CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

Tumesubiri sana wasaa huu. Finally angalau tunaanza kujadili sera za vyama. Safi sana, MWK naomba popcorn kabla sijaanza kuchangia.
 
Nilikuwa nafanya utafiti kuhusu sera za CHADEMA na mitazamo ya viongozi wake wa ngazi za kitaifa. Nimegundua kuwa viongozi hao wako incoherent in thinking and naive about the political situation in Zanzibar.

Hivyo basi ninawapa assignment viongozi hao kutafiti hali ya kisiasa ya Zanzibar na historia yake kabla ya kuruhusu viongozi kutamka kama alivyotamka Zitto kuwa chini ya utawala wa CHADEMA cheo cha rais wa Zanzibar kitafutwa.

Kwa ujumla CHADEMA kimejiweka bayana kuwa ni chama ambacho hakiko serious na kuongoza taifa. Jukumu wanaloliweza ni kuwasaidia waandishi wa habari kutoa taarifa mbalimbali,haswahaswa za ufisadi, kwa umma.Shukran kwa mchango wao huo.
 
Wewe ni mwanaccm kwa hiyo inategemewa kukuona ukiipondea Chadema
 
nimekushtukia huna hoja.kama unazo jibu maswali hayo.ushabiki wako wewe utawanufaisha tu wale wanaokutumia.

Kumbe hukujua kuwa sina lazima ya kujibu maswali ya watetezi wa mafisadi kama wewe? Unatumiwa na mafisadi na unadhani wote hapa tunatumiwa!
 
Mkuu Mnyika na Zitto ahsanteni sana kwa maelezo yenu.

Maswali:::::

1) Hivi kweli mko kwenye academic exercise au mnataka kuongoza nchi???
Hii issue ya majimbo ibaki kama research project tu lakini kwa Tanzania ni Dead on arrival. Kama ni kudiscuss tu pros/cons nakubali muendelee kudiscuss lakini kusema muanze kuwaeleza wananchi wakati huu ni wazimu wa hali ya juu na ukosefu wa kuelewa hasa nini wananchi wa Tanzania wanakihitaji.

2) Gharama za serikali ya majimbo itakuwa kubwa mno mpende msipende, kwa sababu mnaact as if serikali ya Tanzania sasa hivi ina balanced budget. Tunategemea wafadhili kwa asilimia 50%, sasa mnaposema majimbo yatajitegemea kutoka tax base ipi??? Kurun mabunge ya majimbo, kurun serikali za majimbo, kurun bunge la jamhuri, zanzibar blah blah hizo gharama hamzioni???

3) Yaani katika option zote za kudeal na CCM, hii ndio the best??

Hamna hata wabunge 10%, mnataka kubadilisha mfumo mzima from which mandate???
Kwa nini kama kweli nyie mnauelewa mkubwa, kwa nini mnashindwa kuchukua hata majimbo 5 katika nchi nzima?? How can U guys turn around and dare to say we want to change the whole system???

4) Issue kubwa sasa hivi ni rasilimali na uchumi wa nchi, mkishindwa kutokea hapo, TRUST ME mtakuwa mmepoteza upenyo ambao sijui utatokea lini tena.

Hivi kweli wale ndugu zangu pale Moshi, wakati huu suala la chakula la dunia na mafuta yanavyopanda, badala ya kuwahimiza kuwa kilimo kifufuliwe na rasilimali za nchi zisiibwe, unawaletea oh Jamani eeh kuna mfumo wa majimbo, AMA KWELI ISHI UONE VIOJA!!!!

Also for the sake of argument, let us look at this scenario::::

Sera ya Majimbo imekubalika na ndio sera ya Tanzania. What next?? Si CCM itashinda hayo majimbo na mabunge yake kama inavyoshinda sasa hivi, wabunge na madiwani?? Sasa kwa nini mnahangaika na suala gumu kama la majimbo ambalo hata kama likikamilika, still CCM ndio washindi??

Kwa nini system ya madiwani ambayo kwa kweli ndio iko karibu mno na wananchi, hamutafuti njia za kushinda huko??? Mkishinda hata Halmashauri say 50, kati ya hizo 100+, labda ndio muanze kuongelea mambo mengine.

sorry guys kwa maneno ya jazba, BUT I CAN NOT FATHOM WHAT U GUYS ARE TRYING TO DO> IT is a FIASCO OF BIBLICAL PROPORTION.

You know what, It can't be said better than this

Kudos
 
Kumbe hukujua kuwa sina lazima ya kujibu maswali ya watetezi wa mafisadi kama wewe? Unatumiwa na mafisadi na unadhani wote hapa tunatumiwa!

Kwa kifupi ni kwamba hujui jinsi gani CHADEMA wanadhamiria kuondoa cheo cha rais wa Zanzibar, na wala usijisikie mnyonge kwa hilo.Zitto na CHADEMA wengine nao hawajui, ndio maana nikasema wanahitaji kutafiti historia na hali ya siasa ya Zanzibar kabla ya kuja na mawazo yasiyotekelezeka.
 
Mawazo haya yanatekelezeka kwa kiwango kikubwa kuliko ya ccm ya kuiba mali ya nchi na kujitajilisha wao na watoto wao.
 
Nikuelezee kwani wewe ni nani! Kwani huwezi kusoma yaliyoandikwa hapa!

huu ni mjadala kama hutaki kutetea hoja zako basi hapa hapakufai, hakuna aliyeelezea jinsi watakavyoweza kuondoa cheo cha Rais wa Zanzibar ndio maana narudia kuwa they are naive about the situation in Zanzibar kama jinsi ulivyo wewe. Ila tufauti ni kwamba wewe uko naive even about the motives of CHADEMA.
 
Hakuna mtu wa kukusomea kilichoandikwa hapa. Soma yaliyoandikwa kabla ya kuleta ufisadi na uuaji kama ule unaofanywa na ccm huko Pemba kwa kuua watu wasio na hatia
 
Hakuna mtu wa kukusomea kilichoandikwa hapa. Soma yaliyoandikwa kabla ya kuleta ufisadi na uuaji kama ule unaofanywa na ccm huko Pemba kwa kuua watu wasio na hatia

thanks God umegundua tatizo lako, sasa nawewe nenda kafanye utafiti wako ili uweze kushauriana na wengine wanaotaka kufanya hilo jambo.
Najua umejifunza kitu hapa ingawa sitegemei mtu wa attitude kama yako kukubali hilo.
 
Acha uvivu fisadi wewe. Soma posts zilizowekwa hapa ili ujenge attitude nzuri maana attitude ya kifisadi kama yako itakupeleka kubaya sana.
 
Back
Top Bottom