CHADEMA yaanika ripoti yake ya CAG mbele ya wanahabari

CHADEMA yaanika ripoti yake ya CAG mbele ya wanahabari

Ripot inaonesha chama kina account za bank zaidi ya mia mbili kwenye bank tofauti tofauti hapa nchini...duuh

Ni kweli mkuu wala hujakosea na ndio cag amekiita mashaka, yaani mashaka ya kuwa na wingi wa akaunti. Kumbuka sababu hizo ni baada ya kukosa aliyotaraji.

Ukweli wa wingi wa akaunti.

Majimbo peke yake yako zaidi ya 200 bado hujaweka mikoa bado hujaweka wilaya ambazo zina majimbo zaidi ya moja hayo yote yana akaunti za fedha kwenye bank zilizopo/walizo ona ni chaguo lao na zina masignatory wa maeneo hayo.

Ulitaka wasiwe na akaunti?! Ruzuku zingekuwa zinakwendaje? Wadau wachangia chama wangekuwa wanachangiaje huko mikoani, wilayani na majimboni?!

Kila eneo la kiutawala lina akaunti yake, tena sasa baada ya kuanzisha mfumo wa kanda akaunti zimeongezeka maana kanda zote 10 kila moja nayo ina akaunti.
 
Hoja ya ukaunti nyingi ni hoja dhaifu sana! naona huyu CAG ni kimeo, anajikomba kwa mabwana zake!
 
Heee. Asubuhi yote hiii umeamkia nazo au ?
Hapana mkuu kwanza nimechukua sabbatical break na mambo ya ulevi (except for last wknd it was a wedding anyway).

Hapa nauliza tu mbona PAC walipowaita kufanya kazi yao walimtukana sana chairman wao au unadhani wale hawana majukumu ya kukagua accounts bila ya CAG. Sasa kwanini mtu mkweli aogope random scrutiny we uoni kama vile kuna namna isitoshe kumbe hesabu zenyewe ata CAG alipopita hazikuridhisha kwengine ndio kabisa kuna mtu angeelekea lupango.

Huyu Zitto anawapenda sana CDM or else the chief accountant wa CDM angekuwa anaelekea Segerea ama Ukonga ana majukumu hayo unajua akikomalia Mbowe wala Slaa hawezi kumzuia au ujui majukumu ya kamati yake.
 
Hapana mkuu kwanza nimechukua sabbatical break na mambo ya ulevi (except for last wknd it was a wedding anyway).

Hapa nauliza tu mbona PAC walipowaita kufanya kazi yao walimtukana sana chairman wao au unadhani wale hawana majukumu ya kukagua accounts bila ya CAG. Sasa kwanini mtu mkweli aogope random scrutiny we uoni kama vile kuna namna isitoshe kumbe hesabu zenyewe ata CAG alipopita hazikuridhisha kwengine ndio kabisa kuna mtu angeelekea lupango.
Hujaelewa mada , ambao unapaswa kuwahoji ni CCM ambao wamemzuia CAG kukagua hesabu zao mpaka sasa .CHADEMA wakaguliwa na ripoti ndio imetoka na wao wameweka hadharani taarifa yao sasa law ama zako msingi wake nini ? Huyo chairman aw PAC a natakiwa sasa atoe tamko kuhusu huyu ambaye hajakaguliwa na kumbuka alisema yuko tayari kufa ama kuwa funga jela makatibu wakuu wa vyama ........aanze na Kinana .
 
Hiyo ripoti hiko wapi ni nyingine ya mwaka huu au ni ile ile ambayo kuna an accounted sums of expenditure plus misappropriate allocation according to government laws on tendering?

Halafu unajuaje CCM au vyama vingine avija kaguliwa umeambiwa na CAG au kwa sababu awajaweka zao hadharani kama CDM. Kwa CDM kutafuta cheap popularity ndio wenyewe wangeenda mbele ya PAC ndio wangethibitisha openness yao hii inakuwa kama watu waliokuwa wameshajitahadharisha mapema tu; why kwa sababu hawana destruri hiyo katika historia yao CAG akishapita why know? kwanza mtu anaejifanya yuko open in their conduct angetafuta namna ya kutoa habari za matumizi yake bia ya kusubiri CAG.
 
Hiyo ripoti hiko wapi ni nyingine ya mwaka huu au ni ile ile ambayo kuna an accounted sums of expenditure plus misappropriate allocation according to government laws on tendering?

Halafu unajuaje CCM au vyama vingine avija kaguliwa umeambiwa na CAG au kwa sababu awajaweka zao hadharani kama CDM. Kwa CDM kutafuta cheap popularity ndio wenyewe wangeenda mbele ya PAC ndio wangethibitisha openness yao hii inakuwa kama watu waliokuwa wameshajitahadharisha mapema tu; why kwa sababu hawana destruri hiyo katika historia yao CAG akishapita why know?
Ni ripoti mpya ya CAG ya 2013 , CCM hawajakaguliwa maana CAG tayari ameshatoa taarifa yake kuhusu UKAGUZI wa vyama ....CCM haipo kwenye list ya vilivyokaguliwa .........
 
