Chadema yaijaribu serikali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yaijaribu serikali.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zawadi Ngoda, Jan 8, 2011.

 1. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Licha ya onyo lililotolewa na mh Rais katika salaam zake za mwaka mpya kwa vyama vya siasa kuacha kuendelea na Kampeni, halikusikika kwa viongozi wa CHADEMA. Na jaribio kubwa lilikuwa ni kuwamwaga vijana wao barabarani, wakidhani kuwa hotuba ile ilikuwa ni tishia toto. Mattokeo ya tishia toto yamezaa tishia kubwa, Je sasa ndio viongozi wa CHADEMA wamefurahi au wameshinda? Hiloni swali kila mtanzania anajiuliza.

  Mara baada ya kwisha uchaguzi, niliandika barua kwa waJF na watanzania wote nilisisitizia umuhimu wa kusahau purukushani za uchaguzi na kujenga umoja wa kitaifa. Moja kati ya hatua kubwa ilikuwa ni kuacha mazingira ya kikampeni katika maisha yetu ya kila siku. Kwa bahati nzuri vyama vingine vyote vya kisiasa vilielewa umuhimu wa kuacha kampeni na kuendelea kujenga nchi, lakini CHADEMA waliendelea na kampeni masaa 24 kwa siku, siku saba kwa wiki na mwezi hata mwezi. Kwa CHADEMA huu ndio wakati muafaka wa kujitangaza kichama, bila kujali maafa yanayoweza kujitokeza. Je huu ni uungwana?

  UUngwana au si uungwana Viongozi wa CHADEMA hawajali, la muhimu kwao wasikike ndani na nje kuwa eti wagombea demokrasia TZ, demokrasia ambayo hata ndani ya chama chao haipo. Baada ya uchaguzi walidhani wangeungwa mkono na vyombo vya kimataifa kwa kutomtambua Rais, lakini hilohalikufanikiwa kwani hawakuungwa mkono hata na vyama vya upinzani Tanzania.

  CHADEMA IMENUNULIWA NA VIONGOZI WA ARUSHA NA MOSHI.

  Licha ya kuwa na wabunge katika mikoa 8, lakini bado CHADEMA imemilikiwa na viongozi wachache wa mikoa ya Arusha na Moshi. Hayo yamethibitishwa na matukio mawili makubwa, ikiwa pamoja na wabunge 10 kutokubaliana na uamuzi wa viongozi hao wa Arusha/Moshi kutoka nje wakati wa hotuba ya Rais Bungeni. Na la pili ni malalamiko ya wanachama wa Mbeya juu ya ugawaji wa viti maalum. Si siri kuwa asilimia 50 imekwenda kwa mkoa mmoja wa tu. Na kwa mara nyingine viongozi hao hao wameshinyikiza uongozi wa CHADEMA eti ukubaliane na maandamano hayo yasio na miguu wala kichwa.

  SERIKALI IMESHAKUBALI UUNDAJI WA KATIBA MPYA.

  Ikiwa kama maandamano yalilenga kuishinyikiza serikali kuunda katiba mpya, si madai ya m,singi kabisa kwani Rais ambaye ni mwenye kiti wa chama tawala ameshakubali hilo katika hutuba yake ya mwaka mpya. Hata siku kumi hazijapita toka Rais atoe hotuba hiyo, wenzetu wako barabarani. Wanachohitaji ni kimoja, pindi katiba mpya ikitengenezwa basi watajitoa kifua mbele na kusema bila sisi hili lisingefanyika. Na kwa mawazo yao mafupi, hii ndio itakuwa tiketi yao ya kuingia IKULU 2015. Hii ni akili fupi, hili si tusi lakini sioni neno jingine la kuwafananisha hwa watu. Kama kweli hawa CHADEMA wapo makini, wangemtuma mjumbe wao apate taarifa kamili toka kwa serikali ni jinsi gani ratiba ya utengenezaji wa katiba mpya ilivyopangwa. Lakini hgili la kuandamana barabarani wakati mambo yapo wazi, ni utafutaji wa umaarufu kwa bei rahisi na kwa kuwatosa wanachama wao.

  MAAFA YANGEKUWA MAKUBWA ZAIDI KAMA MNAANDAMANO YANGERUHUSIWA.

  Kwa muujibu wa taarifa zilizopatikana, CHADEMA waliandaa kuchoma maduka na soko kuu moto, kuua wanachama na viongozi wa CCM, kuvamia vituo vya polisi na kuteka nyara silaha ilimradi kuonekane kuwa mkoa uko katika vita. Machafuko hayo yangeuwa zaidi ya watu 100 na kuleta mabilioni ya hasara. Kwa kulielewa hilo, Said Mwema akayazuia maandamano kufanyika na kuliandaa jeshi la polisi kikamilifu. Na kwa mpango huu makini, ndio vurugu zikakomeshwa kule kwenye mzizi, na kutoleta maafa makubwa. Tulishukuru jeshi la polisi.

