Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,068
- 282,580
- Thread starter
- #101
chadema inafifia mkuu. au nyinyi wenzetu mnatumia indicator zipi kupima kuimarika kwa chama? kata 3 chopa 3. chalinze 10% kalenga 20% pamoja nguvu yote mliyowekeza. hamjajifunza tu kitu hapo?
hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ccm inapendwa mahali pasipokuwa na maendeleo ? maana kama kufaidi walifaidi wale ambao wameendelea , lakini why walio nyuma tena mno ndiyo wanaikumbatia ?