CHADEMA yaitesa CCM Kyela

CHADEMA yaitesa CCM Kyela

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,043
Reaction score
282,478
Misingi ya cdm yamwagwa kama njugu , tena ni mpaka vijijini kabisa , ubovu wa barabara za ndani , kuanguka kwa soko la mpunga kumerahisisha sana kuing'oa ccm .
attachment.php
 
Attachments

  • 2014-07-15 16.56.12.jpg
    2014-07-15 16.56.12.jpg
    584.7 KB · Views: 7,948
Hali ya barabara za ndani inasikitisha mno !
 
Misingi ya cdm yamwagwa kama njugu , tena ni mpaka vijijini kabisa , ubovu wa barabara za ndani , kuanguka kwa soko la mpunga kumerahisisha sana kuing'oa ccm .
 
Misingi ya cdm yamwagwa kama njugu , tena ni mpaka vijijini kabisa , ubovu wa barabara za ndani , kuanguka kwa soko la mpunga kumerahisisha sana kuing'oa ccm .

Siyo Kyela tu ni Tanzania nzima ndio tunashika kasi kuingia Magogoni nafikiri umejionea chaguzi za ustarabu na uwazi
 
Siyo Kyela tu ni Tanzania nzima ndio tunashika kasi kuingia Magogoni nafikiri umejionea chaguzi za ustarabu na uwazi

Kweli mkuu,tumeshuhudia chaguzi safi zisizo na harufu ya rushwa.Hakika CDM ni chama cha mfano Africa.
 
Misingi ya cdm yamwagwa kama njugu , tena ni mpaka vijijini kabisa , ubovu wa barabara za ndani , kuanguka kwa soko la mpunga kumerahisisha sana kuing'oa ccm .

safi kabisa,kwa pamoja tutalikomboa taifa letu!
 
Pigeni kazi wao wanapokesha kuinenea mabaya CDM siye twasonga mbele
 
Book 7 wahi huku la sivyo leo mtakuwa hamlipwi, shauri yenu.

CC: Msalani, Lizaboni, Rutashobolwa, GSU, Simiyu yetu, Faiza Foxy
 
Book 7 wahi huku la sivyo leo mtakuwa hamlipwi, shauri yenu.

CC: Msalani, Lizaboni, Rutashobolwa, GSU, Simiyu yetu, Faiza Foxy

hao wapiga kelele wa kariakoo tu , ya vijijini hawayajui kabisa .
 
kuna picha nyingi tunazo , za kufurahisha na za kusikitisha , ila zinanipa shida kuziweka , nikifanikiwa mtaziona bila CHENGA , UKOMBOZI UKO KARIBU SANA !
 
huo unaouona hapo ni MSINGI WA CDM NJIA PANDA YA KWENDA MASHINE ZA KUSAGA MPUNGA KALUMBULU .

Halafu ukijengwa msingi inakuwaje nyie malofa- CCm ikija ikaweka Tawi kwa sababu msingi tayari mtalaumu ? Maana hakuna wa kuendeleza hata msingi- maskini ukawa sori adm. Aaaaahaaaahaaaaaaaa:A S-eek::hail: CCM aja sepa ww:llama:
 
Hongereni makamanda wa Kyela, watatuelewa tu, wakati wao wanakesha kuandika uzushi sisi tunakesha kupiga kazi field, tukija humu ni kuwajulisha tu kuwa pamoja na kelele zao, fitina zao, uzandiki wao, njama zao, ufedhuli wao bado chadema tunapiga kazi
 
Back
Top Bottom