CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

Chadema haina wanachama mburula kama wewe wasiojua viongozi wachapakazi.
 
Kwanza rufaa ya nini wakati bado hajavuliwa uanachama?
Zitto mbona anahangaika hivi?
 
Nchi iuzwe mara ngapi ?hakuna sehemu iliyobaki bila kuuzwa.
Chadema wakikamata dola watakuwa na kazi ya kulipa garama kubwa kuikomboa TZ Mikononi mwa walio inunua kotoka Maccm.
 
Nafikiri wewe huijui Chadema huwa hatubabaishi tukiamua tumeamua wait and see.
Naona umeamua kurudi kweye ID yako ya zamani, vipi nasikia saizi mmekuja na sera mpya ya Gongo baada ya kuona ufisadi imefulia.
 

Mkuu hamieni CHAUMMA mtuachie Chama chetu!
 
Kumbe nafasi imeshapata mtu?! Aaah ama kweli kufa kufaana. Hiyo Mh.Zitto ahesabu Unaibu Katibu Mkuu CDM ndio basi tena.

Kulikuwa na haraka gani ya kutafuta mtu wa kuziba nafasi ya Mh.Zitto hata kabla ya Zitto kujibu tuhuma zake?! Kwa haraka tu naona rufaa ya Zitto haina maana tena.
 
Chadema haina wanachama mburula kama wewe wasiojua viongozi wachapakazi.

umenifurahisha sana , unajua siku hizi wale wa buku 7 wanajifanya wanachama wa cdm , mbinu ya kishamba sana .
 

Mkuu unawezaje kuwa kiongozi kama sio mwanachama?
 
Mantiki yake ni kwamba aliyekuteua ana haki ya kukutoa muda wowote, CC ina uwezo huo.

Hivi Mbatia akivuliwa ubunge atakata rufaa kwa rais?
 
Huyu bwana afukuzwe tu maana tumechoka huu wimbo.
 
Naona umeamua kurudi kweye ID yako ya zamani, vipi nasikia saizi mmekuja na sera mpya ya Gongo baada ya kuona ufisadi imefulia.
Toka Chama cha Magamba hadi Chama cha Mizigo mna kazi.

Nimerudi kwa kazi moja tu kuhakikisha tunamtoa nduli Idd ZZK ndani ya ngome yetu akishatoka nitarudia ID yangu unayoijua.
 
Tofautisha kati ya kaimu na naibu.
 
Msajili wa vyama vya Siasa nchini ni bora aiangalie kwa kina Katiba ya CDM, naona kama inachezewa kwa manufaa ya vigogo.

Zitto bado ni mwanachama halali wa CDM na daima ataendelea kuwa mwanachama wa CDM, kwa hiyo anastahili kupewa treatment sawa na wanachama wengine.
 
Una uhakika gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…