mkuu Arusha mjini ni kajimbo kamoja tu kati ya majimbo zaidi ya 250 ya nchi nzima. sijui kama utanielewa lakini. akili zako zisiishie kufikiria mwisho mlima meru tu.mwambie huyo kua umesahau 5-0 ya arusha kwikwikwiiiiiiii
mkuu Arusha mjini ni kajimbo kamoja tu kati ya majimbo zaidi ya 250 ya nchi nzima. sijui kama utanielewa lakini. akili zako zisiishie kufikiria mwisho mlima meru tu.mwambie huyo kua umesahau 5-0 ya arusha kwikwikwiiiiiiii
mkuu Arusha mjini ni kajimbo kamoja tu kati ya majimbo zaidi ya 250 ya nchi nzima. sijui kama utanielewa lakini. akili zako zisiishie kufikiria mwisho mlima meru tu.
hata kansa inaanza kama kijipele uchwara hivi , lakini balaa lake unalijua .
CDM jimbo la Kyela sio rahisi hi yo, nani mgombea wa CDM anayeweza kushindana na wagombea Hawa kutoka CCM;
1. Dr. Mwakyembe
2. Africar.T Kagema
3. Elius Mwakalinga na mengine wengi itakapowadia?
chadema inafifia mkuu. au nyinyi wenzetu mnatumia indicator zipi kupima kuimarika kwa chama? kata 3 chopa 3. chalinze 10% kalenga 20% pamoja nguvu yote mliyowekeza. hamjajifunza tu kitu hapo?hata kansa inaanza kama kijipele uchwara hivi , lakini balaa lake unalijua .
chadema inafifia mkuu. au nyinyi wenzetu mnatumia indicator zipi kupima kuimarika kwa chama? kata 3 chopa 3. chalinze 10% kalenga 20% pamoja nguvu yote mliyowekeza. hamjajifunza tu kitu hapo?
CDM jimbo la Kyela sio rahisi hi yo, nani mgombea wa CDM anayeweza kushindana na wagombea Hawa kutoka CCM;
1. Dr. Mwakyembe
2. Africar.T Kagema
3. Elius Mwakalinga na mengine wengi itakapowadia?
ndomyana usikonde , style tunayoitumia kuimaliza ccm kyela inaitwa , ' CANCER STYLE ' HATUPIGI KELELE SANA , WAO NDIO WATALALAMIKA , nimesoma shule ya msingi NSASA , hivyo NGONGA , KATUMBASONGWE , IKOLO KABANGA , ISAKI MPAKA KALONGA MALAWI NATAMBA , NINA MASHAMBA BORDER , HIVYO NAPATIKANA PIA KATA YA IKIMBA , HAWATOKI NAKUAMBIA .
mkuu Arusha mjini ni kajimbo kamoja tu kati ya majimbo zaidi ya 250 ya nchi nzima. sijui kama utanielewa lakini. akili zako zisiishie kufikiria mwisho mlima meru tu.
ccm ilishachoka muda mrefu sana! basi tu ipo ipo tu kimaghumashi!
afadhali umenistua. kuanzia leo hata soda nitanunua na kunywea hapohapo dukani. natafuta mkoa mwenhine wa kufanyia shughuli zangu maana arusha inaelekea sio salama tena.Sio arusha mjini tu mkuu...kuna arumeru kwa dogo Nasari....arusha mjini mnaweweseka kwa kupiga mabomu hovyo mara ------ bar,..mara uhindini..olasity makanisani...nasikia sasa mmeweka target za club za usiku babylon,pinpoint,triple a etc..etc
Utafiti wako upo biased hasa ulipo acha kwa makusudi kujumuiaha "Factor Comparison method" kwenye uchambuzi wako!!
Je mwaka 2010 CHADEMA Chalinze na Kalenga walipata % ngapi ya kura?Je chaguzi za marudio miaka 3 baadae walipata % ngapi ya kura?Je % zao zimeongezeka au zimepungua?
Tupe takwimu tafadhali!
Hakuna mgombea mtarajiwa anayeitwa Elias Mwakalinga Kyela bali tunae George Mwakalinga anayeishi Swindon-UK ambaye kasema hatagombea!
Africa Kagema ni school mate wangu Itope na tulikuwa marafiki sana enzi hizo!Kwa sasa sijui alipo na namtakia mafanikio mema apite kura za maoni CCM tuje tupambane Kyela mwakani!
Dr Mwakyembe hata kura za maoni hawezi pita ndani ya CCM ingawaje sasa kaanza kugawa futari kwa waislam wa Kyela
CHADEMA kuna kijana anaitwa Mwanyamani ana NGO yake hapa Kyela huyu anashinda ubunge kiurahisi tu mwakani labda arubuniwe ajiunge na CCM
Sio arusha mjini tu mkuu...kuna arumeru kwa dogo Nasari....arusha mjini mnaweweseka kwa kupiga mabomu hovyo mara ------ bar,..mara uhindini..olasity makanisani...nasikia sasa mmeweka target za club za usiku babylon,pinpoint,triple a etc..etc
wanataka muwatajie ili waanze kumhujumuWANA KYELA HATUTAKI KUSIKIA HABARI ZA CCM , hao unaowataja maadam wako ccm wamekwisha ! twe bha mwakyela tusikulonda najumo ugwa ccm tukulonda gene amaendeleo , hivi umeiona ile barabara ya mwakyembe hasa yale maeneo ya mwafilombe ? acha masihala we jamaa , yeyote atakaewekwa na cdm ndio mbunge wetu .
tunajiandaa kuwachapa viboko polisi na TISS wanaowabeba tutakutana 2015 habebwi mtu hapo nondo kwa nondo MACCM mumezoeasidhani hiyo kama inaapply hapa. jiulize kule Igunga mlipata kura ngapi japokuwa hamkuwa na mtaji hata wa mtu mmoja 2010? hujiulizi maswali haya? kipindi kile chadema ilikuwa na nguvu ila sasa hii chadema ina ugonjwa wa cancer uitwao usaliti na fukuzafukuza. hii ndo sababu ya chadema kufifia japokuwa hamtaki kukiri.
yaangalie haya mambo vizuri, msije mkaanza kutukana humu kama mlivyowatukana wanakalenga baada ya kuambulia patupu.
tumestuka mjomba .wanataka muwatajie ili waanze kumhujumu