CHADEMA yaigaragaza CCM

we unadhani huwa nini kinaanza kati yachadema kuchukiwa na watu au chadema kuchukiza watu.
kwa dhati mambo yaliopo katika hiki chama ni aibu tupu. asie chukia ni yule ambae hana taarifa za kutosha juu chadema.lakini ngoma ikilia sana juwa imekaribia kupasuka.na hilo wala haliitaji propergander kama mdau anavyo dai.
takwimu kama hizi zitaendelea kuwa danganya na kuwazidishia upotofu.
my gass hizo kura za ccm mlizo ziona 75% ni za wanawake na wazee.endelezo la uwoga ambalo ni bomu kwa chadema siku zijazo.
 
Dah r u Martin Mayala i know? Safi sana kama wa dtci kwa taarifa.Hapa Mwanza JK kashindwa kuhutubia mkutano furahisha baada ya uwanja mzima kujaa bendera za CDM,uwiiiiiiiiiiiii
 
Ila mijitu ya hapa dar cjui kwa nn haitaki kubadilika. Naona yenyewe na ccm tu
 
Ccm inashinda dola, chadema inashinda kaskazini
 
Itabidi mijibaba ya Arusha tuje kuzaa na mimama ya Dsm ili watakaozaliwa wawe majasiri ka sie wa A city
 
aaaghaaa nilijua mikoa yenye akili kumbe ni kule kule ngoja nikale mda umefika
 

kwa takwimu tulizofanya uchaguzi wa arusha ni kuwa chadema ulipigiwa na wamama na wazee..je hapo unasemaje, je hizo kura ambazo unasema ni za wamama umejuaje..sisi tulitumia daftari la wapigakura na tulikuwa tunawatick wanaopiga..
 
Hivi Babati ipo sehemu gani ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…