CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

we ritz.kaulize pikipiki za nyinyiemu zilizo kuwa zinakimbia mkoa kwa mkoa (Kampuni gani ilipewa zabuni na pikipik moja imewaghalimu kiasi gani na pes zimetoka wapi.) na baba yako amepewa kiasi gani km 10%.
 
kwenye hili dili la pikipiki mbowe amepiga hela ndefu sana....lilikuwa dili lake
 
kwenye hili dili la pikipiki mbowe amepiga hela ndefu sana....lilikuwa dili lake
 
natabiri pikipiki nyingi zitapelekwa kanda ya kaskazini
 
Upande wa pili wanatafuta kila sababu ya kuzitolea tamko pikipiki hizi,tusubiri tuone
 
Kampuni gani ilipewa zabuni na pikipik moja imewaghalimu kiasi gani na pes zimetoka wapi.

ulitaka kampuni ya kinana au riz 1 ipewe tenda ya kununua pikipiki za cdm? Kuhusu chanzo cha pesa ni Ujangili,Madawa ya kulevya ni zile bil 200 za Tanesco.
 
 
Ni kiini macho tu hicho,
Wenye mzigo wao wapo.

Muulize lema na mbowe utakavyokuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…