UPIU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 602
- 111
Katika hali ya kushangaza wale makamanda wetu maarufu kwa kuleta liveupdates za mikutano ya Chama kilichowahi kupendwa na wakazi wa Arusha, wameshindwa kutoa taarifa za kutia moyo juu ya mwenendo wa kampeni za udiwani katika jimbo hilo. Hata wakitoa taarifa wanatoa bila picha kuthibitisha maelezo yao. Jambo hili limekuwa tofauti sana na hapo awali walipokuwa wanatoa taarifa za uzinduzi wa kampeni au pale Lema aliposhinda kesi.
Makamanda wetu kama Crashwise na Mungi wamekuwa kimya juu ya hili hadi tunapata wasiwasi labda nao wanatumiwa na Chama tawala. Kila ukiwaulizia picha wanadai kuna tatizo la ku-uplode.
Makanda wetu tunaomba ufafanuzi wa hili, ni kweli mambo yanaenda ndivyo sivyo?