Hivi mnyika ameishia darasa la ngapi hasa kielimu?shimbo alivitaka vyama vya siasa visigomee matokeo yatalapotangazwa akimaanisha vyama vyote ikiwemo ccm,sasa mnyika alijuaje kwamba ccm ndio watashinda hivyo ushauri wa jeshi unakilenga chadema na cuf tu?halafu mkiambiwa mna miliki kadi mbili mbili mnatoa povu,unaingia kwenye uchaguzi ukijua unaenda kushindwa si bora usishiriki basi
CDM kama mazuzu! Chama kuingia mzozo na Jeshi ni hatari kwa chama husika. Yangu masooo.
Uwezo Tunao; Mkubwa,Nimeipenda post yako sana! Na ni juzi tu nilikuwa naliongelea hili na makamanda wa4 wa pale Monduli (TMA) wakasema hii serikali ya mafisadi wanacheza tu kwani hawajui ya kwamba mioyo ya Watanzania ipo katika chama pinzani,wakaendelea kuzungumza mengi sana! Kwa kweli wameendelea kubwabwaja haswa wale makamanda! Na kwa kweli wanaichukia ccm kweli kweli na wakaendelea kusema ya kwamba ni dhahiri ya kwamba bado tupo kwenye UKOLONI MWEUSI HAKIKA!
kama ndivyo basi kuna mahali raisi wetu anakosea i dare to admit that.
Hivi mnyika ameishia darasa la ngapi hasa kielimu?shimbo alivitaka vyama vya siasa visigomee matokeo yatalapotangazwa akimaanisha vyama vyote ikiwemo ccm,sasa mnyika alijuaje kwamba ccm ndio watashinda hivyo ushauri wa jeshi unakilenga chadema na cuf tu?halafu mkiambiwa mna miliki kadi mbili mbili mnatoa povu,unaingia kwenye uchaguzi ukijua unaenda kushindwa si bora usishiriki basi
zuzu mwenyewe na wote wenye akili kama wanajeshi. jeshi la mafisadi nalo waliita jeshi? utakuwa umevurugwa wewe. cdm haina cha kupoteza maana haitegemei jeshi ktk kuendesha siasa kama magamba.jeshi hopeless, nashangaa linaitwa la wananchi wakati ni jeshi la magamba.
Unachosema kinaweza kuwa na ukweli lakini hakihusu jeshi pekee. Hata hivyo wanjeshi hawakatazwi kupenda vyama, wanachokatazwa ni kuonyesha ushabiki wao hadharani hasahasa wakiwa wamevaa uniform.
Vile vile ikumbukwe kuwa jeshi lilikuwa na uhusiano wa karibu sana na CCM mpaka mwaka 1992. Ikumbukwe kuwa hata JKT ilianzishwa kwa mawazo ya TANU youth league katika mkutano wao kule Tabora. Kwahiyo ni kweli kuwa jeshi bado lina chembechembe za CCM lakini haimaanishi kuwa sasa wanajeshi wavae sare za CCM na kwenda kuishabikia. Ukitaka kufanya majaribio ingia na gari yenye picha za kushabikia CCM katika eneo rasmi la jeshi kama Lugalo utaona kitakachotokea. Hata watumishi raia jeshini hawaruhusiwi kuvaa fulana za vyama katika maeneo ya yao ya kazi jeshini. na hili linahusu watumishi wote wa umma...
sasa hii ndio point ambayo mnyika litakiwa aibainishe na si kusema kwann jesh limetolea tamko hii ilihali aishu ya meremeta ikiwa silent.nafikiri kama inawezekana tabale this point. ila sasa usisahau kwamba amiri jesh mkuu ndio kiongzi wa jesh sasa sijui hili linaonekanaje ingawa hawez kulitumia jeshi kwenye kampeni za chama chake
Yaan ww ni Kenge. Jeshi halihojiwi?
tuacheni ushabiki kwanza kabisa nasifu JWTZ kwa kutolea tamko punde walipona hili. jeshi nichombo ambacho hakitakiwi kufungamana na chama chochote cha siasa na kama ikitokea dosari kama hiyo ni kubwa sana kwa jeshi letu.
binafsi namsihi mnyika aangalie upya kauli yake hivi swala la wanajeshi kusema anajiunga na CDM na swala la meremeta utayafananisha??
meremeta liko katka ngazi tofauti na hata impact yake ni tofauti hii ya mjeda nayo ni tofauti na impact yake ni tofauti. tukiruhusu haya yatakuja yake ya majesh ya m23 ya DRC (sijui) tuacheni ushabiki hapa umakin unahitajika.
