CHADEMA yafutika kwenye ramani ya Serengeti

CHADEMA yafutika kwenye ramani ya Serengeti

Kitambo adui mkubwa alikuwa Umaskini,Ujinga na Maradhi..

Leo adui kawa mpinzani na mtanzania mwenye mlengo tofauti.
 
Mbona ccm ilikuwa chama pekee cha ajabu ilichokifanya ni nini? Naamini hata watanzania wote wakienda ccm hali itakuwa hivi hivi
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kimefutika kabisa kwenye Ramani ya Wilaya ya Serengeti baada ya Mbunge na madiwani takribani saba akiwemo Mwenyekiti wao wa Halmashauri kuhamia CCM. Hata hivyo licha ya viongozi hao pia kumeripotiwa maeneo mbalimbali wenyeviti wa vijiji kupitia Chadema hapa Serengeti wameendelea kukihama chama chao na kutimkia CCM. Nawapongeza sana.Mwisho naawabia viongozi wa Tarime mliochaguliwa kupitia Chadema njooni nyumbani kumenoga. Viva Serengeti.
 
Mkuu haijawahi kupatikana? hivi serikali haiwezi kushtakiwa katika vyombo vya nje kama kuna uthibitisho kuwa tume haikutenda haki?
Lissu si mlimpeleka the Hague kimkakati,anaweza anza kufram kesi hapo EU[emoji23]
 
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kimefutika kabisa kwenye Ramani ya Wilaya ya Serengeti baada ya Mbunge na madiwani takribani saba akiwemo Mwenyekiti wao wa Halmashauri kuhamia CCM. Hata hivyo licha ya viongozi hao pia kumeripotiwa maeneo mbalimbali wenyeviti wa vijiji kupitia Chadema hapa Serengeti wameendelea kukihama chama chao na kutimkia CCM. Nawapongeza sana.Mwisho naawabia viongozi wa Tarime mliochaguliwa kupitia Chadema njooni nyumbani kumenoga. Viva Serengeti.
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba ! mnanunua viongozi 10 mnaacha wananchi milion 5 , wajinga sana nyie jamaa !
 
Komaa kamandaaaa.........hahahahaha chagadema bwanaaaaa
 
Kuna kitu hamkielewi kwamba, hata hao wanaohama ni kwa sababu ni MALAYA na aanaendekeza hela ila rohoni hawako hata huko wanakoenda, ukiondoa hao wananchi nafsi zao ziko vile vile, kinachofanyika ni kumlazimisha ng'ombe kwenda mtoni na kunywa maji
 
hivi sababu zao huwa nini Zaidi ya hio kuunga juhudi za rais,au wanafata mkumbo?lol
Ruzuku inalipa madeni hewa ya mbowe wakati huko kwenye msingi (mashina) hali ni taabani, na viongozi wanalazimishwa kukichangia chama.
 
Hivi Chadema hamna fedha za kuwahonga viongozi wa CCM? Yaani mmeshindwa kuwahonga hata wenyeviti wa vitongoji wa CCM?

Endelea kujipa moyo wewe na wenzio, mnasikitisha sana kuwa hamjali wananchi, wanachagua wakipendacho nyinyi mnakuja kwa mabavu mnawapa wasichotaka, mnajua kabisa hawana nguvu wala uwezo wa kupigana na vyombo vyenu..... Mnajua sana kuwa hamkubaliki ndo mana mnatumia mabavu dhidi ya wanyonge kisha mnajiita viongozi wa wanyonge.... Haya banah.
 
Kijana siasa unazopiga zimepitwa na wakati.
Unachotakiwa ni kuweka sera za chama chako. Hayo unayoyaandika hata mtoto mdogo anaweza kuandika.
Siasa ni kueleza itikadi na sera ya chama chako. Lakini hizi siasa za kuchafua watu, mmejaribu lakini mwisho wa siku mmegeuka ninyi kwa ninyi kuramba matapishi tenu.

Niambie ile issue ya kumchafua Lowassa kuanzia 2008 - 2015 iliishia wapi!?

Siasa unazopiga zimepitwa na wakati. You need to update yourself.
We mzee unapotosha vijana
 
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kimefutika kabisa kwenye Ramani ya Wilaya ya Serengeti baada ya Mbunge na madiwani takribani saba akiwemo Mwenyekiti wao wa Halmashauri kuhamia CCM.

Hata hivyo licha ya viongozi hao pia kumeripotiwa maeneo mbalimbali wenyeviti wa vijiji kupitia Chadema hapa Serengeti wameendelea kukihama chama chao na kutimkia CCM.

Nawapongeza sana.Mwisho naawabia viongozi wa Tarime mliochaguliwa kupitia Chadema njooni nyumbani kumenoga. Viva Serengeti.
Kama ulivyofutika wewe kwenye ukoo wako maana hata wazazi wako na ndugu zako wamekutenga kwa tabia yako
 
Back
Top Bottom