi agizo la serikali

Muulize "MPUM BAVU" nini maana ya NGUVU YA UMMA anafahamu vizuri, yeye ni waziri mkuu tu! Gaddafi alikuwa Rais wa Libya na NGUVU YA UMMA ilimtoa!

Tanzania hakuna nguvu ya umma, kama unaitegemea hiyo usahau ushindi 2015. Jiografia ya Tanzania na asili ya watanzania kuwa wanafiki, wasiopendana vinawafanya wagawanyike kiasi cha wao kutokuwa na sifa za nguvu ya umaa.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha kaidi agizo la serikali la kusitisha mpango wake wa kuwapatia mafunzo vijana kwenye kikosi maalum kwa ajili ya kukilinda chama na jamii kwa ujumla.

source: Chanel 10
Hapo kwenye RED kama mtangazaji alitangaza hivyo kutakuwa na walakini wa habari hiyo na itakuwa ni ya kubumba ni kweli CHADEMA walisema lengo la kimarisha RB ni kuilinda jamii kwa ujumla wake?
 
Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake.

Siku hizi sheria zinazotumika si zile za Pinda? Hakuna tena utii bila shuruti ila hata usipokaidi utapigwa tu maana agizo limeshatolewa
 
Back
Top Bottom