maliyamungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 564
- 412
Kweli wewe mbu hata tabia zako pumba tupu.mama porojo hao chadema ni porojo tupu
Kweli wewe mbu hata tabia zako pumba tupu.mama porojo hao chadema ni porojo tupu
Natumia simu sijaona kitufe cha like!Mtazamo,
..kile kikaratasi kinaonyesha dharau ya serikali/JK kwa CDM.
..sasa ili haki itendeke lazima kwanza tuwaulize serikali, kwanini wamewadharau CDM kiasi kil?
..vilevile tuwaulize CDM, kwanini walikubali kudharauliwa kwa kusainishwa kile kikaratasi?
Mkuu naomba nijibu swali langu, tusipotezeane muda tasavali.Mtazamo,
..kile kikaratasi kinaonyesha dharau ya serikali/JK kwa CDM.
..sasa ili haki itendeke lazima kwanza tuwaulize serikali, kwanini wamewadharau CDM kiasi kil?
..vilevile tuwaulize CDM, kwanini walikubali kudharauliwa kwa kusainishwa kile kikaratasi?
Mtazamo,
..kile kikaratasi kinaonyesha dharau ya serikali/JK kwa CDM.
..sasa ili haki itendeke lazima kwanza tuwaulize serikali, kwanini wamewadharau CDM kiasi kil?
..vilevile tuwaulize CDM, kwanini walikubali kudharauliwa kwa kusainishwa kile kikaratasi?
Tokea enzi hizo hawaeleweki, sio leo tu. Fikiria mfano wa MB. Kwenye vikao vya bunge anakotakiwa awepo, yeye anatoka nje 'anasusa' halafu badala yake anajipeleka mwenyewe gerezani eti 'anahamunapo,' anakaa siku chache panaonekana hapamfai. Wanalazimisha kumtoa bila kufuata utaratibu eti kwa kuwa alienda kwa hiari yake. Kisha anaitwa 'shujaa' mpiganaji hodari eeenh? Kama ze comedy vile. Ujinga mtupu.Hawa CHADEMA nao kama hawaeleweki eleweki vile...
Mnadhani move hii ni kosa limefanywa na cdm, hasha! jaribio kutokukidhi matarajio hakuifanyi ccm kuwa imefanya vema, imeuanika ubaya wa ccm, imetafsiri utawala wa hila wa dubu ccm, imeonyesha wazi kuwa ukiwasikiliza ccm wao watadai umewaruhusu wakuamulie hatima yako, niwaambie! ccm imezidi kuwa mbaya!!!!!!!!
Kwa makubaliano yale na JK ambayo yalisainiwa na Mnyika na Nchimbi hakuna hata moja lililosema kuwa Rais asisaini Muswada kabla ya marekebisho. Ila nakumbuka la kwanza lilikuwa linasema "Pamoja na sheria hiyo kupitishwa na Bunge ipo haja ya kuendelea kuiboresha ili ikidhi mahitaji ya kujenga kuaminiana na muafaka wa kitaifa". Sina hakika kama mlilielewa hili. Yawezekana mlinogewa chai ya Ikulu na kushindwa kulitafakari hili kabla ya kulisaini. Kwa maana hiyo kusema kwamba rais kawauza mmeniboa.
Mkuu hili ni la msingi sana toka juzi watu tunaomba kujua nini makubaliano ya maana wanafanya mambo kisiri kama ya MIKATABA FAKE ambayo sasa inalighalimu taifaUnachoshindwa kuelewa ni kuwa kuna document ambayo imesainiwa na Nchimbi na Mnyika kama wawakilishi wa serikali na CDM respectively.
Kwa hiyo, watu tunauliza Je, ni kipengele kipi kimekiukwa mpaka mseme mmeuzwa?
Ni hilo tu, mengine ni malumbano ya hapa na pale ili siku iende.
..according to Mnyika, CDM wamempa Raisi mapendekezo yao.
..Raisi "kayaweka kabatini" mapendekezo ya CDM na kuamua kusaini mswada kuwa sheria.
..obviously CDM lazima wagomee kushiriki ktk process nzima ya kukusanya maoni kwa kutumia sheria aliyoisaini Raisi.
NB:
..hisia zangu ni kwamba serikali huko mbeleni itapuuza maoni ya wananchi kama ilivyoyapuuza maoni yaliyotolewa na CDM.
Inasikitisha kusema lakini Chadema inaonekana kutokujua inachofanya.
Mkuu, Katiba mpya haijawahi kuwa ajenda ya CCM hata siku moja,wameidandia kisanii kutokana na upepo ulivyokuwa na kwakuwa wamedandia kisanii wote tulijua hawana na hawatakuwa na dhamira ya kutupa katiba bora! Cha kujiuliza ni kuwa pamoja na kujua usanii wote huu imekuwaje chama tunachokiamini na kukipa dhamana ya kuongoza mapambano kinaingia mkenge kirahisi hivi? Kinachosikitisha hata nguvu ya umma tunayoitegemea tunaichanganya sasa,watu wamegawanywa na kilichotokea ikulu! worse enough inaonesha viongozi wetu hawaelewi wanatokaje hapa kwenda mbele! Ku hold tension ya umma ni muhimu mnapotaka haki kutoka kwa wakaidi kama ccm lakini tunayumba kusimamia yale tunayoimba! Lazima tukubali makosa tujipange upya mapema.Mtazamo,
..mswada ndiyo umeshakuwa sheria hivyo.
..sasa kila mmoja wetu ajiulize kama ameridhishwa na ana matumaini ni sheria iliyopitishwa.
..personally nina mashaka sana kwamba tutapatiwa katiba ya hovyo-hovyo tu come 2014.
Sheria haiwezi kupitishwa kama kuna kundi linatia wasiwasi mkuu.
Ndiyo maana watu wanasema yawezeka CCM katiba wanayoita tayari ipo wanajribu kutuzuga tu ili kuonyesha taratibu zinafuatwa
Chadema maelezo ni HAFIFU SANA, kwamba mlipa Rais Mapendekezo Sita ayapitie kabla ya Kusaini Muswaada! I mean under what guarantees by Laws of our Land kwamba Rais angepitia na kuwafahamisha kwamba ameshapitia, sasa hivi akisema alipitia then What? Something is not right na the whole story! - William
Mnyika naona unaona maoni ya watu wengi hapo juu, hata kitaani ni hivyo hivyo
All I can say to you guys please STICKY to your decision, chadema ijulikane ina mlengo gani, mlengo wa kulia, kushoto au kati, amueni kuwa radicals na dunia ijue hivyo...au muwe kondoo na dunia itawajua hivyo. Mmekuwa mnabadilika badilika sana.....
Hata iwe vipi hamtakuwa na uwezo wa kumfurahisha kila mtu.....ila amueni muwe vipi na mtavuta wengine kwa vile mtakavyokuwa!!
Leo mtakasirika, kesho mtamchekea yule yule aliyewakasirisha jana, kitu gani huwa kinatokea??...hatujui
Lingine, jamani ikiwezekana hiyo ruzuku ichukue nafasi ya posho zenu za bungeni...susieni vikao vya bunge na DUNIA ijue hivyo CCM wanajua kuwa huwa mnatisha leo....mnakuja kesho! this aint good not neither for your supporters nor for your members.