John Mnyika
JF-Expert Member
- Jun 16, 2006
- 713
- 1,249
Tutaomba uendelee kutupasha hata baada ya kikao...Taarifa kuhusu Mfumo wa uanachama kwa njia ya kieletroniki (E-Membership); Taarifa ya Fedha; Uteuzi wa Bodi ya Wadhamini; ...
Hao wamejitoa wenyewe Chadema, na hawajakata rufaa ya kuvuliwa vyeo vyao sasa agenda ni ya nini ilihali Katibu Mkuu alishalimaliza kila kitu!Sawa Bw. Mnyika
Mbona hakuna agenda ya kina kafulila na mwenziwe Juju na hii habari ya wanachama wanaotaka kujitoa kwa wingi
Sawa Bw. Mnyika

Vipi kikao cha kawaida inakuwa 'BREAKING NEWS!' kunani Chadema?
Sawa Bw. Mnyika
Mbona hakuna agenda ya kina kafulila na mwenziwe Juju na hii habari ya wanachama wanaotaka kujitoa kwa wingi
Mimi ndiyo maana nasema members hapa ama JF tumepoteza mwelekeo . Yaani Kafulila kujiondoa kwenye Chama inatakiwa kuwa agenda ?Jamani waacheni watu wafanye kazi .Hiyo ni issue itakuja kwenye yatokanayo . Sasa kama kuna mtu anaka kujiondoa Chadema naye iwe agenda kwamba wawazuie ama iweje ?
Kwenye fedha ndiko tunataka kusikai watasema nini maana Mbowe katuhumiwa kula pesa nk .Kwenye fedha tunataka kuona Changes na signatories wanakuwa watu ambao ni watendaji na Mbowe aachie sahihi . Chadema wawe na Accountant ambaye hataliliwa kwamba ni mchaga .

Unasema uko serious ama unapunguza uchovu ? Unadhani kwenda mahakamani kudai kuibiwa kura ndiyo jibu la shida ya uchaguzi TZ ? Kesi ngapi TZ hadi sasa nilienda Mahakamani na CCM wakashinda ? Hii si issue hapa ya kwenda Mahakamani mie nataka Chadema na wapinzi wote na sisi tuwaunge mkono na si kuwafunga kengele mnakimbilia JF kuandika kuunda Tume ya Uchaguzi ya wote ambayo JK haiteuwi hii ndiyo jibu na mwisho wa CCM . Lakini JF kama wakazi wa Dar .NI wajanja sana na husema sana wanaujua ukweli lakini serikali za mitaa wameipa CCM tena sasa akili hii ? Mnataka hao wapinzani mnaowapigia kelele waje kupiga kura hadi mitaani kwenu ?wanafiki watupu hawa..,wanadiscuss nini...watu wanazulumiwa kura zao wanashindwa kutoa hata mchango wa wakili ati jichangisheni muende mahakamani...dems chama....ndio maana kafulila maneno yake yasipoaminiwa hivi sasa yataaminiwa na wajukuu wa chadema ipo siku