Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?
MSALANI,
Taarifa itatolewa Rasmi Kwenye Vikao kupitia vyombo vya uwakilishi katika uendeshaji wa chama yaani sekretarieti,Kamati Kuu na Baraza Kuu ambavyo vipo kwa niaba ya wanachama,wapenzi na Wafuasi wa CHADEMA na harakati za Mageuzi kwa ujumla
Good move! Ila kuna mkakati gani wa kuziendesha bila kuishia kufa na kutupwa kwenye hizo ofisi?
Pesa ya uendeshaji je?
Pamoja sana makamanda,tutafika hakika no matter what.
Nenda kwa mkaguzi mkuu.
nani kakwambia zimenunuliwa na pesa ya Ruzuku?
zile fedha ulizopora umesharudisha?Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?