CHADEMA yaanika ripoti yake ya CAG mbele ya wanahabari

CHADEMA yaanika ripoti yake ya CAG mbele ya wanahabari

Ufafanuzi upo kwenye mtandao wa msajili wa vyama pamoja na ofisi ya mkaguzi na mdhibiti.....Nape hahitajiki kutoa ufafanuzi wowote...nami sibwabwaji bali wewew unaropoka
Duhhh ...ndio umekurupushwa kuingia shift nini ? Omba ufafanuzi kwa Nnape kwanza kabla ya kubwabwaja humu......
 
Watanzania wengi ndani ya chama makini wanataka mabadiliko yenye tija...lakini ninyi wachache mnaotaka mabadiliko kupitia chama chenu chenye fujo ndio mtayatafuta nje lakini msijaribu fujo maana tutawadhibiti
Watanzania wanataka MABADILIKO.
Kama hawatayapata,hawatayaona ccm watayatafuta nje ya ccm.
 
image.jpgWaoneni CCM , eti leo ndio gazeti Lao linaandika hivi ........hawa tafuta Nnape alisema nini juzi kwenye mwananchi ......
 
Back
Top Bottom