CHADEMA yaitesa CCM Kyela

CHADEMA yaitesa CCM Kyela

Book 7 wahi huku la sivyo leo mtakuwa hamlipwi, shauri yenu.

CC: Msalani, Lizaboni, Rutashobolwa, GSU, Simiyu yetu, Faiza Foxy
Ukitaka wakusikie wapigie kabisa baragumu kama hivi; MSALANI, Lizaboni, Ruttashobolwa, gsu, Simiyu Yetu, FaizaFoxy...naona umewasahau utaifakwanza, Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, mwa4, Ritz, MwanaDiwani...jumla yao ni kama misukule hamsini hivi sawa na asilimia 0.5% ya wana JF lakini wanavyokesha humu utadhani wameahidiwa pilau mwisho wa siku.
 
Halafu ukijengwa msingi inakuwaje nyie malofa- CCm ikija ikaweka Tawi kwa sababu msingi tayari mtalaumu ? Maana hakuna wa kuendeleza hata msingi- maskini ukawa sori adm. Aaaaahaaaahaaaaaaaa:A S-eek::hail: CCM aja sepa ww:llama:

hivi unajua ulichoandika? Mkisikia tu CDM mapepo yanawatoka mnaanza kuropokwa bure!
 
Ukitaka wakusikie wapigie kabisa baragumu kama hivi; MSALANI, Lizaboni, Ruttashobolwa, gsu, Simiyu Yetu, FaizaFoxy...naona umewasahau utaifakwanza, Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, mwa4, Ritz, MwanaDiwani...jumla yao ni kama misukule hamsini hivi sawa na asilimia 0.5% ya wana JF lakini wanavyokesha humu utadhani wameahidiwa pilau mwisho wa siku.

Ni kweli mkuu,misukule ipo michache sana na inahesabika.Pamoja na lumumba kulipa wapiga zumari buku7 hapa jf lakini vijana wamejitambua wamekataa kumtumikia shetwani ccm.Hakika ukombozi upo karibu
 
Chadema kinakwenda kukamata madaraka wezi wa Pesa za taifa mjiandalie vitanzi nyie na makuwadi wenu akina nepi.
 
Ni kweli mkuu,misukule ipo michache sana na inahesabika.Pamoja na lumumba kulipa wapiga zumari buku7 hapa jf lakini vijana wamejitambua wamekataa kumtumikia shetwani ccm.Hakika ukombozi upo karibu

usisahau kuna zile ID ambazo kila mtu wa lumumba anaweza kutumia .
 
Chadema subirini CCM tuingie kazini maneno yenu hayo hayatakuwepo mtashika midomo wazi. Tatizo nyie Chadema kazi yenu ni kuropokaropoka tu lakini tukiingia vitani mnapigwa bao.Watanzania hawapo tayari kuwapa nchi,jimbo,kata,kijiji wala kitongoji wahuni Chadema.
 
mkuu ukija mbeya town tutaftane

ndomyana usikonde , style tunayoitumia kuimaliza ccm kyela inaitwa , ' CANCER STYLE ' HATUPIGI KELELE SANA , WAO NDIO WATALALAMIKA , nimesoma shule ya msingi NSASA , hivyo NGONGA , KATUMBASONGWE , IKOLO KABANGA , ISAKI MPAKA KALONGA MALAWI NATAMBA , NINA MASHAMBA BORDER , HIVYO NAPATIKANA PIA KATA YA IKIMBA , HAWATOKI NAKUAMBIA .
 
Chadema subirini CCM tuingie kazini maneno yenu hayo hayatakuwepo mtashika midomo wazi. Tatizo nyie Chadema kazi yenu ni kuropokaropoka tu lakini tukiingia vitani mnapigwa bao.Watanzania hawapo tayari kuwapa nchi,jimbo,kata,kijiji wala kitongoji wahuni Chadema.

MWAMAKULA , TEGEMEO KUBWA LA CCM NI KUGAWA WALI , hivi jo JWANI UGWA KUNSYOBELA UMPUNGA NI INDIMA MWA KYELA NKULUMBA GWANGU , NGUU LALUSYA UGWE MWAMAKULA ?
 
CDM members creative ever! How good is that and how much cost does it take! For sure not too much but the whole area looks beautful! I like it. Hayo maua yakifikia kimo chake yakatwe, it will be my touring place.
 
mtakutana kwenye sanduku la kura.
isije ikawa kama yale ya chalinze, kalenga na kata3 chopa3. be careful.

Siyo Kyela tu ni Tanzania nzima ndio tunashika kasi kuingia Magogoni nafikiri umejionea chaguzi za ustarabu na uwazi

Kweli mkuu,tumeshuhudia chaguzi safi zisizo na harufu ya rushwa.Hakika CDM ni chama cha mfano Africa.

Misingi ya cdm yamwagwa kama njugu , tena ni mpaka vijijini kabisa , ubovu wa barabara za ndani , kuanguka kwa soko la mpunga kumerahisisha sana kuing'oa ccm .
 
kata ya
ngonga ina wakazi wasomi sana ni tegemeo la cdm , tumeiweka kwenye ratiba next time , which is about to come , stay tuned .

Dr Mwakyembe hata kura za maoni ndani ya CCM hawezi kupita ingawa sasa wamekubaliana na mjomba wake Elias Mwanjala waachiane jimbo ili Mwanjala akagombee Mbeya mjini!
 
huo unaouona hapo ni MSINGI WA CDM NJIA PANDA YA KWENDA MASHINE ZA KUSAGA MPUNGA KALUMBULU .

Hapo ndipo kwetu;karibu sana na nyumba ya wazazi wa Meya wa Kinondoni Yusufu Mwenda!
Narudi kumtoa Kipeja kwenye udiwani wa Kyela mjini hata yy anajua hilo na CHADEMA tutaongoza Halmashauri!
Niungeni mkono wadau!!
 
karibu sana kaka .
 
Dr Mwakyembe hata kura za maoni ndani ya CCM hawezi kupita ingawa sasa wamekubaliana na mjomba wake Elias Mwanjala waachiane jimbo ili Mwanjala akagombee Mbeya mjini!

mbinu ya mwanjala niliifahamu tangu alipogombea uongozi wa soka , kyela inasubiri mbunge wa cdm , ni kiasi cha kujipanga na kumleta mtu anayekubalika .
 
Back
Top Bottom