Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,010
- 74,647
Watu wanawapenda kwa sababu ya kujiburudisha kwa tamaa za mwili, kwani nani haujui utamu wa hi kitu hii?Sasa mbona mwawapenda?
Laana, tabu na Mashaka inakuja pale Malaya huyo aamue kukuachia uzao! Utajuta kuzaa mtoto wa Malaya, ni uzao uliofitinika.
SUBIRINI UZAO WA MALAYA HAO WA KISIASA (aliowaita mwalimu) NDANI YA CCM BAADA YA MUDA MFUPI. Hivi hata kwa akili kidogo mtu kama Nape na Waitara au Mtatiro wanaweza kuiva pamoja? Kinana na Mwigamba waweza kujadili Sera?