CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

BIG up CDM, huu ni mwiba mwingine kwa ccm, liwalo na liwe maana wamezoea kuwadanganya wakulima vijijini. COME BACK TANGANYIKA:israel:
 
CHADEMA inapokea mamilioni ya fedha kutoka serikalini kila mwezi(ruzuku) , mimi kama mtanzania na mmoja wa walipa kodi ninapaswa kujua fedha hizo zinatumikaje.
Je unajua ccm inapokea zaidi ya 1bilioni kama ruzuku wachilia mbali faida toka vitega uchumi vyake ilivyotapeli umma enzi za chama kimoja, michango ya mafisadi na wauza Sembe waliomshinda Mwakyembe. Je ulishawahi kuhoji hata siku moja au wewe ndo kila unayetetea wizi wa 200bilion leo unajifanya una hurumia ruzuku ya CHADEMA Katone tu ukilinganisha na pesa za ccm nyingi haramu na halali
 
Mkuu kuuliza sio ujinga. Ungetusaidia sana kama ungetoa hayo majibu kwa faida ya wanajamvi wote tusiojua huu mchakato wa kupata pikipiki uliendaje.

CHADEMA Hahiwajibiki kwako kijana wewe kinana, kikwete, riz1, salma na nape ndo wanaweza kuwajika kukupatia majibu siyo makamanda
Kweli wewe mtoto wa uswahilini kabisa
 
MSALANI,

Taarifa itatolewa Rasmi Kwenye Vikao kupitia vyombo vya uwakilishi katika uendeshaji wa chama yaani sekretarieti,Kamati Kuu na Baraza Kuu ambavyo vipo kwa niaba ya wanachama,wapenzi na Wafuasi wa CHADEMA na harakati za Mageuzi kwa ujumla

Hakuna haja kuwajibu kina Msalani maana hawaelewi hata kidogo.
 
Chadema ingieni vijijini, huko ndiko waliko watanzania wengi! Igeni mfano wa kinana kufanya mikutano vijijini!
 
Mbowe kashapiga mamilioni yake hapo utasikia mil 10 kila moja...


TZ ina kata elf 3 sasa 252 ni kwa moshi tu au?
 
Back
Top Bottom