CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

Mkuu hata Ujamaa unasema Power toi the People! kumbuka tu imani ya itikadi zote hizi ni kumweka mwananchi mbele ya Mtawala lakini in real life inategema mtawala mwenyewe. Castro kwa waCuba anaonekana kuwa ni mtu anayewapa nguvu za maamuzi wananchi wake lakini kiuchumi nguvu hiyo ni kilema cha maendeleo yenyewe.. Hizi ni Politics tu mkuu na Chadema wanachojaribu kuuza hapa ni Politics hivyo utekelezaji wake lazima utazamwe nje ya Chadema kwani CCM pia atatakiwa kuongoza ndani ya mfumo huu huu wa Majimbo. Hivyo Majimbo sio swala la chama kimoja na kwamba kama chadema wakiondoka basi CCM wanaweza kurudisha mikoa...Think beyond.. think nje ya box mkuu.

Thinking beyond or outside the box ni kuthink beyond the system we're used to for more than 30 yrs! kuhakikisha kunakuwa na mijadala mipya ya namna ya kuutokomeza ufisadi for once and for all..Na si kuendelea kupaka wanja kwa miaka mingine lukuki toka tuukwae uhuru wetu!
System ambayo bado haijalipa kwa mtanzania wa kawaida ni system ya kuitupia macho kwa jicho la ku suspect!
 
Hivi unafikri mkoloni aliondoka kwa kupenda?
Nasema hivi..Bila mabadilko hakuna kitu!
Usiseme tu viongozi wazuri kama system haiwabani na hawawajibiki kwa wananchi!
Huwezi kusema kuwa hawa wachezaji ni wazuri na hawahitaji usimamizi!
Referee anaweza kuwa mzuri ama mbaya!
Hata kama wachezaji ni wazuri refarii anaweza akaharibu mchezo simply because of the system!
Mimi naitasapoti system ambayo itawapa wananchi nguvu zaid za kusimamia rasilimali zao!
Mkuu kwani hapa tunashindana na nani?.. Huo mpira unashindaniwa na kina nani...Hata hivyo nitakwambia kwamba unapojaribu kujenga hoja hii ni muhimu sana utambue mipaka yake.. Sasa kama system ya kucheza soka ni watu 11, magoli mawili pande mbili tofauti, refa, na linesmen wawili wewe unataka kubadilisha system hiyo na kuweka refa 4 au 6, goli 1 na pengine kupunguza ama kuongeza idadi ya wachezaji ati kwa sababu tu magoli mengi hayapatikani ktk system iliyopo!..Hii kweli ita make sense kwa wapenzi wa mchezo huo!..

Hapana mkuu hiyo ndio nakataa na kusema pengine magoli hayapatikani kwa sababu hatuna makocha wazuri, wachezaji wazuri, na pengine system with timu yetu 4-2-4, ndio imepitwa na wakati (CCM) hivyo muhimu tubadilishe kocha, tusake wachezaji wenye kujua kuucheza mpira tukizingalia kupata magoli na kadhalika (Chadema)..
Kushindwa kwetu haina maana system nzima ya soka ni mbovu kwa sababu hatupati ushindi..Fikiria kwanza kujibadilisha wewe..
Chadema kama Manager mpya wa timu yetu ni lazima wauze uzoefu wao wa kuona mapungufu ya timu yetu na kipi cha kubadilisha sio kubadilisha mchezo rules za mchezo mzima.
 
Mh Zitto nakuomba kwa moyo wa dhati kabisa yafuatayo:::

1) Wasaidie viongozi na chama cha Chadema kuondokana na wazimu wa majimbo regardless kama ni system nzuri au mbaya. Hili ni kosa kubwa mno na nina wasiwasi kama Chadema wana wachunguzi wa mwelekeo wa mambo au wanakuja tu na idea kama wako mashuleni kwenye research!!!

