CHADEMA yakaidi agizo la serikali

CHADEMA yakaidi agizo la serikali

kimbwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
707
Reaction score
213
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha kaidi agizo la serikali la kusitisha mpango wake wa kuwapatia mafunzo vijana kwenye kikosi maalum kwa ajili ya kukilinda chama na jamii kwa ujumla.

source: Chanel 10
 
Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake.
 
JWTZ ianze mazoezi mepesi, haiwezekani aman ya nchi ichezewe kiasi hiki.
 
Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake.

Ni sheria gani inaruhusu Green Guards? Tell.us please.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
173017425.jpg
 
Hilo agizo lilitolewa na nani..? serekali legelege bana
 
Nafikiri wakiendelea na mpango wao kinachofuatia ni kchapo!
 
Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake.

nguvu ya umma haijawahi kuzuiwa na gwaride la namna yoyote wala vitu vyenye ncha kali , muulize marehemu Gaddaf .
 
lazima chama kiwe na ulinzi wa kutosha na hakiwezi kurudishwa nyuma na narrow minded dhaifu na lameck shit
 
Sometimes you should stand to what you believe if you turn your mind people will mock you around.
 
Back
Top Bottom