CHADEMA yaanika ripoti yake ya CAG mbele ya wanahabari

CHADEMA yaanika ripoti yake ya CAG mbele ya wanahabari

haina shida kila kitu kimeonyeshwa hadharani. Tunasubiri sasa ripoti ya bwana wako ccm nae ajianike hadharani kama anaubavu. Tunasubiri tuone

Ripoti za "bwana wako ccm" ziko wazi na hatuna sababu ya kuzitangaza, hazina mushkel. Atatangaza huyo huyo anaepelekewa.
 
Ubaya wa taarifa hii kwa CCM upo wapi? Mbona ni taarifa ya kitoto sana hii. Tuwekeeni hiyo ripoti tuidadavue

Lizaboni.

Upeo wenu wa kufikiri hautoshi kuidadafua ripoti hii...tutawapelekea wakubwa wenu ambao angalau wanaweza kujadili. Dondoo tu tayari mmeshaanza kuhisi kwenda MSALANI..
 
Tarifa ya kibavicha mimi nilidhani bonge la tarifa kwamba mapato na matumizi yapo bayana kumbe hata mikopo ya babu slaa haipo.

Simiyu yetu unavyoiharakia hoi taarifa utadhani una uwezo nayo. Tutapeleka kwa mabosi wenu watawapa mjikanyage
 
Jibu swali la msingi. Acha porojo.

Hoja ya msingi ni kwa nini ccm haitaki kukaguliwa? Haina bajeti au napo kuna ufisadi kama kawaida yenu? Sasa naanza kuipata picha ni kwa nini magamba yameondoa uwazi na uwajibikaji kwenye katiba mpya!
 
Ripoti za "bwana wako ccm" ziko wazi na hatuna sababu ya kuzitangaza, hazina mushkel. Atatangaza huyo huyo anaepelekewa.

Hapo nyinyiem mumeshikwa pabayaaa!!! Mie sina mbavu teh trh
 
Attachments

  • IMG_7795064789329.jpeg
    IMG_7795064789329.jpeg
    9.7 KB · Views: 272
Uzushi....na ajabu kwa msemaji wa chadema kuzungumzia hesabu zao na kudai za CCM hazijakaguliwa....Mwenye mamlaka ya kusema hesabu hazijakaguliwa ni CAG na anatoa taarifa kila mwaka...Mwezi wa tatu mwaka huu alitoa taarifa nenda kaisome kwenye tovuti ya CAG au ya Msajili wa vyama vya siasa.....CCM imekaguliwa na ina hati safi tofauti na Chadema mliopata hati yenye mashaka....jibuni hoja za mkaguzi kwanza ndio muulize CCM
Duhhh ...ndio umekurupushwa kuingia shift nini ? Omba ufafanuzi kwa Nnape kwanza kabla ya kubwabwaja humu......
 
Wamepata HATI CHAFU,hivi chama kidogo,je kikikua ...................................:hail:
 
Komu alipaswa kujibu maswali ya masuala ya fedha tuu! Siku nyingine ripoti kama hizi mnaenda na wanasheria na wasemaji wa chama ili maswali yajibiwe kulingana na kajukumu ya muhusika.
 
Kutangaza ni jambo Moja na kutenda ni jambo lingine kwani kuna maswali makuu ya kujiuliza kwa hayo muliyoyasema

Mosi, sasa report yenyewe ipo wapi tuisome na tuichambue Kama tulivyokafanya kwenye budget yenu ile ambayo Mwigulu aliitupa chini kwa makosa lukuki hata ya kujumlisha tu na bado Bwana fedha alikuwa Komu,

Pili, kusema ni rahisi na kutenda ni vigumu hamna kitu hapo kwenye report ni danganya toto tu! Kila mmoja anaweza kuwaita waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa Mimi ni msafi na kuwapa posho wakaondoka Je ni busara kuamini maneno tu pasi na kuthibitisha usafi wako kwa vitendo?

CDM mnacheza mchezo wa sadaka lawe.....
 
Mtu mkweli achagui wakati na muda wa kutaka kuonekana mkweli. Kama CDM mahesabu yao yapo sawa muda wote hawakuwa na sababu ya kukataa wito wa PAC mwaka jana hiyo ndio ilikuwa nafasi ya kuonyesha tuko sawa muda wote.

Wameshapika vitabu sasa ndio wanataka kujifanya wasafi sijui nani kawauliza is this in the public interest siasa za bongo bana.
 
Wekeni ripoti nzima humu jamvini, mbona mnaruka ruka kama kuku alie chinjwa akaachwa? . Kawa ambie na wenzako HATUDANGANYIKI !

Kwanza semeni kama CCM mmekaguliwa au vipi na Mmepata hati ya namna gani, sio kung'ang'ania ya wenzenu. Toa boriti kwenye jicho lako kabla ya kutoa kibanzi katika jicho la mwenzio. Hii ya CHADEMA kuweka wazi taarifa yake inaitwa kata ngebe.
 
Kutangaza ni jambo Moja na kutenda ni jambo lingine kwani kuna maswali makuu ya kujiuliza kwa hayo muliyoyasema

Mosi, sasa report yenyewe ipo wapi tuisome na tuichambue Kama tulivyokafanya kwenye budget yenu ile ambayo Mwigulu aliitupa chini kwa makosa lukuki hata ya kujumlisha tu na bado Bwana fedha alikuwa Komu,

Pili, kusema ni rahisi na kutenda ni vigumu hamna kitu hapo kwenye report ni danganya toto tu! Kila mmoja anaweza kuwaita waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa Mimi ni msafi na kuwapa posho wakaondoka Je ni busara kuamini maneno tu pasi na kuthibitisha usafi wako kwa vitendo?

CDM mnacheza mchezo wa sadaka lawe.....

Bajeti kivuli aliyochana Mwigulu iliandikwa na waziri kivuli wa fedha wa wakati huo ambaye alikuwa Zitto ?........
 
Mtu mkweli achagui wakati na muda wa kutaka kuonekana mkweli. Kama CDM mahesabu yao yapo sawa muda wote hawakuwa na sababu ya kukataa wito wa PAC mwaka jana hiyo ndio ilikuwa nafasi ya kuonyesha tuko sawa muda wote.

Wameshapika vitabu sasa ndio wanataka kujifanya wasafi sijui nani kawauliza is this in the public interest siasa za bongo bana.

Heee. Asubuhi yote hiii umeamkia nazo au ?
 
Back
Top Bottom