Hali ya maisha ya watanzania tuliyonayo kweli unaanza na maelezo ya majimbo wakati watu hata kula hawawezi?? Are u guys serious au?? CCM wameharibu kiasi kikubwa sasa badala ya nyie kuonyesha kwa uraisi namna rasilimali za nchi zinavyoliwa na matumizi mabaya ya pesa na namna CCM inavyoshindwa kuendeleza nchi, mnakuja na kitu kipya kabisa!! MMH nimechoka. Kwanza mna hata estimate za utekelezaji tu wa hili suala?? Mimi nadhani cost tu ya huu wazimu ni bajeti ya nchi yetu maybe ya miaka 5. Sababu hapa itabidi ufumue system yote na lazima katiba ibadilishwe ambayo sijui hata kama mnajua utaratibu wake!!

CCM watadiscuss hili kwa urahisi sana ni kiasi cha kwenda Kilimanjaro na kusema wananchi eeh hawa Chadema wanataka madini ya Shinyanga yasiwasaidie nyie bali yasaidie huko huko Shinyanga.

Then wanaturn around wanakwenda Mtwara, Wanachi eeh Chadema wanataka mapato ya mlima Kilimanjaro yasaidie wachagga tu.

Bao 2-0, wakati tunajua kabisa sio kweli lakini bao ni bao hata bao la Maradona liliwatoa waingereza whether lilikuwa legal hiyo ni discussion ya mtaani lakini kombe liko Argentina.

Chadema fanyeni mbinu kwanza za kuchukua nchi then ndio mje na hayo mambo.

Sasa hivi hii ni dead issue na kwa kuiraise tu mnaonyesha ufinyu wa uelewa wenu wa hali halisi ya nchi.

Its the economy stupid!!!!
 
Huwezi kumlaumu mwizi wakati hujafanya jitihada za kujilinda na mwizi ambaye saa nyingine ni watu ambao tunawaamini? Wako miongoni mwetu!
Huwezi kumwanini kila mtu!
System ikiwa nzuri tutaweza kujilinda na mawazo mabaya ya mafisadi ambao huwezi kutegemea kuwa ni watu wazuri na hivyo kusema kuwa system ni nzuri so hawata i missuse! Wamekuja madarakani wakitangaza mali na wakiondoka wanatutisha na vyombo vya dola huku wakituacha hoi kwa"Absolutely Poverty"
Maana yangu kamili ni kuwa huwezi kusema kiongozi/viongozi wasipowekewa taratibu ambazo zitawabana kufanya ufisadi basi watakuwa malaika na kuacha ufisadi under he same system!
Sytem ndiyo mtego unaowafanya waibe!
Wengine wana nia nzuri lakini system ni sawa na "PAJA NJE MZEE!"
SYSTEM=UNA'NTEGA?
 
Mh Zitto nakuomba kwa moyo wa dhati kabisa yafuatayo:::

1) Wasaidie viongozi na chama cha Chadema kuondokana na wazimu wa majimbo regardless kama ni system nzuri au mbaya. Hili ni kosa kubwa mno na nina wasiwasi kama Chadema wana wachunguzi wa mwelekeo wa mambo au wanakuja tu na idea kama wako mashuleni kwenye research!!!

Hali ya maisha ya watanzania tuliyonayo kweli unaanza na maelezo ya majimbo wakati watu hata kula hawawezi?? Are u guys serious au?? CCM wameharibu kiasi kikubwa sasa badala ya nyie kuonyesha kwa uraisi namna rasilimali za nchi zinavyoliwa na matumizi mabaya ya pesa na namna CCM inavyoshindwa kuendeleza nchi, mnakuja na kitu kipya kabisa!! MMH nimechoka.

CCM watadiscuss hili kwa urahisi sana ni kiasi cha kwenda Kilimanjaro na kusema wananchi eeh hawa Chadema wanataka madini ya Shinyanga yasiwasaidie nyie bali yasaidie huko huko Shinyanga.

Then wanaturn around wanakwenda Mtwara, Wanachi eeh Chadema wanataka mapato ya mlima Kilimanjaro yasaidie wachagga tu.