  CHADEMA KAMA chama cha upinzani kinajiua pole pole, na kaburi lake li karibu sana hata umri wake hautafika mpaka 2015 kama wanachama wanavyofikiria. Hatutaruhusu kamwe Tanzania itekwe na mikoa miwili na kuiweka Tanzania kuwa Somali ya Pili kwa tamaa ya madaraka ya viongozi hao. Katika kudumisha amanni na kuwa na CHADEMA wakati huo huo, ni muhimu kufanya juhudi kuhamisha uongozi wa CHADEMA toka Arusha/Moshi kwenda mikoa mingine. Na hilo ndio mkakati wetu kwa hivi sasa, kwani vyama vya upinzani tunavihitaji na sio vyama vya vurugu.
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  una mtindio mkali sana wa ubongo. MS?
   
 3. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwanamke malaya amejipaka wanja macho nje nje anatafuta mabwana, du mabwana wa dar wagumu mbaya sana
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tanzania bila ujinga na ufisadi inawezekana kabisa!
   
 5. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yawezakana!! Anasema kila mtanzania anajiuliza nini? Pia amesema habari za kiitelijensia alizopata IGP ni waandamanaji kwenda kuiba sokoni?
  Jamani hata kama ni ushabiki wa kisiasa tuwe tukitumia akili zetu kidogo, otherwise dadangu hilo jina laonekana ni halisi! Kama huwezi kkupima kauli zako, weka majina feki kamwa wana JF wengine, Hii itakusaidia huko mbeleni!
   
 6. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wewe ni ME au KE maana hatukuelewi, peleka ujinga kwa mafisadi wenzako si kwa waTZ, unasema watanzia wengi wanajiuliza! Ndiyo wanajiuliza imekuwaje polisi wanawapiga watu risasi ile hali majambazi na mafisadi wanaibia nchi hii na watu wake hata kuwapeleka mahakamani ni shida? Je inakuwaje wanaovunja sheria kama mkurugenzi wa arusha na polisi waliopiga wabunge arusha na kuwashtaki viongozi wa CDM.

  Ficha upumbavu wako.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0


  Zawadi Ngoda, nakuunga mkono kabisa kwa post yako nzuri sana, kwa mwenye kuelewa.
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mataahira wawili vipofu wanapoongozana bara barani!
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,536
  Trophy Points: 280
  Malunde-Malundi, msameheni Zawadi Ngoda, tangu amemaliza ...... zimepita siku nyingi sana bila kupata zile huduma hivyo anawa....!.

  Wazee wa kazi, Jitokezeni mumsaidie Zawadi Ngoda, anahitaji msaada wenu!.

  Nawewe Zawadi, achana na aibu za kiafrika, ukitaka kitu fulani sio lazima ujipitishe pitishe mpaka wenye uhitaji wakuone wakuombe, badilika na kuwa kama mzungu, ukitaka, unasema tuu unachotaka na utapewa!.
   
 10. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  chambua hoja usiwe na jazba za kijinga
   
 11. M

  Msharika JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hahahhaaahaaaaaaaaaaaaaaa, kupenda kubaya, chongo anaitwa kengeza tu ili kufanya mambo soft
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  naibu Meya wenu baada ya kuona amepewa cheo kwa dhuruma ameamua kubwaga manyanga sijui nalo unalionaje. je amenunuliwa na CHADEMA?
   
 13. Shomoro

  Shomoro Senior Member

  #13
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 22, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kudadeki.
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  **** you!!
   
 15. s

  smz JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wa Tz sasa hivi ni wasomi na waelewa wa mambo kuliko anavyofikiria huyu mtoa mada. Alitaka CDM wakae kimya mpaka 2015. Hiyo siyo siasa kwa maana ya demokrasia.

  CDM walikuwa na bado wako right. Swala la katiba mpya JK amelifinya fimbo na hakuliweka wazi, anasema ataunda timu ili "kuhuwisha" katiba ya sasa. Kama wewe hujui kiswahili bahati mbaya. Tumeshajua hana nia ya kutoa katiba mpya, sisi wenye kuona mbali tumeliona hilo.
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  You are either with patriots or against them!mda wa kubembelezena/ndio mzee umekwisha.
  The late J.K.Nyerere aliwahi kusema"serikali lazima ipewe msukosuko" i think this is what CDM na wazalendo wengine wanakifanya.mawazo yako ya uoga hayatoivusha nchi hii kutoka dimbwi la maradhi,umasikini na ujinga.
   
 17. V

  Vancomycin Senior Member

  #17
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kazi kupambana na hawa maadui watatu hasa ujinga ambaye tukimtokomeza basi magonjwa na umaskini kwa heri.
   
 18. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Utakuwa unakula ma..........................................:playball:v
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ni wewe kweli au ID imechakachuliwa?
   
 20. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mrembo nikupate wapi. Nina hamu na wewe
   
Loading...