samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,968
Baada ya kuja zittoACT ni mpango wa ALLAH!!!

Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema
wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
Hivi ACT vision yenu ni IPI? mission yenu nini?
Nyie Kama chama cha siasa malengo yenu makuu n yapi?
Kushindana na CCM? kushindana na CDM? au kushindana na vyote kwa pamoja??
Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.

Mbona Mbowe alituhumiwa kukaa na Mkono na kuchukua hela ili hasipige kampeni Musoma vijijini Mkono apite bila kupingwa, ulishamsikia Mbowe akikanusha tuhuma hizo? Nikinukuu gazeti la Mwananchi Mbowe alisema tatizo siyo kuchukua hela, ila unazitumiaje!
Huyu yeye naye tumwite msaliti kwa kuuza jimbo?
Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
Hivi ACT vision yenu ni IPI? mission yenu nini?
Nyie Kama chama cha siasa malengo yenu makuu n yapi?
Kushindana na CCM? kushindana na CDM? au kushindana na vyote kwa pamoja??
Zitto ajiandae kujutia kuwa msaliti
Teh teh teh kwahiyo nyie ni asasi ya kiraia? Maana dhumuni la chama chochote cha siasa n kushindania ushindi Wa dola sasa ukisema lengo lenu si kushindana na CCM Unachekesha!!!! Ndo maana tunasema Zitto kafuliaMission si kushindana na Ccm au Cdm
balI Kuongoza nchi ktk misingi ya haki na sheria bila kujali dini ,kabila au tabaka fulan ktk jamii uzalendo ndio nguzo yetu kubwa
Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
Hivi ACT vision yenu ni IPI? mission yenu nini?
Nyie Kama chama cha siasa malengo yenu makuu n yapi?
Kushindana na CCM? kushindana na CDM? au kushindana na vyote kwa pamoja??
Jina sahihi ni wao wao b, nilikua kgm town mwaka jana act walianza mapema kumnadi mpendwa wao mwenye uchu na madaraka eti atagombea jimbo hilo la kgm mjini, kule kaskazini alikosa mvuto.
Msaliti ni msaliti tu hakuna mpinzan anaeongea na kupanga mambo ya kubadilishana jimbo na chama tawala kwa manufaa yao ukamuita mpinzan