Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,395
- 92,721
Mkuu usi underestimate akili za Dr Slaa, sasa nimeshaelewa ni kwa nini Dr Slaa hakwenda kwenye vile vikao vya mazingaombwe pale ikulu. sababu za Dr Slaa kutohudhuria kile kikao hazingii akilini, mimi nina uhakika kuna strategic plan ya kisomi iliyopangwa.Wakati Rais anawauza CHADEMA, watambue pia kwamba nao wameniuza mimi mfuasi wao.
Naomba wana JF wote hapa tuache unafki, watu walikuwa wanaishutumu Chadema kwamba ni chama cha vurugu na maandamo na sasa strategic plan ni hii iliyotumika kumpa Rais muda na fursa ambayo ameshindwa kuitumia, sasa watu wakiingia mtaani Chadema si ya kulaumiwa kwani hakuna chaguo mbadala na hili lilitegemewa na kila mtu anaemfahamu vyema JK, kwani kama ana uwezo wa kuipuuza kamati kuu ya CCM iliyomuagiza akutane na vyama vyote badala ya Chadema pekee ndio atashindwa kupuuza kile alichojadiliana na kamati maalum ya Chadema? Think loud.