CHADEMA yakaidi agizo la serikali

CHADEMA yakaidi agizo la serikali

chadema chonde chonde msituvurugie amani ya hii nchi
 
Jamaa wa magogoni alivyokuwa anabandua mademu wa vyuo alidhani hata nchi anaweza kuongoza,ataipata fresh hii ndio Chadema (The more strong political Party ever in TZ!
 
Mwenye macho ahambiwe tazama. Picha hapo juu inaonesha jinsi green guard walivyojianda kumaliza wana cdm. Je Mhe Kikweta alitoa tamko!!!!!.
 
Cdm hapo noma na cwaungi mkono kabisa nchi yangu ni ya amani sasa hapo mnaenda kwenye vita .....
 
sasa huyo aliyebeba jiwe kubwa alitaka kuuwa? Maana chadema sijaona wana siraha but karibu ccm wote wamekunja sura wakiwa na mawe inasikitisha sana.
 
CDM hawaanzishi Red brigade bali walishaanzisha kwa mjibu wa katiba ya cdm, wanaimarisha na kuongeza mtandao wa redbrigade ktk nchi nzima kwa malengo yakulinda mali za chama, wanachama na viongozi wake. Anayelipinga hilo ni adui wa cdm na amani ya Tnz baada ya ugaidi dhidi ya mikutano ya cdm.
 
Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake.

Bila shaka mtaanza na hawa hapa, au siyo wapenda amani ya kinafiki.
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1373657365.263344.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1373657365.263344.jpg
    120.8 KB · Views: 68
  • ImageUploadedByJamiiForums1373657381.687605.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1373657381.687605.jpg
    10.5 KB · Views: 138
  • ImageUploadedByJamiiForums1373657511.304530.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1373657511.304530.jpg
    81.2 KB · Views: 157
Sheria gani inayokataza kulinda mali za chama cha siasa,wanachama na viongozi dhidi ya uhalifu wowote unaoweza kujitokeza?
 
Back
Top Bottom