Kwanini CCM haitaki kukaguliwa na CAG ? Tunasubiria kamati ya PAC kama itakaa kimya ama itasema juu ya ukiukwaji huu wa Sheria .....Mzee Slaa ameshalipa zile fedha za ruzuku alizojikopesha?
Kwanini CCM haitaki kukaguliwa na CAG ? Tunasubiria kamati ya PAC kama itakaa kimya ama itasema juu ya ukiukwaji huu wa Sheria .....Mzee Slaa ameshalipa zile fedha za ruzuku alizojikopesha?
Nadhani haujanielewa, nazungumzia mgawanyo wa kazi.
Hizo nazo zipo kwenye ripoti ya CAGMsisahau kuonesha na pesa mlizokopeshana saccos ya Ufipa.
Ubaya wa taarifa hii kwa CCM upo wapi? Mbona ni taarifa ya kitoto sana hii. Tuwekeeni hiyo ripoti tuidadavueAsante Mtoi, hizi ni taarifa mbaya sana kwa ccm na polisi
Hahahahahaaaaa! Naona mnaingiza mambo yenu ya uchadema CCMwana pesa Vogue 600 wameagiza, michango mtaani ya nini?
Itachapishwa kwenye magazeti na Msajili wa Vyama ......hii ni kwa mujibu wa sheria ......Ubaya wa taarifa hii kwa CCM upo wapi? Mbona ni taarifa ya kitoto sana hii. Tuwekeeni hiyo ripoti tuidadavue
Mi nimeipata vizuri idea yako,kwamba ingawa ameajiliwa na chama cha siasa yaani CDM,kwa vyovyote vile ameajiliwa kama mtaalam katika idara ya fedha,hivyo angetekeleza wajibu wake huo na hayo mengine akawaachia wahusika ili kuleta ufanisi wa kazi.
Tarifa ya kibavicha mimi nilidhani bonge la tarifa kwamba mapato na matumizi yapo bayana kumbe hata mikopo ya babu slaa haipo.Hiyo ripoti inaonesha kiasi cha fedha alichotumia Dr Slaa wakati wa ziara yake Marekani?
Msisahau kuonesha na pesa mlizokopeshana saccos ya Ufipa.
Msisahau kuonesha na pesa mlizokopeshana saccos ya Ufipa.
we mbona umeandika vizuri hata kuzidi mimi aisee
Wewe mwanamke, dini yetu si inakataza wanawake kuwa kimbelembele? Shauri yako utakuja kupokolewa mawe mpaka ufe kama yule mwenzako wa kule Somalia! Tafadhali fuata misingi ya dini yetu!