CHADEMA yaitesa CCM Kyela

CHADEMA yaitesa CCM Kyela

chadema mbona mmeshindwa kyela?

Matokeo ya kyela nimeyatoa sehemu

Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wilayani Kyela.Jumla ya Vijiji ni 90,CCM wamepata 79 na CHADEMA 11.Jumla ya Vitongoji ni 401,CCM wamepata 310 na CHADEMA 84 Vitongoji 5 bado kufanyika Uchaguzi.

KUNA MAMBO MAWILI YA KUANGALIA HAPA , 1 . Mwaka 2009 CDM WALIKUWA NA NINI NA LEO WANA NINI ? 2 . CDM IMECHUKUA MIJI NA MAKAZI YA WATU WAKATI CCM IMESHINDA MAPORI NA MASHAMBA ! ANGALIA HAPA KWA MFANO IDADI YA WAPIGA KURA WA KYELA MJINI NA WALE WA KATYONGOLI AU NDAMBA HAIFANANI KABISA , KWA MAANA HIYO KAMA WAGOMBEA WANGEKUWA WAWILI TU KAMA VILE WABUNGE, CCM INGEANGUKIA PUA VIBAYA SANA !
 
Book 7 wahi huku la sivyo leo mtakuwa hamlipwi, shauri yenu.

CC: Msalani, Lizaboni, Rutashobolwa, GSU, Simiyu yetu, Faiza Foxy
Haya mazimwi usiyakumbuke ni kama ukoma! Huwa yanabisha hata majina yao pia hayajielewi,ni misukule ya Lumumba.
 
Back
Top Bottom