Bao 2-0, wakati tunajua kabisa sio kweli lakini bao ni bao hata bao la Maradona liliwatoa waingereza whether lilikuwa legal hiyo ni discussion ya mtaani lakini kombe liko Argentina.

Chadema fanyeni mbinu kwanza za kuchukua nchi then ndio mje na hayo mambo.

Sasa hivi hii ni dead issue na kwa kuiraise tu mnaonyesha ufinyu wa uelewa wenu wa hali halisi ya nchi.

Its the economy stupid!!!!

Bottom line ni kuwa hata system iliyoko ni mbovu na INANUKA!
Leta ya kwako na si kuleta sababu baseless!
Sisi tuna ushahidi wa failure ya current system..WE UNA NINI?
 
Jmushi kama huwezi kuelewa nilichoandika siwezi kusema zaidi.

I wish U guys all the best and U will see how this fiasco plays out.

Ngoja nikupe scenario rahisi labda utapata mwanga::

Let us assume for the sake of argument that Baraka Obama wants black empowerment!!

Do U think he can discuss this in the open now before he is elected or he should wait until he is sworn in and then raise the issue??

If he even hints on black empowerment he is toast even for the democratic nomination let alone the general election.

Sometimes U have to know how to play this games.

Mkuu Zitto ukipita hapo DC ebu tembelea K st basi upate uelewa namna nchi na idea zinavyotengenezwa halafu mpaka zinafikia uetekelezaji.

Sio mnakuja tu na mambo kama mnashindana kindergaten school.
 
Kwani hapa tuko kutake sides ama tunajadili issue za Taifa?
Nani asiyejua current system ni failure?
Kwahiyo Zitto ambaye anataka mjadala uendelee aje kukusikiliza huko DC kwasababu conclusion yako ni kuwa wana jf ni wana kindergaten?
Hii ni dharau!
 
Huu ni utumbo na badala ya mjadala ni kujikomba?
Nini hiki?
Yani mjadala uletwe huko DC kwasababu we ndio unajiona smart sana?
 
Kwani hapa tuko kutake sides ama tunajadili issue za Taifa?
Nani asiyejua current system ni failure?
Kwahiyo Zitto ambaye anataka mjadala uendelee aje kukusikiliza huko DC kwasababu conclusion yako ni kuwa wana jf ni wana kindergaten?
Hii ni dharau!

Samahani mkuu naona tuko kwenye wavelength tofauti kwa hiyo naomba upokee samahani yangu kwa yote.

All the best and May God Bless Tanzania.
 
Samahani mkuu naona tuko kwenye wavelength tofauti kwa hiyo naomba upokee samahani yangu kwa yote.

All the best and May God Bless Tanzania.

Mawazo ya kila mtu yanahitajika kwenye mijadala yenye kujali utu!
 
Narudia kuwa nataka nielimishwe kama mtanzania yeyote yule!
Viongozi wetu wengine wamo humu!
Halafu wewe unataka waje DC kukutana na wewe!
Sisi wananchi tunataka solution...
Kwamba ni kivipi tawala zijazo zitaziba nyufa zilizotumika kuufanya ufisadi ushamiri!
Kama hakuna ideas then hiyo ni issue nyingine!
 
Narudia kuwa nataka nielimishwe kama mtanzania yeyote yule!
Viongozi wetu wengine wamo humu!
Halafu wewe unataka waje DC kukutana na wewe!
Sisi wananchi tunataka solution...
Kwamba ni kivipi itawala ujao utaziba nyufa zilizotumika kuufanya ufisadi ushamiri!
Kama hakuna ideas then hiyo ni issue nyingine!

jmushi nimekuomba samahani na pse refrain from quoting me especially on issues U have no insight.

Kwa wanaojua wanajua K st ina maana gani it has nothing to do with me!!!
 