Kweli CDM hamjui mgawanyo wa majukumu, Komu nafasi yake si mwana siasa anatakiwa kusimamia mifumo ya fedha ndani ya chama si kuongea na waandishi wa habari, hayo awaachie wakina slaa, mnyika nk. Hivi hiki chama kila mtu ni mzungumzaji wa chama? wekeni sera juu ya jambo hili.

komu ameweka wazi taarifa ya ukaguzi na hiyo ndio kazi yake. wewe ulimpangia afanye kazi gani?
 
pongezi sana CHADEMA kwa kuonyesha uwazi na uwajibikaji. tunawataka CCM nao waige mfano huu. hv ni kwanini CCM hawafanyi mambo yao kwa uwazi? sasa nimeanza kuelewa kwanini CCM wanakataa tunu za UWAZI, UADILIFU UWAJIBIKAJI & UTU.
 
Mkuu saccos ya Lumumba huwa hamkopeshani bali mnagawana hazina ya nchi.. ndo maana CAG hawezi kuruhusiwa kufanya ukaguzi pale !!! akijifanya mpambanaji atajikuta yuko jirani na Prof Mvungi, Chachage, Shaba et al ... CCM walimwaga mafuta ya Bakharesa, wakamwaga mchele kisa alijiunga CUF... Baada ya wiki bila aibu wakaenda kuomba mchango wa Bil 3!!! Bagharesa akalazimika kutoa mchango wa Bil 4!!! ...
Msisahau kuonesha na pesa mlizokopeshana saccos ya Ufipa.
 
Mkuu saccos ya Lumumba huwa hamkopeshani bali mnagawana hazina ya nchi.. ndo maana CAG hawezi kuruhusiwa kufanya ukaguzi pale !!! akijifanya mpambanaji atajikuta yuko jirani na Prof Mvungi, Chachage, Shaba et al ... CCM walimwaga mafuta ya Bakharesa, wakamwaga mchele kisa alijiunga CUF... Baada ya wiki bila aibu wakaenda kuomba mchango wa Bil 3!!! Bagharesa akalazimika kutoa mchango wa Bil 4!!! ...
This is serious .......
 
Kwa nini CCM hawawezi taarifa zao za fedha wazi?

Msikie Zitto nanukuu:-

"Kweli muda ni jibu la kila kitu. Mwaka Jana mwezi kama huu vyama vya siasa vilikuwa vinakanusha kuwa havijakaguliwa. Baada ya kujulishwa kuwa sasa tarehe 28 Oktoba 2014 PAC itakutana na Msajili, vyama vimeanza kuweka wazi taarifa ya ukaguzi uliofanywa na cag kwa maagizo ya PAC. Napenda kujulisha umma kuwa vyama vyote vilivyo Bungeni vimekaguliwa na kukabidhiwa hati zao za ukaguzi ( Safi, yenye mashaka au chafu).
Sheria inataka hesabu hizi kuwekwa wazi kupitia gazeti la Serikali. Napongeza sana vyama vinavyoanza kuweka taarifa zao wazi. Ni hatua muhimu katika kukomaza demokrasia yetu. It is a milestone"
 
Hi inasababishwa na tabia zake za kishamba kutekeleza majukumu ya PAC kisiasa. wote tunajua swala la CCM kuweka hesabu zao wazi au kukaguliwa sio priority yao, achilia mbali kwamba hawati kitu cha namna hiyo, sasa anapoibuka mjinga mmoja na kusema vyama vyote ni kama CCM wakati anajua anapotosha inakera sana.

Sasa hapa kanasema vyama vyote vimekaguliwa, ila blah blah blah.

Haka kajamaa bwana.
 
Mzee Slaa ameshalipa zile fedha za ruzuku alizojikopesha?

Ninakipongeza chama changu kuonesha hesabu zao kwa CAG na pia kukiri mapungufu yaliyopo na hatua ya kuyafanyia kazi,Chadema chama kikubwa kinachojiandaa kuchukua dora lazima kipige hatua moja kila siku kuelekea uimara wa taasisi. Nina imani,walianza kujenga chama makao makuu kwa kuunda kurugenzi za sheria,sera,elimu,sheria bunge,habari,mafunzo nk.Baada ya uteuzi wa viongozi wa kurugenzi,wakaanza kuimarisha cc na kisha wakaona hatua nyingine ni kuhakikisha tunaimarisha taasisi za chama ikiwemo bawacha kwa akina mama,bavicha kwa vijana,na chaso kwa vijana wa vyuo na mashule ya kati.

Tatu,kuimarika kwa taasisi hizi,chadema imehamia kugatua madaraka kwenda kanda nalo limefanikiwa.Lakini kwa kuwa chama lengo lake ni kushika dora pia chama kimeelekeza nguvu vijijini na vitongojini ambako kinafungua mashina na matawi mengi.sasa basi naamini changamoto za kurugenzi za fedha ambazo ni nyeti chama bila woga kimekuwa cha kwanza kuomba kukaguliwa ili kijiimarishe zaidi na kutoa utumishi uliotukuka.
chadema inakubaliana na msemo wa mwandishi mmoja john maxwell aliposema"The word is divided into people who do things and people who talk about doing things"!!!
Ccm is inafananishwa na usemi huu" there are lot of people doing norhing everyday,ccm can not be excluded!!
 
2012/2013 ya 2013/2014 ndio a natarajia kuanza kukagua ......
Si ndio hiyo sasa hesabu zake zina utata sometime this week PAC wamezipitia ripoti za vyama kumbe yote hiyo ni defense mapema kweli mtu akisha n'gatwa na nyoka akiona nyasi zinacheza tu anaweza kimbia (sidhani zitto kama ana nia ya kuwabaluza safari hii); sishangai CDM tricks zao na limitation yao ya creativity is becoming obvious kumbe yote hayo kujiami na walichoona PAC wiki hii.
 
Back
Top Bottom