Hoja za mnyika ni DHAIFU mara 100000000000000000000000,
Kikanuni, kufanya kosa kwa kuwa wengine wanafanya kosa ni umbumbumbu wa hali ya juu. Mnyika alitakiwa aseme kama yaliyotokea ni sahihi katika chama chao ama la na hatua ambazo jeshi linataka kuzichukua ni za kisheria ama la sio kujitetea kwamba eti mbona mwigulu.......................
Kweli shule muhimu
Hoja za mnyika ni DHAIFU mara 100000000000000000000000,
Kikanuni, kufanya kosa kwa kuwa wengine wanafanya kosa ni umbumbumbu wa hali ya juu. Mnyika alitakiwa aseme kama yaliyotokea ni sahihi katika chama chao ama la na hatua ambazo jeshi linataka kuzichukua ni za kisheria ama la sio kujitetea kwamba eti mbona mwigulu.......................
Kweli shule muhimu
CDM kama mazuzu! Chama kuingia mzozo na Jeshi ni hatari kwa chama husika. Yangu masooo.
itohoe yenye rangi nyekundu, mahita alipogombe ubungu nini kilimsibu, mboma aliambulia nini, hao viongozi waandamizi wa jeshi hawapendwi na jamii kwa tabia yao ya kukipendelea ccm walipokuwa kazini.
Mwita Maranya nimekupa like kwasababu nimefurah mno kwamba huyu mwanajesh akithibitika kwamba ni mjeda kweli atawajibishwa ipasavyo. ila furaha yangu imezd mara dufu kwamba jeshi limekumbuka wajibu wake ipasavyo na naamin hawatayarudia haya yanaypleta hisia mbaya machoni pa watu.Mnyika ameyataja matukio yote yaliyolihusisha jeshi na kashfa za kisiasa na za ufisadi. Kataja meremeta, shimbo kufanya siasa za ccm, wanajeshi kuteuliwa kuwa wakuu wa wilaya na mikoa na hivyo kuwa wajumbe wa kamati za siasa za ccm. Kataja kauli ya mwigulu juu ya jeshi kuwaapia kuwalinda na mambo mengine yote.
Kwakuwa skendo zote hizo JWTZ haijawahi kutoa kauli ndipo tunashangaa hii ya mjeda kupiga picha tu na mbunge wa Chadema wanaitolea macho. Hapo ndipo tunahoji kuna nini nyuma ya pazia? Au mwenyekiti wa chama ametumia kofia yake ya uamiri jeshi mkuu kulishinikiza jeshi kuitolea kauli picha ya mjeda na kamanda Lema?
JWTZ ni jeshi la wananchi wa Tanzania na si jeshi la wanachama wa ccm!
sasa hapa napata hisia na iko hivi,
tunalichukia jesh simply kwasababu wanaonekana wanaibeba ccm sio?? hivi jeshi lingekaa kimya mngesemaje? na j unafikir wamekosea?
sasa hapa napata hisia na iko hivi,
tunalichukia jesh simply kwasababu wanaonekana wanaibeba ccm sio?? hivi jeshi lingekaa kimya mngesemaje? na j unafikir wamekosea?
Mwita Maranya nimekupa like kwasababu nimefurah mno kwamba huyu mwanajesh akithibitika kwamba ni mjeda kweli atawajibishwa ipasavyo. ila furaha yangu imezd mara dufu kwamba jeshi limekumbuka wajibu wake ipasavyo na naamin hawatayarudia haya yanaypleta hisia mbaya machoni pa watu.