Sasa maana sahihi ya mjadala huu imeshakuwa insights zako!?
Haya bana..Samahani ilishapokelewa..Lakini hapa hatuko kujionyesha eti i am smater than you are!
Ni kuelimishana!
Hapa hakuna anayejua kila kitu!
Na hakuna asiyejua kitu!
I know something you dont know...And you know something i dont know...Through communication we will then know what we never knew before simply by smooth communications which leads to effectively learn from each other!
Thats one of the principles towards constructive and mutual understanding on each other's point of view!
 
Jmushi kama huwezi kuelewa nilichoandika siwezi kusema zaidi.

I wish U guys all the best and U will see how this fiasco plays out.

Ngoja nikupe scenario rahisi labda utapata mwanga::

Let us assume for the sake of argument that Baraka Obama wants black empowerment!!

Do U think he can discuss this in the open now before he is elected or he should wait until he is sworn in and then raise the issue??

If he even hints on black empowerment he is toast even for the democratic nomination let alone the general election.

Sometimes U have to know how to play this games.

Mkuu Zitto ukipita hapo DC ebu tembelea K st basi upate uelewa namna nchi na idea zinavyotengenezwa halafu mpaka zinafikia uetekelezaji.

Sio mnakuja tu na mambo kama mnashindana kindergaten school.

Umemgusia Obama na sasa naomba ni respond!

Umeonyesha ufinyu wa kuelewa siasa hapa!
Swali...
Ni lini hapo ambapo Rais wa Marekani ana uwezo wa kuamua jambo kubwa kama hilo bila kwenda kwenye congress kujadiliwa na watu kupiga kura?
Ni mara ngapi Bush mwenyewe ameshindwa kupitisha miswada yake kwasababu ya kuwa blocked either by house or congress?
Kwani hata vita vya Iraqi si vilipigiwa kura na kina Clinton? Ama unafikiri ni Bush alifanya mwenyewe?
Obama hawezi kupitisha jambo lolote kabla hajaenda kuwauliza hao wazungu walio wengi huko kwenye house na congress! Tena lenye maslahi ya black power?
Kumbe sasa tatizo hapa ni fear for CHANGE na si FACTS!
Halafu nyie ndio mnasema hatuhitaji mabadiliko ya system bongo?
 
Hii system itamfanya mtu awe dikteta kwa upumbavu wetu wenyewe!
Tuna uwezo wa kuyazuia yale rais anayotaka kufanya kama tunadhani hayana maslahi kwetu sisi wananchi!
 
Wewe jmushi1, why are you so aggressive and uptight in your communication style? Rambling on and on and answering your own posts like a mad possessed man!! Watu wanakuogopa bwana. Chill negro! Be cool!! Huu siyo mtihani au mashindano ya nani anajua zaidi. Damn!
 
BISKUTI ni maswali mangapi niliyouliza ya kuhusu namna ya kufix system yetu ili ufisadi usishamiri?
Mbona unaget personal na kuleta kauli kama za wakuu wa magenge ya kihuni?
NA USINIITE NEGRO!
 
Wewe jmushi1, why are you so aggressive and uptight in your communication style? Rambling on and on and answering your own posts like a mad possessed man!! Watu wanakuogopa bwana. Chill negro! Be cool!! Huu siyo mtihani au mashindano ya nani anajua zaidi. Damn!

You're stupid kwasababu hutaki nichangie?
Jibu hoja BISKUTI LA SIVYO UTALIWA!
UNAJIPITISHA PITISHA BADALA YA KUCHANGIA ETI WATU WANANIOGOPA!
What a stupedest claim!
 
You're stupid kwasababu hutaki nichangie?
Jibu hoja BISKUTI LA SIVYO UTALIWA!
UNAJIPITISHA PITISHA BADALA YA KUCHANGIA ETI WATU WANANIOGOPA!
What a stupedest claim!

Unajua wachangiaji wenye fujo kama wewe lazima wawepo kila wakati. Kila topic unataka u-dominate wewe hadi umefikia kujijibu mwenyewe? Duuh! Unaboa bana kila tukifungua mada tunakuta umetujazia hilo lipicha lako la Obama.
 
Umeona eeh? kuna thread mbili tatu hivi hadi zinachekesha.
 
Back
Top Bottom